Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wasomi wengi hawawezi kufanya biashara, ila wanasaidia biashara nyingi kukua

Unapotazama kwa umakini suala la uchumi na mambo ya biashara utagundua wamiliki wakubwa wa biashara nyingi sio wasomi sana ukilinganisha na walioajiriwa kuendesha hizo biashara. Nilipokuwa nikisoma maelezo ya mtu mmoja alizungumzia kitu fulani cha msingi ambacho kinatukabiri sisi ambao kwa namna moja ama nyingine tunasema ni wasomi lakini hatuwezi kuendesha biashara zetu wenyewe. Kitu […]

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

Vodacom Yatangaza Kukua kwa Biashara, yaendelea Kuongoza katika umiliki wa soko la wateja.


Yaendelea kuongoza soko baada ya kufikisha wateja milioni 15.5.Yatumia Shilingi 154.6 bilioni kuboresha miundombinu ya mawasiliano hivyo kunufaisha wateja kwa huduma bora na za kiwango cha juu. Kampuni ya simu za mkononi inayoongoza kidijitali nchini, Vodacom Tanzania PLC imetoa matokeo ya awali ya kifedha kwa mwaka unaoishia tarehe 31 Machi 2020, ikionyesha ukuaji wa kibiashara unaodhihirishwa na ongezeko la umiliki wake wa soko kufikia asilimia 32.8 baada ya kuongeza idadi ya wateja wake...

 

5 years ago

Michuzi

WAZIRI WA VIWANDA NA BIASHARA INNOCENT BASHUNGWA ASHIRIKI MKUTANO WA JUKWAA LA KUMI LA BIASHARA ZANZIBAR.

Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Innocent Bashungwa ameshiriki kwenye Mkutano wa Jukwaa la kumi (10) la biashara Zanzibar. Lenye kauli mbiu isemayo “Ushirikishwaji katika kuleta maendeleo endelevu kupitia uchumi wa bahari"

Mkutano huo umefunguliwa Leo 07.03.2020 katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Zanzibar na Mgeni rasmi alikuwa ni Mwenyekiti wa jukwaa la biashara na Rais wa Zanzibar Mhe .Dkt Ali Mohamed Shein ambae amefungua jukwaa hilo ambalo lengo kuu ni kutazama fursa...

 

11 years ago

Mwananchi

‘Acheni kufanya biashara za kuigana’

Mratibu wa Mafunzo ya Ujasiriamali kutoka Shirika la Alied Kemiko, Debora Magese amewataka wajasiriamali nchini kuwa wabunifu na kuepuka kufanya biashara za kufanana ili kukuza kipato chao.

 

9 years ago

Michuzi

KATIBU MKUU WA WIZARA YA VIWANDA NA BIASHARA AFUNGUA MAONYESHO YA BIASHARA YA BIDHAA ZA CHINA 2015, DAR ES SALAAM LEO

 Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda na Biashara, Uledi Mussa (wa tano kulia), akifurahi baada ya kukata utepe kuashiria ufunguzi wa Maonyesho ya Biashara ya Bidhaa za China 2015, uliofanyika Ukumbi wa Karimjee Dar es Salaam leo asubuhi. Wengine na maofisa biashara wa China na wadau wa masuala ya biashara. Hapa Katibu Uledi Mussa akitia saini wakati wa ufunguzi wa maonyesha hayo. Hapa akioneshwa bidhaa mbalimbali.

KWA PICHA ZAIDI BOFYA HAPA.

 

10 years ago

Habarileo

Wanawake washauriwa kufanya biashara kubwa

MKE wa Rais, Mama Salma Kikwete amewataka wanawake nchini kutoridhika na biashara ndogo ambazo ni za kujikimu tu, na badala yake wawe na mtazamo wa kufanya biashara kubwa zitakazosaidia kuongeza uchumi wa familia.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Utafiti muhimu kabla ya kufanya biashara

WATU wengi hufikiri kwamba mtaji ni kigezo pekee cha kuanzisha biashara na kutoona umuhimu wa kufanya utafiti. Kutokana na hali hiyo, hujikuta biashara zao zikishindwa kuhimili ushindani kwa kuanguka au...

 

10 years ago

Mwananchi

Namna ya kufanya biashara kwa faida

Tumekuwa tukisoma na hata kusikia mazungumzo ya kawaida na kwenye vyombo vya habari juu ya ndoto za wajasiriamali mbalimbali wakisema wanataka kuwa kama mfanyabiashara fulani maarufu kutokana na biashara wanazozifanya.

 

11 years ago

Michuzi

NSSF YAVUTIA WENGI KATIKA MAONESHO YA BIASHARA YA KIMATAIFA JIJINI TANGA


Ofisa wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya jamii (NSSF), Chiku Said akiwasikiliza wateja waliofika katika banda la NSSF kwa ajili ya kupata elimu na uandikishwaji. Kwa sasa shirika lina aina mbili ya uachama yaani wanachama wa hiari na ule wa kawaida. Katika kuhakikisha shirika linapanua huduma zake za hifadhi ya jamii ya watanzania wengi, NSSF imekuja na mpango maalum wa kuandikisha na kukusanya michango kwa wakulima , wajasiriamali, wachimbaji madini wadogo na wafanyabiashara ndogondogo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani