Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Taswa FC yashinda 5-3 Morogoro, yaomba udhamini toka kwa wadau

Timu ya soka ya waandishi wa habari za michezo nchini, Taswa FC imeendelea kutamba katika mechi zake za kirafiki baada ya kuisambaratisha timu ya Warioba Veterans mabao 5-3 katika mchezo uliofanyika kwenye uwanja wa Bora, Kijitonyama. Taswa FC ambayo inadhaminiwa na Benki ya Posta Tanzania (TPB) ilianza mchezo huo polepole huku wapinzani wao wakiongozwa na Barnaba Emilio na Jerry Mtetema kutawala dakika 10 za mwanzo na kukosa mabao kadhaa. Taswa FC chini ya Ali Mkongwe, Majuto “Ronaldo”...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

TASWA FC YASHINDA 5-3, YAOMBA UDHAMINI KWA WADAU

Mchezaji wa Taswa FC, Shadrack Kilasi akimiliki mpira katika moja ya mechi za timu hiyo mkoani Iringa.


Na Mwandishi wetu
Timu ya soka ya waandishi wa habari za michezo nchini, Taswa FC imeendelea kutamba katika mechi zake za kirafiki baada ya kuisambaratisha timu ya Warioba Veterans mabao 5-3 katika mchezo uliofanyika kwenye uwanja wa Bora, Kijitonyama. 
Taswa FC ambayo inadhaminiwa na Benki ya Posta Tanzania (TPB) ilianza mchezo huo polepole huku wapinzani wao wakiongozwa na Barnaba Emilio...

 

9 years ago

Vijimambo

TASWA YAPATA UDHAMINI WA MILIONI 50 TUZO ZA WANAMICHEZO TOKA TAASISI YA GSM


TAASISI ya GSM Foundation ya Dar es Salaam imetoa Sh milioni 50 kwa ajili ya kudhamini tuzo za wanamichezo waliofanya vizuri zaidi katika miaka 10 ya uongozi wa Rais Jakaya Kikwete. Utoaji wa tuzo hizo utafanyika Oktoba 8, mwaka huu ukumbi wa Mlimani City, Dar es Salaam, ambapo wanamichezo pia watatumia tuzo hizo zilizoandaliwa na Chama cha Waandishi wa Habari za Michezo Tanzania (TASWA) kumuaga Rais Kikwete anayemaliza muda wake kikatiba. 
Kwa mujibu wa TASWA licha ya kumuaga Rais Kikwete...

 

11 years ago

Michuzi

sakamu za Iddi toka kwa wadau washington DC, Marekani

Wadau Bw.Suleiman Saleh na Bw.Iddi Seif Bakari wa Washington DC, Markani,  wanapenda kuwatakia Watanzania wote Iddi yenye  kheri nyingi na utulivu.Tunamshukuru Mungu kwa kutujaalia Ramadhani njema.

 

11 years ago

Michuzi

salamu za pasaka toka globu ya jamii kwa wadau duniani kote

Uongozi wa Michuzi Media Group na watendaji wote unawatakia wadau wa Globu ya Jamii kila pembe ya dunia PASAKA njema. Furaha yenu ndio furaha yetu, na BWANA awabariki afya njema.

 

10 years ago

Vijimambo

KIJIWE CHA UGHAIBUNI NA WADAU TOKA NEW YORK AUGUST 23, SAA 10 JIONI NYUMABANI KWA DR TEMBA.

Wadau wa Diaspora mnakaribishwa ku record kijiwe cha Ughaibu siku ya jumapili tarehe 23 kuanzanzia saa 10 jioni. nyumbani kwa Dr Temba maudhui ya Kijiwe hicho ni kuzungumzia mchakato mzima wa siasa ya nchi yetu ya Tanzania kuelekea kwenye uchaguzi Oct 25. Mtu yeyote anakaribishwa kuja kuchangia hoja ya mtazamo na uelewa wake juu ya yote yanayoendelea Tanzania kwa sasa kuelekea kwenye uchaguzi. Piga simu hii #347 -475 -4313 kupata usaili wa jinsi ya kuhudhuria kijiwe hicho. Watu 10...

 

5 years ago

CCM Blog

WAZIRI UMMY ATAKA USHIRIKIANO TOKA KWA WADAU VIRUSI VYA CORONA HAVIINGI TANZANIA

  Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu amekutana na kufanya mazungumzo na wadau wa sekta ya afya lengo likiwa ni kujadili kwa pamoja tishio la mlipuko wa virusi vya corona.
Ummy alisema katika kikao hicho waliwaeleza wadau kama taarifa ya Shirika la Afya Duniani (WHO) limetangaza hali ya maambukizi ya ugonjwa huo duniani, hivyo kama Serikali ni vyema kuwapatia taarifa wadau hao.
“Tumewapa taarifa wadau wetu na kuwahakikishia kwamba Tanzania hakuna mtu...

 

11 years ago

Michuzi

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani