Wabunge watakiwa kutathmini VAT
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimetaka wabunge wake, kuhakikisha wanafanya tathmini na kupitia upya Sheria ya Kodi ya Ongezeko la Thamani (VAT) na kuweka viwango vya tozo hiyo, kulingana na huduma inayotolewa kupunguza malalamiko ya wananchi.
habarileo
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima22 Apr
Wakazi Tunduma watakiwa kutathmini nyumba zao
DIWANI wa Tunduma, Frank Mwakajoka, amewataka wakazi wa kata hiyo ambao nyumba zao zipo kandokando mwa barabara kuu ya Tunduma -Sumbawanga kuzifanyia tathmini kama zipo ndani ya hifadhi ya barabara...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-fUTIJubUwxw/Xr0-7Jps3eI/AAAAAAALqOo/nGqix_dAVxocpk332gpr6XMjZQpc1-uzQCLcBGAsYHQ/s72-c/Pic-1-aAA-768x512.jpg)
WAJUMBE UMOJA WA WABUNGE WANAWAKE TANZANIA WASHIRIKI KIKAO CHA MAANDALIZI YA KUTATHMINI MAENDELEO YA PROGRAMU YA MALEZI JIJINI DODOMA
![](https://1.bp.blogspot.com/-fUTIJubUwxw/Xr0-7Jps3eI/AAAAAAALqOo/nGqix_dAVxocpk332gpr6XMjZQpc1-uzQCLcBGAsYHQ/s640/Pic-1-aAA-768x512.jpg)
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2020/05/Pic-bAA-1024x659.jpg)
Naibu Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson akizungumza jambo mbele ya Wajumbe wa Umoja wa Wabunge Wanawake Tanzania (TWPG) wakati wa kikao cha Maandalizi ya Kutathmini Maendeleo ya Programu ya Malezi kilichofanyika leo katika Ukumbi wa Msekwa Bungeni Jijini Dodoma.
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2020/05/Pic-2AA-1-1024x682.jpg)
11 years ago
Tanzania Daima19 Feb
Wabunge watakiwa kuwa wazalendo
CHAMA cha Waandishi wa Habari wa Kupiga Vita Matumizi ya Dawa za Kulevya na Uhalifu Tanzania (OJADACT), kimewataka wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba kuwa wazalendo wa kuzipigania tunu za...
10 years ago
Habarileo01 Jul
Tanesco, wabunge watakiwa kukaa pamoja
SERIKALI imewaagiza maofisa wa Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco), katika ngazi ya mkoa, kukaa na viongozi wa wilaya na wabunge wa maeneo husika, kuainisha mahitaji ya umeme, yaliyopo kwenye maeneo husika na kuyatafutiwa ufumbuzi.
11 years ago
Mwananchi18 Dec
Wabunge waliokwepa safari watakiwa kurejesha posho
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-UzJXHhC7bVE/XrmSO-Ym42I/AAAAAAALp1c/59TQt1nU8RwdHUsSgX0WJ3SFn_hkU0S8ACLcBGAsYHQ/s72-c/mnyikapic.jpg)
KIMENUKA CHADEMA... WABUNGE WANNE WAFUTWA UANACHAMA, WENGINE NAO WATAKIWA KUJIELEZA
![](https://1.bp.blogspot.com/-UzJXHhC7bVE/XrmSO-Ym42I/AAAAAAALp1c/59TQt1nU8RwdHUsSgX0WJ3SFn_hkU0S8ACLcBGAsYHQ/s400/mnyikapic.jpg)
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimetangaza kuwafukuza uanachama Mbunge wake Anthony Komu pamoja na Joseph Selani kwa madai licha ya kujipotezea sifa ya uanachama wameendelea kutoa maneno ya kejeli na dharau dhidi ya Chama na viongozi wake.
Pia Chama hicho kimetangaza kuwafuta unachama Mbunge David Silinde na Mbunge Wilfred Rwakatare kutokana na sababu mbalimbali ikiwemo ya kuonekana kwenye vyombo vya habari na njia nyingine za mawasiliano kutoa...
11 years ago
Tanzania Daima22 Apr
Faida za kutathmini biashara
WAFANYABIASHARA wengi hawana utamaduni wa kupima hali ya biashara zao, wamekuwa wakifanya biashara kimazoea. Jambo hilo huwagharimu na hata wakati mwingine biashara inashindwa kustahimili na kuanguka kabisa. Biashara inapaswa kuchekiwa...
10 years ago
Mwananchi23 Aug
Serikali kutathmini mfumo wa usajili
10 years ago
Habarileo16 Dec
Kamati Kuu Chadema kutathmini uchaguzi
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kinatarajia kuitisha kikao cha Kamati Kuu Maalumu ili kujadili matokeo ya uchaguzi wa mitaa na hatua watakazochukua.