Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ahudumia miaka 20 jela bila hatia Uganda

Mnamo mwaka 1982 Mpagi Edward Edmary ,dereva wa texi nchini Uganda alipewa hukumu ya kifo kwa mauaji ya kinyama ya jirani yake.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

Pistorius apatikana na hatia, afungwa jela miaka 5

Pistorius alipatikana na hatia ya kumuua mpenzi wake bila kukusudia
Mwanariadha wa Afrika Kusini Oscar Pistorius amehukumiwa jela miaka 5 baada ya kupatikana na hatia ya kumuua mpenziwe Reeva Steenkamp.

Hii ni baada ya mwanariadha huyo mlemavu kupatikana na hatia ya kumuua mpenziwe Reeva Steenkamp mwaka uliopita.

Jaji anayetoa hukumu hiyo,Thokozile Masipa,alianza kutoa kauli yake ya mwisho kabla ya kutoa hukumu saa mbili na nusu asubuhi na akasema ni changamoto kubwa kwake kupata adhabu ambayo...

 

9 years ago

StarTV

Binti wa miaka 15 ahukumiwa jela miaka 8 kwa kuuwa bila kukusudia.

Mahakama kuu ya Tanzania kanda ya Dar es salaam iliyoketi mkoani Morogoro, imemuhukumu kwenda jela miaka nane, Judith Chomile binti mwenye umri wa miaka 15 mwananfunzi wa kidato cha kwanza mara baaada ya kutiwa hatiani kwa kosa la kuua bila ya kukusudia mtoto mwenzake Andrine Mafwere (9)

Akisoma hukumu hiyo jaji Eliezer Fereshi, amesema mahakama imemtia hatiani mshitakiwa huyo  kutokana na  upelelezi  wa kesi hiyo kukamilika na maelezo ya maafisa ustawi wa jamii na maafisa wa huduma za...

 

9 years ago

GPL

YONA, MRAMBA KWENDA JELA MIAKA 2 BILA FAINI

Basil Mramba na Daniel Yona wakiwa Mahakama Kuu ya Tanzania kusikiliza rufaa yao.  Daniel Yona akiteta jambo na mmoja wa mawakili mahakamani hapo. Ndugu wa Daniel Yona wakimsalimia mara baada ya kufika mahakamani hapo. Yona akiwasiliana na ndugu zake. MAHAKAMA Kuu, Kanda ya Dar es Salaam leo imetoa hukumu ya rufaa dhidi ya mawaziri wa zamani, Bazil Mramba na Daniel Yona waliohukumiwa kifungo cha miaka mitatu na faini ya...

 

10 years ago

GPL

HAUSIGELI ALIYEMTESA MTOTO UGANDA AHUKUMIWA MIAKA 4 JELA

 Jolly Tumuhirwe (22). HAUSIGELI aliyenaswa kwenye video akimtesa mtoto nchini Uganda, amehukumiwa kwenda jela miaka minne katika mahakama moja nchini humo. Jolly Tumuhirwe wakati akimtesa mtoto Arnella mwenye miezi 18. Mfanyakazi huyo Jolly Tumuhirwe (22) aliiambia mahakama kuwa anajutia kile alichokifanya na anaomba msamaha kwa familia na jamii nzima. Amehukumiwa kwa kosa la kumtesa mtoto Arnella… ...

 

10 years ago

Bongo5

Mfanyakazi wa ndani ya Uganda afungwa miaka minne jela

Mahakama nchini Uganda imetoa hukumu ya miaka minne jela kwa mfanyakazi wa ndani, Jolly Tumuhiirwe, aliyepatikana na hatia ya kumtesa na kumpiga motto wa miezi 18. Tumuhiirwe, 22, alionekana kwenye video iliyosambaa mtandaoni akimpiga bila huruma mtoto huyo aitwaye Aneela. Msichana huyo aliwaomba radhi wazazi wa mtoto huyo na umma kwa ujumla na kudai kuwa […]

 

10 years ago

Vijimambo

MFANYAKAZI WA NDANI ALIYEMTESA MTOTO UGANDA AENDA JELA MIAKA 4

Jolly Tumuhirwe (22).
HAUSIGELI aliyenaswa kwenye video akimtesa mtoto nchini Uganda, amehukumiwa kwenda jela miaka minne katika mahakama moja nchini humo.
Jolly Tumuhirwe wakati akimtesa mtoto Arnella mwenye miezi 18.
Mfanyakazi huyo Jolly Tumuhirwe (22) aliiambia mahakama kuwa anajutia kile alichokifanya na anaomba msamaha kwa familia na jamii nzima.
Amehukumiwa kwa kosa la kumtesa mtoto Arnella mwenye miezi 18.

 

10 years ago

BBCSwahili

Yaya apatikana na hatia Uganda

Yaya wa Uganda ambaye anisawa kwa kanda ya video akimchapa na kukanyaga mtoto mdogo amepataikana na hatia ya ukatili.

 

5 years ago

BBCSwahili

Tanzania: Mbowe na wenzake waliopatikana na hatia kulipa 'faini au jela'

Mahakama kuu nchini Tanzania imewakuta na hatia viongozi tisa wa chama cha upinzani -CHADEMA ambao wametakiwa kulipa shilingi milioni 350 za Tanzania.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani