Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Germain Katanga ahukumiwa jela miaka 12

Kiongozi wa zamani wa wapiganaji waasi nchini Jamuhuri ya kidemokrasi ya kongo Germain Katanga amehukumiwa kwenda jela miaka 12

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

StarTV

Binti wa miaka 15 ahukumiwa jela miaka 8 kwa kuuwa bila kukusudia.

Mahakama kuu ya Tanzania kanda ya Dar es salaam iliyoketi mkoani Morogoro, imemuhukumu kwenda jela miaka nane, Judith Chomile binti mwenye umri wa miaka 15 mwananfunzi wa kidato cha kwanza mara baaada ya kutiwa hatiani kwa kosa la kuua bila ya kukusudia mtoto mwenzake Andrine Mafwere (9)

Akisoma hukumu hiyo jaji Eliezer Fereshi, amesema mahakama imemtia hatiani mshitakiwa huyo  kutokana na  upelelezi  wa kesi hiyo kukamilika na maelezo ya maafisa ustawi wa jamii na maafisa wa huduma za...

 

11 years ago

BBCSwahili

Muindaji haramu ahukumiwa miaka 77 jela

Mtuhumiwa wa uwindaji haramu Mandla Chauke ,amehukumiwa kifungo cha miaka 77 jela kwa kuua vifaru 4

 

10 years ago

Vijimambo

Capt.Francesco Schettino ahukumiwa miaka 16 jela



Nahodha wa meli ya Costa Concordia iliyosababisha vifo vya watu watu 32 wakiwemo wafanyakazi wa meli hiyo amehukumiwa kwenda jela.Kwa mjibu wa hukumu hiyo Nahodha huyo atatumikia kifungo cha miaka 16 jela baada ya kubainika kuwa na makosa ya kuua bila kukusudia.Francesco Schettino hakuwepo Mahakamani wakati hukumu hiyo ikitolewa. Miaka mitatu iliyopita Meli hiyo ya Costa Concordia iligonga miamba karibu na pwani ya Giglio nchini Italia na kusababisha vifo hivyo.Hata hivyo Schettino bado...

 

10 years ago

BBCSwahili

Mama wa miaka 100 ahukumiwa jela Kenya

Mahakama moja nchini Kenya imemhukumu mama mwenye umri wa miaka 100 kifungo kwa kukaidi amri ya mahakama

 

10 years ago

Habarileo

BREAKING NEWS: Rais Morsi ahukumiwa miaka 20 jela

Rais wa Zamani wa Misri, Mohammed Morsi.Makahama nchini Mirsi imemhukumu aliyekuwa rais wa zamani Mohammed Mosri kifungo cha miaka 20 gerezani kutokana na kuuawa kwa waamdamanaji wakati akiwa madarakani.

 

10 years ago

GPL

CHARLES EKELEGE AHUKUMIWA KWENDA JELA MIAKA MITATU

Aliyekuwa Mkurugenzi wa Shirika la Viwango Nchini (TBS), Charles Ekelege. Aliyekuwa Mkurugenzi wa Shirika la Viwango Nchini (TBS), Charles Ekelege amehukumiwa na Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, kwenda jela miaka mitatu na kuilipa serikali Dola 42,543 za Kimarekani, baada ya kupatikana na hatia ya makosa matatu ikiwemo matumizi mabaya ya madaraka kwa kutoa asilimia 50. Kadhalika, Ekelege anadaiwa kutoa asilimia hiyo ya punguzo...

 

10 years ago

GPL

MKE WA GBAGBO AHUKUMIWA KIFUNGO CHA MIAKA 20 JELA

Simone Gbagbo aliyekuwa mke wa Rais wa Ivory Coast, Laurent Gbagbo. MAHAKAMA moja nchini Ivory Coast leo imemhukumu Simone Gbagbo aliyekuwa mke wa Rais wa nchi hiyo Laurent Gbagbo, kifungo cha miaka 20 gerezani. Laurent Gbagbo akiwa na mkewe Simone Gbagbo baada ya kukamatwa Aprili 11, 2011. Simone amehukumiwa kifungo hicho baada ya kukutwa na hatia ya kushiriki katika vurugu zilizotokea baada ya uchaguzi nchini humo… ...

 

10 years ago

GPL

HAUSIGELI ALIYEMTESA MTOTO UGANDA AHUKUMIWA MIAKA 4 JELA

 Jolly Tumuhirwe (22). HAUSIGELI aliyenaswa kwenye video akimtesa mtoto nchini Uganda, amehukumiwa kwenda jela miaka minne katika mahakama moja nchini humo. Jolly Tumuhirwe wakati akimtesa mtoto Arnella mwenye miezi 18. Mfanyakazi huyo Jolly Tumuhirwe (22) aliiambia mahakama kuwa anajutia kile alichokifanya na anaomba msamaha kwa familia na jamii nzima. Amehukumiwa kwa kosa la kumtesa mtoto Arnella… ...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani