Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MKONO WA IDDI TOKA KWA AFANDE MSANGI RPC WA MBEYA

KAMANDA WA POLISI MKOA WA MBEYA KAMISHNA MSAIDIZI MWANDAMIZI WA POLISI AHMED ZAHORO MSANGI ANAWATAKIA EID MUBARAK WAANDISHI WOTE WA HABARI WA NDANI NA NJE YA MKOA WA MBEYA. PIA WA VYOMBO MBALIMBALI KAMA VILE REDIO, TELEVISHENI, MAGAZETI, BLOGS NA MITANDAO MINGINE YA KIJAMII.WITO: TUSHEREHEKEE KWA AMANI NA UTULIVU BILA KUWEPO NA HALI/VIASHIRIA VYOVYOTE VYA UVUNJIFU WA AMANIMBEYA BILA UHALIFU INAWEZEKANA, ULINZI NA USALAMA UNAANZA NA MIMI, WEWE NA SISI SOTE!"EID MUBARAK"

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Tanzania Daima

RPC Msangi awachefua CHADEMA

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Wilaya ya Mbeya Mjini kimetoa siku tatu kwa Kamanda wa polisi Mkoa wa Mbeya Ahmed Msangi, kukanusha kauli yake aliyotoa hivi karibuni ya kuwa...

 

11 years ago

Mwananchi

Watendaji Polisi jifunzeni kwa RPC wa Mbeya

Nimevutiwa na utaratibu anaoutumia Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Mbeya, Ahmed Msangi wa kutoa taarifa ya matukio mbalimbali ya uhalifu mkoani mwake.

 

11 years ago

Michuzi

sakamu za Iddi toka kwa wadau washington DC, Marekani

Wadau Bw.Suleiman Saleh na Bw.Iddi Seif Bakari wa Washington DC, Markani,  wanapenda kuwatakia Watanzania wote Iddi yenye  kheri nyingi na utulivu.Tunamshukuru Mungu kwa kutujaalia Ramadhani njema.

 

10 years ago

Habarileo

Rais atoa mkono wa Iddi kwa wenye mahitaji maalumu

RAIS Jakaya Kikwete ametoa mkono wa Sikukuu ya Iddi kwa watu wa makundi mbalimbali wenye mahitaji maalum ikiwa ni pamoja na vituo vya watoto yatima, walemavu na wazee zawadi zenye thamani ya zaidi ya Sh 7, 420,000.

 

10 years ago

IPPmedia

Mbeya Regional Police Commander, Ahmed Msangi


IPPmedia
Mbeya Regional Police Commander, Ahmed Msangi
IPPmedia
Tragedy hit Idweli village in Rungwe Region yesterday when 3 people were burnt to death as they attempted to siphon petrol from an overturned petrol tanker, a practice repeatedly condemned. Eighteen others sustained high degree burns and are admitted ...

 

10 years ago

Vijimambo

BALOZI IDDI APOKEA MAANDAMANO YA WAZAZI NA WANAFUNZI KUUNGA MKONO UCHANGIAJI WA ELIMU

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akipokea Maandamano ya Wanafunzi na wazazi wa Wilaya ya Magharibi kuunga mkono kauli ya Rais wa Zanzibar Dkt. Ali Mohammed Shein, kuhusu uchangiaji wa elimu ya msingi na ada za mitihani kwa Kidato cha Nne na Cha Sita aliyoitoa katika kilele cha sherehe za kutimia miaka 51 ya Mapinduzi ya Zanzibar.Baadhi ya wazee na wazazi wa Wilaya ya Magharibi wakiwa katika mkutano wa Kumpongeza Rais Shein kufuta uchangiaji kwa elimu ya msingi na ada...

 

10 years ago

Michuzi

BALOZI SEIF ALI IDDI AWAKUMBUSHA WANANCHI KUWAUNGA MKONO VIONGOZI WANAOWASIMAMIA HARAKATI ZA MAENDELEO YAO.

 Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akimkabidhi msaada wa Vipaza sauti Amiri  wa Jumuiya ya Sherehe za Siku Kuu ya Iddi Matemwe Ustaadhi Kundi Choum Haji kutekeleza ahadi aliyoip[a Jumuiya hiyo wakati wa sherehe za siku kuu ya Iddi el Hajj iliyopita.  Mke wa Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mama Asha Suleiman  Iddi akimkabidhi  mchango wa Shilingi 400,000/-  kwa kila kikundi miongoni mwa  vikundi 14 vya Ushirika wa Akina Mama vilivyomo ndani ya  Wilaya ya Kaskazini “ A...

 

11 years ago

Dewji Blog

Balozi Seif Ali Iddi aiomba IFAD kuendelea kuwaunga mkono wazalishaji katika sekta ya kilimo Zanzibar

342

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif  Ali Iddi akiwa pamoja na Mkewe Mama Asha Suleiman Iddi kwenye chakula maalum cha usiku walichoandaliwa wajumbe wa Bodi Tendaji ya Mfuko wa Kimataifa wa Kilimo { IFAD } hapo Serena Hoteli Shangani Mjini Zanzibar.

Mfuko wa Kimataifa wa Maendeleo ya Kilimo { IFAD }umeombwa kuendelea kuunga mkono Sekta ya Kilimo Zanzibar katika njia ya kuwajengea uwezo wazalishaji wa Sekta hiyo mama ya uchumi  kupitia mfumo wa Teknolojia ya kisasa.

Ombi hilo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani