Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wasichana wa miaka 16 wadaiwa kufanya biashara ya Uchangudoa.

Na Gloria Matola,

Dar es Salaam.

 

Ongezeko la vitendo vya biashara ya ngono bado vinaelezwa kuchangiwa kwa kiasi kikubwa na hali ngumu ya kiuchumi ambapo wasichana wadogo wenye miaka 16 wanajihusisha na biashara hiyo hali inayoathiri afya zao tangu utotoni.

 

Jijini Dar es Salaam, maeneo ya Uwanja wa Fisi yaliyopo Manzese pamoja na nyumba ndogo rasmi za kufanyia ukahaba, Mwananyamala, Tandika na Kigamboni ni miongoni mwa maeneo yaliyoshamiri kwa biashara hiyo.

 

Star tv ilizungumza na...

StarTV

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

StarTV

Msichana miaka 18 mbaroni kwa kushawishi watoto na kufanya Biashara Ya Ngono Singida

Msichana mmoja mwenye umri wa miaka 18 anashikiliwa na Polisi mkoani Singida kwa tuhuma za kuwashawishi watoto wa kike na kuwafanyisha biashara ya ngono kwa ujira wa kati ya shilingi 3,000 na 5,000 suala ambalo ni kinyume cha sheria, ukatili na ukiukaji wa misingi ya haki za binadamu.

Mtuhumiwa huyo Mastura Saidi mkazi wa Karakana Mjini Singida amekamatwa Jumatatu hii majira ya saa mbili usiku baada ya watoto watatu mwenye umri kati ya miaka 12 na 15 kukutwa ndani ya chumba chake wakiwa na...

 

10 years ago

Bongo5

Wasomi wengi hawawezi kufanya biashara, ila wanasaidia biashara nyingi kukua

Unapotazama kwa umakini suala la uchumi na mambo ya biashara utagundua wamiliki wakubwa wa biashara nyingi sio wasomi sana ukilinganisha na walioajiriwa kuendesha hizo biashara. Nilipokuwa nikisoma maelezo ya mtu mmoja alizungumzia kitu fulani cha msingi ambacho kinatukabiri sisi ambao kwa namna moja ama nyingine tunasema ni wasomi lakini hatuwezi kuendesha biashara zetu wenyewe. Kitu […]

 

10 years ago

Mwananchi

Walimu wadaiwa kuacha vipindi kukimbilia kufanya kazi migodini

Geita. Wanafunzi wa shule za msingi mkoani Geita wamewalalamikia walimu wao kufanya kazi migodini na kuendesha bodaboda, hali inayosababisha wafeli kutokana na kutofundishwa darasani.

 

11 years ago

Mwananchi

MAUAJI: Watoto wadaiwa kumnyonga mwenzao wa miaka mitatu

>Wakazi wa Kijiji cha Masusu, Kata ya Gisambalang wilayani Hanang’ katika Mkoa wa Manyara wamepatwa na mshtuko kutokana na tukio lenye utata la kuuawa mtoto Omary Hamis mwenye umri wa mitatu, kisha mwili wake kutundikwa juu ya mti.

 

11 years ago

Mwananchi

‘Acheni kufanya biashara za kuigana’

Mratibu wa Mafunzo ya Ujasiriamali kutoka Shirika la Alied Kemiko, Debora Magese amewataka wajasiriamali nchini kuwa wabunifu na kuepuka kufanya biashara za kufanana ili kukuza kipato chao.

 

10 years ago

Dewji Blog

Zaidi ya wasichana milioni 58 Duniani wameolewa wakiwa na umri wa chini ya miaka 18

IMG_2147

Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akihutubia mkutano wa masuala ya elimu kwa vijana wa bara la Afrika ili waweze kufanya maamuzi sahihi ya kiafya. Mkutano huo  umeandaliwa na serikali ya Ujerumani na ulifanyika huko New York tarehe 22.9.2014. 

Na Anna Nkinda – Maelezo, New York

Zaidi ya wasichana milioni 58 Duniani wameolewa wakiwa na  umri wa chini ya  miaka 18  kati ya hao milioni 15 wana umri wa kati ya miaka 10 hadi 14 jambo linalowasababisha kupata maambukizi ya Ugonjwa wa Ukimwi na...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Utafiti muhimu kabla ya kufanya biashara

WATU wengi hufikiri kwamba mtaji ni kigezo pekee cha kuanzisha biashara na kutoona umuhimu wa kufanya utafiti. Kutokana na hali hiyo, hujikuta biashara zao zikishindwa kuhimili ushindani kwa kuanguka au...

 

10 years ago

Mwananchi

Namna ya kufanya biashara kwa faida

Tumekuwa tukisoma na hata kusikia mazungumzo ya kawaida na kwenye vyombo vya habari juu ya ndoto za wajasiriamali mbalimbali wakisema wanataka kuwa kama mfanyabiashara fulani maarufu kutokana na biashara wanazozifanya.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani