Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


salamu kutoka kwa mama bishanga na shosti yake Julie kutoka Liberia

Mwigizaji mkongwe wa Bongo Movie, Bi Christina Innocent  Marolen, almaarufu kama "Mama Bishanga",  na mfanya kazi mwenzake kutoka Liberia wanonekana wakiwa kazini, Adern Court Alzheimer Home Care huko Ohio, Marekani, wakifurahia uamuzi wa madaktari watano wa Tanzania wanokwenda kuongeza nguvu ya kusaidia kuwatibu raia wa Liberia, baada ya kusoma taarifa hizo kwenye magazeti ya Tanzania. Julie Blanton ambae alikuja Amerika miaka mingi mara baada ya vita iliotokea Liberia miaka ya themanini na...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

MAMA BISHANGA WA TZ NA JULIE WA LIBERIA WATOA SALAMU ZA SIKU ZA KUZALIWA

Mama Bishanga na mfanya kazi mwenzake kutoka Liberia wanonekana wakiwa kazini, wakifurahia uamuzi wa madaktari watano wa Tanzania wanokwenda kuongeza nguvu ya kusaidia kuwatibu raia wa Liberia, baada ya kusoma taarifa hizo kwenye magazeti ya Tanzania. Julie Blanton ambae alikuja Amerika miaka mingi mara baada ya vita iliotokea Liberia miaka ya themanini na tisini, huwa anenda kwao kila mwaka kusalimia ndugu zake. Julie ameshukru sana Rais Kikwete na watanzania kwa ujumla kwa moyo wao wa...

 

10 years ago

Bongo5

Tyga apanga kumchukua mwanae kutoka kwa Blac Chyna akidai mama yake anakula bata 24/7

Tyga anadhani Blac Chyna hana uwezo wa kumlea vyema mwanae sababu muda mwingi amekuwa akijirusha na kula bata. Rapper huyo ana wasiwasi kuwa Blac Chyna anavutiwa zaidi kwenda club kuliko kumlea mtoto wao mwenye miaka 2 King Cairo, na sasa amepanga kuiomba mahakama impe ruhusa ya kuishi naye. Tyga anaamini mzazi mwenzie amepoteza focus ya […]

 

10 years ago

Vijimambo

MAMA BISHANGA AMLILIA KAKA YAKE CASIM JAFFER MANJI

Tarehe 23/05/2015 asubuhi ya Tanzania nimefiwa na kaka yangu mkubwa Bw Casim Jaffer Manji(Jalejale) Kongowe kwa binti yetu Anna Kepha mtoto wa marehemu dada Mwl Cecilia Hatia, Napenda kutumia nafasi hii kumjulisha Abasi Manji na akina Manji wa DSM. Familia ya Jaffer Manji wa Bombey, wadogo zanguDr Geofrey Hatia Nambira wa Namibia, Isaya Hatia wa Finland, na aunt Eva Mack Hatia wa Finland. Familia ya marehemu mzee Abdruhaman Bellim, familia ya mzee Abdala, mzee Jalabi, na shangazi Anna...

 

11 years ago

Michuzi

salamu za iddi kutoka kwa wanalibeneke wa Bukoba wadau

#‎BUKOBAWADAU‬ BLOG inakutakia sikukuu njema ya Eid-el-Fitr popote pale ulipo, na inawapongeza waumini wote wa dini ya Kiislamu kwa kukamilisha mfungo wa mwezi mtukufu wa Ramadhani.

 

10 years ago

Vijimambo

SALAMU ZA EID MUBARAK KUTOKA KWA MDAU WA VIJIMAMBO

  Salamu za Eid Mubarah kutoka kwa mdau wa Vijimambo Salum Jongo wa Magati Pharmacy  Kijitonyama Dar-Es-Salaam. Hapa Salum Jongo kulia  akipata ukodak pamoja na maustadh wenzie baada ya sala ya Eid. mbele ya Mosque Al Noor Upanga Dar-Es-Salaam.Salum  akipata ukodak wa kumbukumbu nje ya Al Noor Mosque Upanga baada ya sala ya Eid.

 

9 years ago

MillardAyo

Salamu kutoka kwa Rais Magufuli kwa waathirika wa ajali ya December 18 Iringa..

December 18 2015 nilikusogezea ripoti kutoka Iringa Tanzania, ilihusu ajali ya basi la abiria la Kampuni ya New Force Ltd ambalo lililongana na lori la mbao lilibeba mbao kutoka Njombe kwenda Dar es Salaam… watu 12  walifariki na wengine zaidi ya 20 kujeruhiwa. Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John Pombe Magufuli ametuma salamu […]

The post Salamu kutoka kwa Rais Magufuli kwa waathirika wa ajali ya December 18 Iringa.. appeared first on TZA_MillardAyo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani