BALOZI IDDI APOKEA MAANDAMANO YA WAZAZI NA WANAFUNZI KUUNGA MKONO UCHANGIAJI WA ELIMU
![](http://4.bp.blogspot.com/-gqUnkKm-2AQ/VL9ks1swKhI/AAAAAAACWAg/hIQjh-W-vNg/s72-c/900.jpg)
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akipokea Maandamano ya Wanafunzi na wazazi wa Wilaya ya Magharibi kuunga mkono kauli ya Rais wa Zanzibar Dkt. Ali Mohammed Shein, kuhusu uchangiaji wa elimu ya msingi na ada za mitihani kwa Kidato cha Nne na Cha Sita aliyoitoa katika kilele cha sherehe za kutimia miaka 51 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Baadhi ya wazee na wazazi wa Wilaya ya Magharibi wakiwa katika mkutano wa Kumpongeza Rais Shein kufuta uchangiaji kwa elimu ya msingi na ada...
Vijimambo