sakamu za Iddi toka kwa wadau washington DC, Marekani
Wadau Bw.Suleiman Saleh na Bw.Iddi Seif Bakari wa Washington DC, Markani, wanapenda kuwatakia Watanzania wote Iddi yenye kheri nyingi na utulivu.Tunamshukuru Mungu kwa kutujaalia Ramadhani njema.
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziMKONO WA IDDI TOKA KWA AFANDE MSANGI RPC WA MBEYA
KAMANDA WA POLISI MKOA WA MBEYA KAMISHNA MSAIDIZI MWANDAMIZI WA POLISI AHMED ZAHORO MSANGI ANAWATAKIA EID MUBARAK WAANDISHI WOTE WA HABARI WA NDANI NA NJE YA MKOA WA MBEYA. PIA WA VYOMBO MBALIMBALI KAMA VILE REDIO, TELEVISHENI, MAGAZETI, BLOGS NA MITANDAO MINGINE YA KIJAMII.WITO: TUSHEREHEKEE KWA AMANI NA UTULIVU BILA KUWEPO NA HALI/VIASHIRIA VYOVYOTE VYA UVUNJIFU WA AMANIMBEYA BILA UHALIFU INAWEZEKANA, ULINZI NA USALAMA UNAANZA NA MIMI, WEWE NA SISI SOTE!"EID MUBARAK"
11 years ago
Michuzisalamu za iddi kutoka kwa wanalibeneke wa Bukoba wadau
#BUKOBAWADAU BLOG inakutakia sikukuu njema ya Eid-el-Fitr popote pale ulipo, na inawapongeza waumini wote wa dini ya Kiislamu kwa kukamilisha mfungo wa mwezi mtukufu wa Ramadhani.
10 years ago
MichuziTaswa FC yashinda 5-3 Morogoro, yaomba udhamini toka kwa wadau
Timu ya soka ya waandishi wa habari za michezo nchini, Taswa FC imeendelea kutamba katika mechi zake za kirafiki baada ya kuisambaratisha timu ya Warioba Veterans mabao 5-3 katika mchezo uliofanyika kwenye uwanja wa Bora, Kijitonyama. Taswa FC ambayo inadhaminiwa na Benki ya Posta Tanzania (TPB) ilianza mchezo huo polepole huku wapinzani wao wakiongozwa na Barnaba Emilio na Jerry Mtetema kutawala dakika 10 za mwanzo na kukosa mabao kadhaa. Taswa FC chini ya Ali Mkongwe, Majuto “Ronaldo”...
11 years ago
Michuzisalamu za pasaka toka globu ya jamii kwa wadau duniani kote
Uongozi wa Michuzi Media Group na watendaji wote unawatakia wadau wa Globu ya Jamii kila pembe ya dunia PASAKA njema. Furaha yenu ndio furaha yetu, na BWANA awabariki afya njema.
10 years ago
VijimamboKIJIWE CHA UGHAIBUNI NA WADAU TOKA NEW YORK AUGUST 23, SAA 10 JIONI NYUMABANI KWA DR TEMBA.
Wadau wa Diaspora mnakaribishwa ku record kijiwe cha Ughaibu siku ya jumapili tarehe 23 kuanzanzia saa 10 jioni. nyumbani kwa Dr Temba maudhui ya Kijiwe hicho ni kuzungumzia mchakato mzima wa siasa ya nchi yetu ya Tanzania kuelekea kwenye uchaguzi Oct 25. Mtu yeyote anakaribishwa kuja kuchangia hoja ya mtazamo na uelewa wake juu ya yote yanayoendelea Tanzania kwa sasa kuelekea kwenye uchaguzi. Piga simu hii #347 -475 -4313 kupata usaili wa jinsi ya kuhudhuria kijiwe hicho. Watu 10...
5 years ago
CCM BlogWAZIRI UMMY ATAKA USHIRIKIANO TOKA KWA WADAU VIRUSI VYA CORONA HAVIINGI TANZANIA
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu amekutana na kufanya mazungumzo na wadau wa sekta ya afya lengo likiwa ni kujadili kwa pamoja tishio la mlipuko wa virusi vya corona.
Ummy alisema katika kikao hicho waliwaeleza wadau kama taarifa ya Shirika la Afya Duniani (WHO) limetangaza hali ya maambukizi ya ugonjwa huo duniani, hivyo kama Serikali ni vyema kuwapatia taarifa wadau hao.
“Tumewapa taarifa wadau wetu na kuwahakikishia kwamba Tanzania hakuna mtu...
Ummy alisema katika kikao hicho waliwaeleza wadau kama taarifa ya Shirika la Afya Duniani (WHO) limetangaza hali ya maambukizi ya ugonjwa huo duniani, hivyo kama Serikali ni vyema kuwapatia taarifa wadau hao.
“Tumewapa taarifa wadau wetu na kuwahakikishia kwamba Tanzania hakuna mtu...
10 years ago
MichuziJK apokea salamu za kheri toka kwa Rais Barack Obama wa Marekani
Balozi wa Tanzania nchini Marekani Mh.Liberata Mulamula akiwasilisha kwa Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete salamu za kumtakia kheri na afya njema kutoka kwa Rais wa Marekani Barack Obama leo jijini Baltimore, Maryland, Marekani.Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea kwa furaha na ujumbe kutoka Ubalozi wa Tanzania ulioko jijini Washington DC uliomtembelea kumjulia hali na kwasilisha salamu za Rais Barack Obama Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na Balozi Liberata Mulamula na ujumbe wake wa...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania