Wabunge washiriki zoezi la kupima afya zao mjini Dodoma
![](http://4.bp.blogspot.com/-gkS6jx9KB-I/VGiTlFd0OsI/AAAAAAAGxoE/jmn-v8w-3H8/s72-c/IMG-20141115-WA0017.jpg)
Waziri wa Afya Mhe.Dkt Seif Rashidi aongoza zoezi la kupima afya za Wabunge katika Ukumbi wa Msekwa jana.Upimaji wa afya za Wabunge umefanywa na Madaktari wa Aga Khan kutoka Morogoro,Dar. na Dodoma.Waziri wa Afya Mhe.Dkt Seif Rashidi (kulia) akisalimiana na Mtendaji Mkuu wa Hospitali ya Agha Khan,Sisawo Konteh wakati wa zoezi la upimaji wa Afya kwa Waheshimiwa Wabunge,Mjini Dodoma jana.Katikani ni Mmoja wa Maafisa waandamizi wa Hospitali ya Agha Khan.
Mbunge wa Jimbo la Mbeya...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-sVuf27WRJV0/UySGclMJuBI/AAAAAAAFTp4/7uKR1VqwRfA/s72-c/unnamed+(14).jpg)
Zoezi la kuapishwa wabunge wa bunge maalum la katiba mpya laendelea vyema mjini dodoma
![](http://3.bp.blogspot.com/-sVuf27WRJV0/UySGclMJuBI/AAAAAAAFTp4/7uKR1VqwRfA/s1600/unnamed+(14).jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-VoA-ZX2uJ-Q/UySGcj9GzWI/AAAAAAAFTpo/8IO7zMEBxms/s1600/unnamed+(15).jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-B2GMg7I8QDE/UySGcuQn8vI/AAAAAAAFTps/mTLB8ZkfVLs/s1600/unnamed+(16).jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-qC1iEtENiDs/UySGdLwYZsI/AAAAAAAFTp0/MVm8Dktpcxo/s1600/unnamed+(18).jpg)
10 years ago
Tanzania Daima18 Nov
Watanzania watakiwa kupima afya zao
WAZIRI wa Afya na Ustawi wa jamii, Dk. Seif Rashid, amewataka Watanzania kujijengea utaratibu wa kupima afya zao mara kwa mara badala ya kusubiri wafikie dalili za ugonjwa hatua mbaya....
10 years ago
Tanzania Daima26 Sep
Wanawake waaswa kupima afya zao
MWENYEKITI wa Umoja wa Wanawake wa Chama cha Mapinduzi Mkoa wa Iringa (UWT), Zainab Mwamwindi, ametoa wito kwa wanawake mkoani hapa kuchunguza afya zao kwa lengo la kubaini magonjwa yanayowakabili...
10 years ago
Tanzania Daima04 Nov
Madiwani watakiwa kupima afya zao
MWENYEKITI wa Halmashauri ya Wilaya ya Kilolo mkoani Iringa, Joseph Muhumba, ametoa wito kwa madiwani kuchunguza afya zao kwa lengo la kubaini magonjwa yanayowakabili na kupata tiba mapema sambamba na...
10 years ago
Dewji Blog02 Jan
Zoezi la kupima ulevi kwa madereva wa mabasi, latua Singida mjini
Mrakibu msaidizi wa polisi (ACP) mkuu wa kitengo cha elimu kwa umma makao makuu ya usalama barabarani jijini Dar-es-salaam, Abel Swai, akiwahamasisha abiria wa basi la kampuni ya France line lililokuwa likitokea Dodoma kwenda Arusha mjini kutoa taarifa kwa jeshi la polisi endapo watagundua dereva mlevi,kucheleweshwa au gari ni mbovu,ili hatua za haraka ziweze kuchukuliwa.
Na Nathaniel Limu, Singida
MRAKIBU msaidizi wa polisi makao makuu kitengo cha elimu kwa umma usalama barabarani...
10 years ago
MichuziMAMIA WAFURIKA BANDA LA MFUKO WA TAIFA WA BIMA YA AFYA (NHIF), KUPIMA AFYA ZAO KATIKA MAONYESHO YA WIKI YA UTUMISHI WA UMMA VIWANJA VYA MNAZI MMOJA JIJINI DAR
10 years ago
VijimamboMAMIA WAFURIKA BANDA LA MFUKO WA TAIFA WA BIMA YA AFYA (NHIF), KUPIMA AFYA ZAO KATIKA MAONYESHO YA WIKI YA UTUMISHI WA UMMA VIWANJA VYA MNAZI MMOJA JIJINI DAR ES SALAAM
11 years ago
MichuziNHIF YAWAHIMIZA WAKAZI WA MKOA WA LINDI NA MTWARA KUPIMA AFYA ZAO
Katibu Msaidizi wa CCM wilaya ya Lindi vijijini,Bw Ngaticheakipima afya yake katika banda la NHIF alipotembelea banda hilo katikaviwanja vya nanenane Ngongo
Naibu waziri wa kilimo na chakula ,Godfrey Zambi akipokeamaalezo mbalimbali kuhusiana na NHIF Toka kwa meneja wa mkoa wa Lindi Bi Fortunata Kullaya huku Mkurugenzi wa masoko Bw Raphae mwamoto akisikiliza kwa umakini kuhusiana na Chf inavyofanya vizuri wilayani Nachingwea.
9 years ago
Dewji Blog02 Dec
Wafanyakazi TBL Group waadhimisha Siku ya UKIMWI duniani kwa kupima afya zao
Mfanyakazi wa Kampuni ya TBL; kiwanda cha kuzalisha pombe kinywaji aina ya Chibuku kilichopo Ubungo Dar es Salaam,Reocatus Hanania akipewa ushauri nasaha na akimsikiliza mtoa ushauri nasaha kutoka Kampuni ya bima ya Afya ya Metropolitan; Aurelia Kanambi kabla ya kupima Virusi vya Ukimwi ikiwa ni sehemu ya maadhimishao ya siku ya Ukimwi Duniani. TBL kila mwaka ambapo Kampuni ya kutengezea bia (TBL) hiyo kila mwaka huadhimisha siku hiyo kwa kualika wataalamu wa afya kwa ajili ya kutoa...