Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


‘Acheni kufanya biashara za kuigana’

Mratibu wa Mafunzo ya Ujasiriamali kutoka Shirika la Alied Kemiko, Debora Magese amewataka wajasiriamali nchini kuwa wabunifu na kuepuka kufanya biashara za kufanana ili kukuza kipato chao.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo5

Wasomi wengi hawawezi kufanya biashara, ila wanasaidia biashara nyingi kukua

Unapotazama kwa umakini suala la uchumi na mambo ya biashara utagundua wamiliki wakubwa wa biashara nyingi sio wasomi sana ukilinganisha na walioajiriwa kuendesha hizo biashara. Nilipokuwa nikisoma maelezo ya mtu mmoja alizungumzia kitu fulani cha msingi ambacho kinatukabiri sisi ambao kwa namna moja ama nyingine tunasema ni wasomi lakini hatuwezi kuendesha biashara zetu wenyewe. Kitu […]

 

5 years ago

Michuzi

MAJALIWA: WENYEVITI WA VIJIJI ACHENI BIASHARA YA ARDHI


WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ameonya tabia ya baadhi ya wenyeviti wa vijiji wanaofanya biashara ya ardhi waache na badala yake amewataka wajihusishe katika kutekeleza majukumu yao ya msingi.

Ameyasema leo(Jumatano, Machi 4, 2020) wakati akizungumza na wananchi kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika katika uwanja wa Shule ya Msingi Bokwa wilayani Kilindi akiwa kwenye ziara yake ya kikazi mkoani Tanga.

Waziri Mkuu amesema tabia ya baadhi ya wenyeviti wa vijiji kujihusisha na biashara ya uuzaji wa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

CCM acheni kupiga mayowe, acheni wananchi waamue

MAPENDEKEZO ya Tume ya Mabadiliko ya Katiba inayoongozwa na  Jaji Joseph Warioba, yanaonekana kuwatia kiwewe baadhi ya viongozi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) waliopo visiwani Zanzibar. Ukizisikiliza kauli zao juu...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Utafiti muhimu kabla ya kufanya biashara

WATU wengi hufikiri kwamba mtaji ni kigezo pekee cha kuanzisha biashara na kutoona umuhimu wa kufanya utafiti. Kutokana na hali hiyo, hujikuta biashara zao zikishindwa kuhimili ushindani kwa kuanguka au...

 

10 years ago

Habarileo

Wanawake washauriwa kufanya biashara kubwa

MKE wa Rais, Mama Salma Kikwete amewataka wanawake nchini kutoridhika na biashara ndogo ambazo ni za kujikimu tu, na badala yake wawe na mtazamo wa kufanya biashara kubwa zitakazosaidia kuongeza uchumi wa familia.

 

10 years ago

Mwananchi

Namna ya kufanya biashara kwa faida

Tumekuwa tukisoma na hata kusikia mazungumzo ya kawaida na kwenye vyombo vya habari juu ya ndoto za wajasiriamali mbalimbali wakisema wanataka kuwa kama mfanyabiashara fulani maarufu kutokana na biashara wanazozifanya.

 

10 years ago

StarTV

Wasichana wa miaka 16 wadaiwa kufanya biashara ya Uchangudoa.

Na Gloria Matola,

Dar es Salaam.

 

Ongezeko la vitendo vya biashara ya ngono bado vinaelezwa kuchangiwa kwa kiasi kikubwa na hali ngumu ya kiuchumi ambapo wasichana wadogo wenye miaka 16 wanajihusisha na biashara hiyo hali inayoathiri afya zao tangu utotoni.

 

Jijini Dar es Salaam, maeneo ya Uwanja wa Fisi yaliyopo Manzese pamoja na nyumba ndogo rasmi za kufanyia ukahaba, Mwananyamala, Tandika na Kigamboni ni miongoni mwa maeneo yaliyoshamiri kwa biashara hiyo.

 

Star tv ilizungumza na...

 

10 years ago

Mwananchi

Mbinu sahihi za kufanya biashara kwa mafanikio

Tumekuwa tukisoma na hata kusikia mazungumzo ya kawaida na kwenye vyombo vya habari juu ya ndoto za wajasiriamali. Baadhi yao wamekuwa wakisema wanataka kuwa kama mfanyabiashara fulani maarufu kutokana na biashara wanazozifanya.

 

10 years ago

Mwananchi

Lengo ni kuwawezesha kufanya biashara zao kwa tija

Halmashahuri ya Manispaa ya Morogoro, kwa kushirikiana na Chuo cha Ufundi Stadi (Veta), inakusudia kuanzisha mpango maalumu wa elimu kwa wajasiriamali wadogo wenye lengo la kuwawezesha kupata maarifa ya kuendesha biashara zao kwa tija.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani