Bendera aongoza mamia kumzika mtoto Nasra
NA MWANDISHI WETU, MOROGORO
MKUU wa Mkoa wa Morogoro, Joel Bendera, jana aliongoza mamia ya wakazi wa mkoa huo katika mazishi ya mtoto Nasra Mvungi, aliyekaa kwenye boksi kwa miaka minne.
Nasra alifariki dunia Jumapili iliyopita katika Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), alikokuwa amelazwa akitokea katika Hospitali ya Rufani ya Morogoro.
Mazishi hayo yalifanyika katika makaburi ya Kola, Manispaa ya Morogoro, ambayo yalitanguliwa na ibada ya sala pamoja na kuuaga mwili wa mtoto huyo katika...
Uhuru Newspaper
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi16 Oct
Kikwete aongoza mamia kumzika Kigoda
10 years ago
Mtanzania15 Sep
Mbowe aongoza mamia kumzika Mtoi
NA OSCAR ASSENGA, LUSHOTO
MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendelo (Chadema), jana ameongoza mamia ya wananchi wa Jimbo la Lushoto mkoani Tanga, wakati wa mazishi ya aliyekuwa mgombea wa jimbo hilo, marehemu Mohomed Mtoi.
Katika mazishi hayo, Mbowe aliiomba Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) ihairishe uchaguzi wa jimbo la Lushoto ili waweze kuanza mchakato wa kutafuta mgombea mwingine wa kuziba nafasi iliyoachwa na marehemu Mtoi ambaye alifariki kwa ajali ya gari juzi.
Alisema uchaguzi wa...
10 years ago
Mwananchi30 Apr
JK aongoza mamia kumzika Brigedia Jenerali Mbita
10 years ago
Michuzi
RAIS KIKWETE AONGOZA MAMIA KUMZIKA DK.KIGODA HANDENI LEO

11 years ago
CloudsFM03 Jun
11 years ago
Dewji Blog26 Jul
Mkuu wa Mkoa Morogoro aongoza mamia kumzika Mke wa Mbunge a Jimbo la Morogoro Kusini
Mkuu wa mkoa akimpeleka Mbunge wa Jimbo la Morogoro Kusini Mh Innocent Kalogeris kupokea mwili wa mpendwa mke wake,kulia ni dada wa mbunge huyo.
Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Mh Dr Joel Bendera Leo amewaongoza mamia ya wananchi wa mkoa wa Morogoro kumzika Mke wa Mbunge wa Jimbo la Morogoro Kusini, Mh lnocenti Kalogeris watu mbali mbali wakiwemo wabunge,wakuu wa mikoa wa staafu na watu mashuhuri wamefurika nyumbani kwa mbunge huyo ambaye pia ni mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa...
11 years ago
MichuziMKUU WA MKOA MOROGORO AONGOZA MAMIA KUMZIKA MKE WA MBUNGE WA JIMBO LA MOROGORO KUSINI
11 years ago
TheCitizen04 Jun
Bendera condemns Nasra’s parents for neglecting their child
10 years ago
Mtanzania24 Feb
Mamia wajitokeza kumzika Mez B
NA RAMADHAN HASSAN, DODOMA
MAMIA ya mashabiki na wasanii wa muziki wa kizazi kipya, jana walijitokeza kuupumzisha mwili wa msanii, Moses Bushangama ‘Mez B’, katika makaburi ya Wahanga wa Treni, Mailimbili mkoani hapa.
Akizungumza wakati wa kuuaga mwili huo, mama wa marehemu, Mchungaji Mary Katambi, aliwataka vijana kumrudia Mungu.
“Mwanangu aliuona uwepo wa Mungu, nilikuwa nikimsihi kuokoka na kumrudia Mungu na alikuwa akinijibu itafika wakati mimi wa yeye kufanya hivyo,” alisema...
Magazeti ya Leo
-
1
-
2
-
3
-
4
-
5
-
6
-
7
-
8
-
9
-
10