Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Namna ya kufanya biashara kwa faida

Tumekuwa tukisoma na hata kusikia mazungumzo ya kawaida na kwenye vyombo vya habari juu ya ndoto za wajasiriamali mbalimbali wakisema wanataka kuwa kama mfanyabiashara fulani maarufu kutokana na biashara wanazozifanya.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

NAMNA BIASHARA YA UTUMWA ILIVYOANZA KWA KUUZA WAFUNGWA IRISH

Na Leandra Gabriel, Michuzi TVBIASHARA ya utumwa nchini Irish ilianza kwa binadamu kuuzwa, wakati wa utawala wa Mfalme James wa pili aliruhusu kuuzwa kwa wafungwa 30,000 wakiwemo wanaume, wanawake na mabinti wadogo.
Katika miaka ya 1660 Irishi ilikua kitovu cha biashara ya utumwa na wengi wao waliuzwa katika maeneo ya Antigua na Montserrat na kwa wakati huo asilimia 70 ya watu Montserrat walikuwa watumwa kutoka Irish.
Irish imeandikwa katika historia kwa kuwa kitovu  cha biashara ya wanadamu...

 

10 years ago

Michuzi

MAKALA SHERIA: HAITOSHI KUUNDA KAMPUNI, LAZIMA UWE NA LESENI YA BIASHARA, HII NI NAMNA YA KUPATA LESENI YA BIASHARA

Na   Bashir     Yakub
Katika  makala  iliyopita  nilisema  kuwa  vijana  wengi   wajasiriamali  wanaofungua   biashara  za  makampuni   wanao  uwezo  mkubwa   wa kufika mbali   isipokuwa  tatizo  lao  ni  taarifa za  mambo  mbalimbali   kuhusu uendeshaji  wa  kampuni   hizo. 
 Mambo  ya uendeshaji   wa  kampuni  ni  mepesi sana  na  yanawezwa   na  mtu  yeyote isiopokuwa   tatizo   ni   taarifa   na  elimu ya  namna  ya  uendeshaji  kisheria   ili   kampuni   ionekane  ni kampuni.  Nilieleza...

 

10 years ago

Mwananchi

Mbinu sahihi za kufanya biashara kwa mafanikio

Tumekuwa tukisoma na hata kusikia mazungumzo ya kawaida na kwenye vyombo vya habari juu ya ndoto za wajasiriamali. Baadhi yao wamekuwa wakisema wanataka kuwa kama mfanyabiashara fulani maarufu kutokana na biashara wanazozifanya.

 

10 years ago

Bongo5

Wasomi wengi hawawezi kufanya biashara, ila wanasaidia biashara nyingi kukua

Unapotazama kwa umakini suala la uchumi na mambo ya biashara utagundua wamiliki wakubwa wa biashara nyingi sio wasomi sana ukilinganisha na walioajiriwa kuendesha hizo biashara. Nilipokuwa nikisoma maelezo ya mtu mmoja alizungumzia kitu fulani cha msingi ambacho kinatukabiri sisi ambao kwa namna moja ama nyingine tunasema ni wasomi lakini hatuwezi kuendesha biashara zetu wenyewe. Kitu […]

 

10 years ago

Mwananchi

Lengo ni kuwawezesha kufanya biashara zao kwa tija

Halmashahuri ya Manispaa ya Morogoro, kwa kushirikiana na Chuo cha Ufundi Stadi (Veta), inakusudia kuanzisha mpango maalumu wa elimu kwa wajasiriamali wadogo wenye lengo la kuwawezesha kupata maarifa ya kuendesha biashara zao kwa tija.

 

9 years ago

Mtanzania

Kizimbani kwa kupeleka wanawake Kenya kufanya biashara ya ngono

Na Kulwa Mzee, Dar es Salaam

WANAWAKE wawili wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kwa tuhuma za kusafirisha mabinti kutoka Tanzania kwenda Kenya kwa ajili ya kuwafanyisha ngono.

Washtakiwa hao Jackline Milinga (23) na Mary Amukowa (29) ambaye ni Mkenya walifikishwa mahakamani hapo jana na kusomewa mashtaka ya kuwasafirisha mabinti 10.

Wakisomewa mashtaka mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu, Waliarwande Lema na Wakili wa Serikali, Jackline Nyantori na Selestine Makoba walidaiwa kutenda...

 

9 years ago

Vijimambo

KIZIMBANI KWA KUPELEKA WANAWAKE KENYA KUFANYA BIASHARA YA NGONO

Na Kulwa Mzee, Dar es Salaam
WANAWAKE wawili wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kwa tuhuma za kusafirisha mabinti kutoka Tanzania kwenda Kenya kwa ajili ya kuwafanyisha ngono.
Washtakiwa hao Jackline Milinga (23) na Mary Amukowa (29) ambaye ni Mkenya walifikishwa mahakamani hapo jana na kusomewa mashtaka ya kuwasafirisha mabinti 10.
Wakisomewa mashtaka mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu, Waliarwande Lema na Wakili wa Serikali, Jackline Nyantori na Selestine Makoba walidaiwa kutenda...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Faida za kutathmini biashara

WAFANYABIASHARA  wengi hawana utamaduni wa kupima hali ya biashara zao, wamekuwa wakifanya biashara kimazoea. Jambo hilo huwagharimu na hata wakati mwingine biashara inashindwa kustahimili na kuanguka kabisa. Biashara inapaswa kuchekiwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani