Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


salamu za iddi kutoka kwa wanalibeneke wa Bukoba wadau

#‎BUKOBAWADAU‬ BLOG inakutakia sikukuu njema ya Eid-el-Fitr popote pale ulipo, na inawapongeza waumini wote wa dini ya Kiislamu kwa kukamilisha mfungo wa mwezi mtukufu wa Ramadhani.

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

salamu kutoka kwa mama bishanga na shosti yake Julie kutoka Liberia

Mwigizaji mkongwe wa Bongo Movie, Bi Christina Innocent  Marolen, almaarufu kama "Mama Bishanga",  na mfanya kazi mwenzake kutoka Liberia wanonekana wakiwa kazini, Adern Court Alzheimer Home Care huko Ohio, Marekani, wakifurahia uamuzi wa madaktari watano wa Tanzania wanokwenda kuongeza nguvu ya kusaidia kuwatibu raia wa Liberia, baada ya kusoma taarifa hizo kwenye magazeti ya Tanzania. Julie Blanton ambae alikuja Amerika miaka mingi mara baada ya vita iliotokea Liberia miaka ya themanini na...

 

11 years ago

Michuzi

sakamu za Iddi toka kwa wadau washington DC, Marekani

Wadau Bw.Suleiman Saleh na Bw.Iddi Seif Bakari wa Washington DC, Markani,  wanapenda kuwatakia Watanzania wote Iddi yenye  kheri nyingi na utulivu.Tunamshukuru Mungu kwa kutujaalia Ramadhani njema.

 

9 years ago

Michuzi

SALAMU ZA MWAKA ZA RAIS WA TFF KWA WADAU WA MPIRA WA MIGUU TANZANIA

Ndugu zangu, Kwa niaba ya Shirikisho la mpira wa miguu Tanzania kupitia kwenu wanahabari ninaomba nitoe salam za mwaka za Shirikisho la mpira wa miguu Tanzania TFF.
Awali ya yote tumshukuru Mwenyezi Mungu ambaye ametulinda kwa mwaka mzima na kupitia Baraka zake tumeweza kuwa na nguvu, uwezo na hekima za kutimiza majukumu yetu mbalimbali katika kipindi hiki cha mwaka 2015. Tuzidi kumuomba atuvushe salama mwaka 2015.
Ninaomba nichukue fursa hii kuwapongeza Watanzania wenzangu kwa kukamilisha...

 

11 years ago

Michuzi

salamu za pasaka toka globu ya jamii kwa wadau duniani kote

Uongozi wa Michuzi Media Group na watendaji wote unawatakia wadau wa Globu ya Jamii kila pembe ya dunia PASAKA njema. Furaha yenu ndio furaha yetu, na BWANA awabariki afya njema.

 

9 years ago

MillardAyo

Salamu kutoka kwa Rais Magufuli kwa waathirika wa ajali ya December 18 Iringa..

December 18 2015 nilikusogezea ripoti kutoka Iringa Tanzania, ilihusu ajali ya basi la abiria la Kampuni ya New Force Ltd ambalo lililongana na lori la mbao lilibeba mbao kutoka Njombe kwenda Dar es Salaam… watu 12  walifariki na wengine zaidi ya 20 kujeruhiwa. Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John Pombe Magufuli ametuma salamu […]

The post Salamu kutoka kwa Rais Magufuli kwa waathirika wa ajali ya December 18 Iringa.. appeared first on TZA_MillardAyo.

 

10 years ago

Vijimambo

SALAMU ZA EID MUBARAK KUTOKA KWA MDAU WA VIJIMAMBO

  Salamu za Eid Mubarah kutoka kwa mdau wa Vijimambo Salum Jongo wa Magati Pharmacy  Kijitonyama Dar-Es-Salaam. Hapa Salum Jongo kulia  akipata ukodak pamoja na maustadh wenzie baada ya sala ya Eid. mbele ya Mosque Al Noor Upanga Dar-Es-Salaam.Salum  akipata ukodak wa kumbukumbu nje ya Al Noor Mosque Upanga baada ya sala ya Eid.

 

10 years ago

Mwananchi

SALAMU KUTOKA KWA MHARIRI :Ahadi yetu uchaguzi wa 2015

Ndani ya siku 131 kuanzia leo, Watanzania watakuwa wameingia katika shughuli ya kutekeleza wajibu wao kikatiba wa kuchagua madiwani, wabunge na muhimu sana, Rais wa tano tangu nchi yetu ya Tanzania ipate uhuru miaka 54 iliyopita.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani