MAMA BISHANGA AMPONGEZA DIAMOND
![](http://1.bp.blogspot.com/-GLIyeGSyqyw/VIUgIflrgUI/AAAAAAAG144/8gTAY5oayvg/s72-c/unnamed%2B(1).jpg)
Mama Bishanga na Mumewe Bw. MarolenNimeona nisikae na duku duku la pongezi zangu kwa kijana wetu Diamond kwa kutwaa tuzo tatu kwa mpigo wiki iliytopita huko South Africa. Huo ni ushindi mkubwa sana kwa Diamond, na sisi sote kama taifa la Tanzania. Mimi kwa niaba ya wazazi wenzangu bwana mdogo nakupongeza sana na ninampongeza sana mama yako Sandra kwa kukuandaa katika fani ya muziki, nguvu yake ndio mafanikio yako. Hii inanikumbusha hata mimi nilivyokuwa ninaandaa kazi zangu za sanaa wakati...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo![](http://3.bp.blogspot.com/-oex3-jw17uI/VFnyj0JmCCI/AAAAAAADMb0/WRJuOlqHR1s/s72-c/unnamed%2B(4).jpg)
BIRTHDAY YA MZUNGU WA MAMA BISHANGA
![](http://3.bp.blogspot.com/-oex3-jw17uI/VFnyj0JmCCI/AAAAAAADMb0/WRJuOlqHR1s/s1600/unnamed%2B(4).jpg)
Nakupenda sana, nakumiss sana, kila siku nakukumbuka wewe na mdogo wako Mariam mkiniita bibi wa marekani, na mkiwa mnasemesha babu yenu Kiswahili nae akijaribu kuongea nanyi na kufurahi nanyi. Zawadi zenu za birthday nimeshazituma, mtazipata baada ya wiki mbili. Msalimieni baba yenu -baba Hery, baba mkubwa Kilian,...
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-mcV0TXASXNc/VBagKOdpqDI/AAAAAAAGjrc/kM1hyc3E7Ec/s72-c/New%2BPicture.png)
MDAU KENNY MTOTO WA MAMA BISHANGA AUKACHA UKAPERA
Mama Bishanga na mumewe hawakuweza kuwahi siku ya harusi hiyo iliyopendeza sana na kuhudhuriwa na ndugu wengine wakiwemo wadogo wa mama Bishanga Mack Innocent Hatia na Constancia Innocent Hatia, baba...
11 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-XM66Vw_rlwk/U5geWIdHt3I/AAAAAAAFpvo/95l6LGVS5T8/s72-c/unnamed.jpg)
MAMA BISHANGA AWALILIA GEORGE TYSON NA MTOTO NASRA
![](http://4.bp.blogspot.com/-XM66Vw_rlwk/U5geWIdHt3I/AAAAAAAFpvo/95l6LGVS5T8/s1600/unnamed.jpg)
10 years ago
Vijimambo24 May
MAMA BISHANGA AMLILIA KAKA YAKE CASIM JAFFER MANJI
10 years ago
Vijimambo![](http://3.bp.blogspot.com/-IaeghBOOzTU/VDqE523t4cI/AAAAAAADJeY/-Hd9QxUyDGI/s72-c/image-0ebe88a390cc8132ada093e63203f9dd476090db17b03c5275124cd80db0af45-V.jpg)
MAMA BISHANGA WA TZ NA JULIE WA LIBERIA WATOA SALAMU ZA SIKU ZA KUZALIWA
![](http://3.bp.blogspot.com/-IaeghBOOzTU/VDqE523t4cI/AAAAAAADJeY/-Hd9QxUyDGI/s1600/image-0ebe88a390cc8132ada093e63203f9dd476090db17b03c5275124cd80db0af45-V.jpg)
10 years ago
VijimamboMAMA BISHANGA NA MUMEWE NA WAJUKUU HERI YA MWAKA MPYA TANZANIA NA SOUTH AFRICA
10 years ago
Michuzi24 May
TANZIA: MAMA BISHANGA AFIWA NA KAKA YAKE MKUBWA CASIMU JAFFER MANJI "JALEJALE"
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-6GAMAEII8lo/VJ2ztL4a-KI/AAAAAAAG59A/E65SU6Xgw2g/s72-c/unnamed%2B(3).jpg)
HERI YA MWAKA MPYA TANZANIA NA SOUTH AFRICA TOKA KWA MAMA BISHANGA NA MUMEWE NA WAJUKUU
Watoto Maria Kilian Kamota na Lailai Johnson wanasema next year, new year we will be there with dady Kilian and Henrick and aunt Size, and our young...
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-bWJUE6SzqcI/VDoMiwxomkI/AAAAAAAGpcQ/BE5Xqrlky5I/s72-c/unnamed%2B(1).jpg)
salamu kutoka kwa mama bishanga na shosti yake Julie kutoka Liberia