MAMA BISHANGA WA TZ NA JULIE WA LIBERIA WATOA SALAMU ZA SIKU ZA KUZALIWA
![](http://3.bp.blogspot.com/-IaeghBOOzTU/VDqE523t4cI/AAAAAAADJeY/-Hd9QxUyDGI/s72-c/image-0ebe88a390cc8132ada093e63203f9dd476090db17b03c5275124cd80db0af45-V.jpg)
Mama Bishanga na mfanya kazi mwenzake kutoka Liberia wanonekana wakiwa kazini, wakifurahia uamuzi wa madaktari watano wa Tanzania wanokwenda kuongeza nguvu ya kusaidia kuwatibu raia wa Liberia, baada ya kusoma taarifa hizo kwenye magazeti ya Tanzania. Julie Blanton ambae alikuja Amerika miaka mingi mara baada ya vita iliotokea Liberia miaka ya themanini na tisini, huwa anenda kwao kila mwaka kusalimia ndugu zake. Julie ameshukru sana Rais Kikwete na watanzania kwa ujumla kwa moyo wao wa...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-bWJUE6SzqcI/VDoMiwxomkI/AAAAAAAGpcQ/BE5Xqrlky5I/s72-c/unnamed%2B(1).jpg)
salamu kutoka kwa mama bishanga na shosti yake Julie kutoka Liberia
9 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-63rH2pkEg94/Vm1czhDU-hI/AAAAAAAAIag/JUcFvCXVC5s/s72-c/0d3d983d-b935-46f7-adc6-f3ac0c76c4ec.jpg)
MAMA SHEKHA NASSER ASHEREKEA SIKU YAKE YA KUZALIWA NA WANAWAKE WAJASIRIAMALI WA JIJI LA DAR ES SALAAM
![](http://4.bp.blogspot.com/-63rH2pkEg94/Vm1czhDU-hI/AAAAAAAAIag/JUcFvCXVC5s/s640/0d3d983d-b935-46f7-adc6-f3ac0c76c4ec.jpg)
Ikiwa ni utamaduni wa kampuni yake kufanya sherehe ya kuuaga mwaka alitumia kuadhimisha siku yake ya kuzaliwa pamoja na wanawake Wajasiriamali wa Taasisi yake aliyoianzisha ya Manjano Foundation ambayo amewawezesha kwa kuwapa mafunzo ya ujasiriamali...
10 years ago
Vijimambo![](http://3.bp.blogspot.com/-oex3-jw17uI/VFnyj0JmCCI/AAAAAAADMb0/WRJuOlqHR1s/s72-c/unnamed%2B(4).jpg)
BIRTHDAY YA MZUNGU WA MAMA BISHANGA
![](http://3.bp.blogspot.com/-oex3-jw17uI/VFnyj0JmCCI/AAAAAAADMb0/WRJuOlqHR1s/s1600/unnamed%2B(4).jpg)
Nakupenda sana, nakumiss sana, kila siku nakukumbuka wewe na mdogo wako Mariam mkiniita bibi wa marekani, na mkiwa mnasemesha babu yenu Kiswahili nae akijaribu kuongea nanyi na kufurahi nanyi. Zawadi zenu za birthday nimeshazituma, mtazipata baada ya wiki mbili. Msalimieni baba yenu -baba Hery, baba mkubwa Kilian,...
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-GLIyeGSyqyw/VIUgIflrgUI/AAAAAAAG144/8gTAY5oayvg/s72-c/unnamed%2B(1).jpg)
MAMA BISHANGA AMPONGEZA DIAMOND
![](http://1.bp.blogspot.com/-GLIyeGSyqyw/VIUgIflrgUI/AAAAAAAG144/8gTAY5oayvg/s1600/unnamed%2B(1).jpg)
10 years ago
Bongo Movies02 Jan
Lulu Amzawadia Nyumba Mama Yake Kwenye Siku Yake ya Kuzaliwa
Mrembo na mwigizaji wa filamu, Elizabeth Michael, ‘Lulu’siku ya jana alimfanyia sherehe mama yake mzazi kwa kufikisha miaka 45 ya kuzaliwa ilyofanyika kwenye hoteli ya Great Wall, Masaki ambapo mastaa kadhaa wa hapa bongo walihudhuria sherehe hiyo ambapo inadaiwa kuwa mbali kuandaa sherehe hizo mwanadada Lulu alimzawadia jumba mama yake ambayo inasemekana ipo Kimara hapa jijini Dar.
Hii ni kwa mijibu wa mwigizaji Flora Mvungi “H mama”ambae ni moja kati ya mastaa kadhaa waliohudhuria...
11 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-XM66Vw_rlwk/U5geWIdHt3I/AAAAAAAFpvo/95l6LGVS5T8/s72-c/unnamed.jpg)
MAMA BISHANGA AWALILIA GEORGE TYSON NA MTOTO NASRA
![](http://4.bp.blogspot.com/-XM66Vw_rlwk/U5geWIdHt3I/AAAAAAAFpvo/95l6LGVS5T8/s1600/unnamed.jpg)
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-mcV0TXASXNc/VBagKOdpqDI/AAAAAAAGjrc/kM1hyc3E7Ec/s72-c/New%2BPicture.png)
MDAU KENNY MTOTO WA MAMA BISHANGA AUKACHA UKAPERA
Mama Bishanga na mumewe hawakuweza kuwahi siku ya harusi hiyo iliyopendeza sana na kuhudhuriwa na ndugu wengine wakiwemo wadogo wa mama Bishanga Mack Innocent Hatia na Constancia Innocent Hatia, baba...
10 years ago
Vijimambo24 May
MAMA BISHANGA AMLILIA KAKA YAKE CASIM JAFFER MANJI