Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Faida za kutathmini biashara

WAFANYABIASHARA  wengi hawana utamaduni wa kupima hali ya biashara zao, wamekuwa wakifanya biashara kimazoea. Jambo hilo huwagharimu na hata wakati mwingine biashara inashindwa kustahimili na kuanguka kabisa. Biashara inapaswa kuchekiwa...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Namna ya kufanya biashara kwa faida

Tumekuwa tukisoma na hata kusikia mazungumzo ya kawaida na kwenye vyombo vya habari juu ya ndoto za wajasiriamali mbalimbali wakisema wanataka kuwa kama mfanyabiashara fulani maarufu kutokana na biashara wanazozifanya.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Urasimishaji biashara na faida zake kiuchumi

UCHUMI wa Tanzania umeelezwa kuimarika huku pato laifa likikuwa kwa asilimia 7, lakini ukuaji huo hauna matokeo chanya kwa mwananchi. Moja ya sababu kubwa ni kwamba watu wengi hawajarasimisha rasilimali...

 

11 years ago

Habarileo

Wabunge watakiwa kutathmini VAT

Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman KinanaCHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimetaka wabunge wake, kuhakikisha wanafanya tathmini na kupitia upya Sheria ya Kodi ya Ongezeko la Thamani (VAT) na kuweka viwango vya tozo hiyo, kulingana na huduma inayotolewa kupunguza malalamiko ya wananchi.

 

10 years ago

Mwananchi

Serikali kutathmini mfumo wa usajili

Serikali imekusudia kufanya tathmini ya mfumo wa usajili wa matukio mbalimbali muhimu ya maisha na ukusanyaji wa takwimu nchini, ili kuchukua na kuhifadhi taarifa za kina zinazohusu vizazi, vifo, ndoa na talaka.

 

11 years ago

Mwananchi

Namna ya kutathmini kama bajeti ni nzuri au la !

MIAKA hamsini baada ya Tanganyika kuungana na Zanzibar na kuunda Tanzania; miaka 53 toka Tanganyika iwe huru;  miaka 51 tangu Zanzibar kupata uhuru wa bendera;  na miaka zaidi ya 100 toka reli ya kati kujengwa na Mjerumani ninatamani kuona bajeti ya JMT inayotupa bajeti ambayo matumizi ya maendeleo ni kubwa kuliko bajeti ya matumizi.

 

10 years ago

Habarileo

Kamati Kuu Chadema kutathmini uchaguzi

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kinatarajia kuitisha kikao cha Kamati Kuu Maalumu ili kujadili matokeo ya uchaguzi wa mitaa na hatua watakazochukua.

 

10 years ago

Michuzi

11 years ago

Tanzania Daima

Wakazi Tunduma watakiwa kutathmini nyumba zao

DIWANI wa Tunduma, Frank Mwakajoka, amewataka wakazi wa kata hiyo ambao nyumba zao zipo kandokando mwa barabara kuu ya Tunduma -Sumbawanga kuzifanyia tathmini kama zipo ndani ya hifadhi ya barabara...

 

10 years ago

Mwananchi

Wanawake watumie siku hii kutathmini mafanikio

Leo ni Siku ya Wanawake Duniani. Wanawake huadhimisha siku hii kwa kufanya shughuli mbalimbali zinazoonyesha umuhimu wao katika jamii na hivyo kuhimiza haki za wanawake zizingatiwe, ikiwa ni pamoja na malezi na elimu kwa watoto wa kike.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani