Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


HAUSIGELI ALIYEMTESA MTOTO UGANDA AHUKUMIWA MIAKA 4 JELA

 Jolly Tumuhirwe (22). HAUSIGELI aliyenaswa kwenye video akimtesa mtoto nchini Uganda, amehukumiwa kwenda jela miaka minne katika mahakama moja nchini humo. Jolly Tumuhirwe wakati akimtesa mtoto Arnella mwenye miezi 18. Mfanyakazi huyo Jolly Tumuhirwe (22) aliiambia mahakama kuwa anajutia kile alichokifanya na anaomba msamaha kwa familia na jamii nzima. Amehukumiwa kwa kosa la kumtesa mtoto Arnella… ...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

MFANYAKAZI WA NDANI ALIYEMTESA MTOTO UGANDA AENDA JELA MIAKA 4

Jolly Tumuhirwe (22).
HAUSIGELI aliyenaswa kwenye video akimtesa mtoto nchini Uganda, amehukumiwa kwenda jela miaka minne katika mahakama moja nchini humo.
Jolly Tumuhirwe wakati akimtesa mtoto Arnella mwenye miezi 18.
Mfanyakazi huyo Jolly Tumuhirwe (22) aliiambia mahakama kuwa anajutia kile alichokifanya na anaomba msamaha kwa familia na jamii nzima.
Amehukumiwa kwa kosa la kumtesa mtoto Arnella mwenye miezi 18.

 

10 years ago

GPL

HAUSIGELI ALIYEMTESA MTOTO UGANDA AOMBA SAMAHANI

Jolly Tumuhirwe akimtesa mtoto Arnella. HAUSIGELI aliyenaswa kwenye video akimtesa mtoto nchini Uganda, amefikishwa mahakamani leo. Mfanyakazi huyo Jolly Tumuhirwe ameiambia mahakama kuwa anajutilia kile alichokifanya na anaomba msamaha. Ameshitakiwa kwa kosa la kumtesa mtoto Arnella.
Licha ya taarifa ya polisi kusema Jolly atashitakiwa kwa kosa la jaribio la mauaji, kiogozi wa mashitaka alimshitaki Jolly kwa kosa la...

 

11 years ago

Habarileo

Mwanamke aliyemtesa mtoto atupwa jela miaka 3

MWANAMKE mkazi wa Kata ya Iyela jijini hapa, Mwanahawa Nassoro (32) amehukumiwa kutumikia kifungo cha miaka mitatu jela baada ya kupatikana na hatia ya kunyanyasa na kumtesa mtoto. Mwanamke huyo alipandishwa katika Mahakama ya Mwanzo ya Mbeya mjini jana, akikabiliwa na shitaka la kumtesa mtoto, John Paul (3) ambaye ni mtoto wa kaka yake.

 

9 years ago

StarTV

Binti wa miaka 15 ahukumiwa jela miaka 8 kwa kuuwa bila kukusudia.

Mahakama kuu ya Tanzania kanda ya Dar es salaam iliyoketi mkoani Morogoro, imemuhukumu kwenda jela miaka nane, Judith Chomile binti mwenye umri wa miaka 15 mwananfunzi wa kidato cha kwanza mara baaada ya kutiwa hatiani kwa kosa la kuua bila ya kukusudia mtoto mwenzake Andrine Mafwere (9)

Akisoma hukumu hiyo jaji Eliezer Fereshi, amesema mahakama imemtia hatiani mshitakiwa huyo  kutokana na  upelelezi  wa kesi hiyo kukamilika na maelezo ya maafisa ustawi wa jamii na maafisa wa huduma za...

 

11 years ago

BBCSwahili

Muindaji haramu ahukumiwa miaka 77 jela

Mtuhumiwa wa uwindaji haramu Mandla Chauke ,amehukumiwa kifungo cha miaka 77 jela kwa kuua vifaru 4

 

11 years ago

BBCSwahili

Germain Katanga ahukumiwa jela miaka 12

Kiongozi wa zamani wa wapiganaji waasi nchini Jamuhuri ya kidemokrasi ya kongo Germain Katanga amehukumiwa kwenda jela miaka 12

 

11 years ago

GPL

ALIYEMTESA HAUSIGELI SIKU 730 AHENYESHWA!

stori: Haruni Sanchawa na Deogratius Mongela Mwanamke Yasinta Rwechengura, mkazi wa Boko wilayani Kinondoni, Dar anayekabiliwa na kesi ya kutuhumiwa kumtesa hausigeli wake kwa miaka miwili (siku 730), amejikuta akihenyeshwa mahakamani.Hayo yamemkuta juzi alipofikishwa kwenye Mahakama ya Hakimu Mkazi Mfawidhi wa Wilaya ya Kinondoni kujibu tuhuma zinazomkabili ambapo alikuwa akipokea amri kutoka kwa askari na kumfanya kukosa raha. ...

 

10 years ago

BBCSwahili

Mama wa miaka 100 ahukumiwa jela Kenya

Mahakama moja nchini Kenya imemhukumu mama mwenye umri wa miaka 100 kifungo kwa kukaidi amri ya mahakama

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani