Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MAMA BISHANGA AWALILIA GEORGE TYSON NA MTOTO NASRA

Kifo cha George Tyson ni pigo kubwa lingine kwa taifa na fani ya filamu, George Tyson ukweli ametuinua wengi katika fani ya filamu kwa kazi yake nzuri ya kama director na producer wa filamu, nami ni zao la kazi nzuri ya Tyson katika kazi za filamu, hapa itakumbukwa mwaka 1998 hadi 2000 kipindi cha mambo hayo kilichokuwa kikirushwa ITV kilikuwa moto sana nchi nzima ilipata kushuhudia tulivyokuwa tunacheza, mfano wakati Bishanga alipomleta Waridi kama mchumba wake kule kijini kwetu...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

MDAU KENNY MTOTO WA MAMA BISHANGA AUKACHA UKAPERA

Mdau Hendrich Nambira au Kenny kama alivyojulikana kwenye mchezo wa kuigiwa wa Mambo hayo katika runinga ITV wakati huo, Alifunga pingu za maisha na mke wake Florence kutoka Visiwani Zanzibar. Harusi ilifanyika katika kanisa la Anglican UMCA, Upanga jijini Dar es Salaam  tarehe 23/08/2014. 
Mama Bishanga na mumewe hawakuweza kuwahi siku ya harusi hiyo iliyopendeza sana na kuhudhuriwa na ndugu wengine wakiwemo wadogo wa mama Bishanga Mack Innocent Hatia na Constancia Innocent Hatia, baba...

 

11 years ago

Michuzi

UPDATES ZA MSIBA WA GEORGE TYSON

Mwili wa Marehemu George Tyson (pichani) utapelekwa nyumbani kwa marehemu Mbezi Beach (eneo la Makonde) kesho Jumanne Juni 3 kuanzia majira ya saa kumi jioni kwa ajili ya kuaga.
  Mwili utakuwepo nyumbani hapo mpaka siku ya Jumatano Juni 4,ambapo mwili utapelekwa kwenye viwanya vya Leaders Club,Kinondoni kwa ajili ya shughuli ya kuaga mwili na ibada fupi.
Baadae mwili utapelekwa kwenye Uwanja wa ndege wa Mwalimu J.K.Nyerere tayari kwa kusafirishwa kwenye jijini Nairobi nchini Kenya kwa...

 

11 years ago

GPL

GEORGE TYSON AFARIKI DUNIA

Mwongozi filamu na aliyekuwa mume wa msanii wa filamu Monalisa, George Tyson amefariki dunia baada ya kupata ajali mbaya ya gari Morogoro akitokea mkoani Dodoma.

 

10 years ago

Bongo Movies

Mke wa George Tyson ashinda mirathi.

Mke wa muandaaji mahiri wa filamu George Tyson, Beatrice Shayo amefanikiwa kushinda kesi na kuwa msimamizi wa mirathi baada ya mtafaruku mkubwa uliotokea wa kugombea mali na mwanadada aliyekuwa akiishi na msanii huyo kipindi cha mwisho cha uhai wake, Lucy Sepetu.

Akizungumzia ishu hiyo Beatrice alisema anashukuru Mungu amempigania maana ndugu wengi wa mume hawakuwa upande wake, wengi wao walimuunga mkono Lucy lakini Mahakama ya Wilaya ya Kinondoni imempitisha kuwa msimamizi wa...

 

11 years ago

GPL

MIRATHI YA GEORGE TYSON, MONA ACHARUKA

Oohoo nooo! Wakati aliyekuwa mumewe, George Otieno Okumu ‘Tyson’ (41) akipumzishwa kwenye nyumba ya milele huko Kisumu nchini Kenya, Yvone-Cherry Ngatikwa ‘Monalisa’ amewacharukia watu waliodai alikuwa akijipendekeza msibani ili kupata mirathi ya mwanaume huyo. Muigizaji wa Bongo Muvi, Yvone-Cherry Ngatikwa ‘Monalisa’ akiwa na mwanaye, Sonia. Awali, Mona ambaye ni staa mkubwa wa sinema za...

 

10 years ago

Michuzi

MAMA BISHANGA AMPONGEZA DIAMOND

Mama Bishanga na Mumewe Bw. MarolenNimeona nisikae na duku duku la pongezi zangu kwa kijana wetu Diamond kwa kutwaa tuzo tatu kwa mpigo wiki iliytopita huko South Africa. Huo ni ushindi mkubwa sana kwa Diamond, na sisi sote kama taifa la Tanzania. Mimi kwa niaba ya wazazi wenzangu bwana mdogo nakupongeza sana na ninampongeza sana mama yako Sandra kwa kukuandaa katika fani ya muziki, nguvu yake ndio mafanikio yako. Hii inanikumbusha hata mimi nilivyokuwa ninaandaa kazi zangu za sanaa wakati...

 

10 years ago

Vijimambo

BIRTHDAY YA MZUNGU WA MAMA BISHANGA

Leo tarehe tano November ni siku ya birth day ya mtoto wa Kenny, mjunguu wangu Kilian au Mzungu anavyoitwa na wengi. Ninakutakia heri na furaha, maisha mazuri na mafanikio shuleni.
Nakupenda sana, nakumiss sana, kila siku nakukumbuka wewe na mdogo wako Mariam mkiniita bibi wa marekani, na mkiwa mnasemesha babu yenu Kiswahili nae akijaribu kuongea nanyi na kufurahi nanyi. Zawadi zenu za birthday nimeshazituma, mtazipata baada ya wiki mbili. Msalimieni baba yenu -baba Hery, baba mkubwa Kilian,...

 

11 years ago

Michuzi

appreciation note from the family of the late George Tyson

The family of Mr and Mrs Okumu would like to thank you  all who came out in kind to assist in the funeral of the late Art Director George Tyson. To you all in Tanzania and here in Kenya we say ASANTE SANA, MUNGU NA AWALIPE KWA YOTE We buried the late George Tyson last weekend and  it went on well. May the Almighty God bless you  all and  may the soul of our late brother rest in eternal peace - Amen Yours  Benson Okumu Brother to the Deceased.

 

11 years ago

Tanzania Daima

George Tyson wa Bongo Movie afariki dunia

MTAYARISHAJI na muongozaji mkuu wa kipindi cha televisheni cha ‘The Mboni Show’ kinachorushwa na Kituo cha EATV, George Otieno Okumu ‘Geogre Tyson’, amefariki dunia kwa ajali ya gari iliyotokea mjini...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani