Wanawake washauriwa kufanya biashara kubwa
MKE wa Rais, Mama Salma Kikwete amewataka wanawake nchini kutoridhika na biashara ndogo ambazo ni za kujikimu tu, na badala yake wawe na mtazamo wa kufanya biashara kubwa zitakazosaidia kuongeza uchumi wa familia.
habarileo
Habari Zinazoendana
9 years ago
VijimamboKIZIMBANI KWA KUPELEKA WANAWAKE KENYA KUFANYA BIASHARA YA NGONO
WANAWAKE wawili wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kwa tuhuma za kusafirisha mabinti kutoka Tanzania kwenda Kenya kwa ajili ya kuwafanyisha ngono.
Washtakiwa hao Jackline Milinga (23) na Mary Amukowa (29) ambaye ni Mkenya walifikishwa mahakamani hapo jana na kusomewa mashtaka ya kuwasafirisha mabinti 10.
Wakisomewa mashtaka mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu, Waliarwande Lema na Wakili wa Serikali, Jackline Nyantori na Selestine Makoba walidaiwa kutenda...
9 years ago
Mtanzania17 Sep
Kizimbani kwa kupeleka wanawake Kenya kufanya biashara ya ngono
Na Kulwa Mzee, Dar es Salaam
WANAWAKE wawili wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kwa tuhuma za kusafirisha mabinti kutoka Tanzania kwenda Kenya kwa ajili ya kuwafanyisha ngono.
Washtakiwa hao Jackline Milinga (23) na Mary Amukowa (29) ambaye ni Mkenya walifikishwa mahakamani hapo jana na kusomewa mashtaka ya kuwasafirisha mabinti 10.
Wakisomewa mashtaka mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu, Waliarwande Lema na Wakili wa Serikali, Jackline Nyantori na Selestine Makoba walidaiwa kutenda...
10 years ago
Bongo511 Nov
Wasomi wengi hawawezi kufanya biashara, ila wanasaidia biashara nyingi kukua
10 years ago
Habarileo22 Mar
Wanawake washauriwa matumizi mazuri ya ardhi
SHIRIKA lisilo la Kiserikali la Oxfam kupitia kampeni yake ya Grow limewataka wanawake kujali umuhimu wa utumiaji ardhi, ili kuongeza uzalishaji kwa faida yao binafsi na jamii kwa ujumla.
5 years ago
MichuziWANAWAKE WAJASIRIAMALI VISIWANI PEMBA WASHAURIWA KUTUMIA VIZURI NEEMA YA ZAO LA KARAFUU ILI KUZALISHA BIDHAA
Na Muhammed Khamis-TAMWA-Zanzibar
MKURUGENZI wa Chama cha Waandishi wa Habari Wanawake( TAMWA- Zanzibar) Dkt.Mzuri Issa amewashauri wanawake wajasiriamali kisiwani Pemba kutumia vizuri neema ya zao la Karafuu kisiwani humo kwa kuzalisha bidhaa mbali mbali.
Dkt Mzuri aliyasema hayo leo Juni 27,2020 wakati alipokua akitizama baadhi ya bidhaa
zinazozalishwa na wajasirimaali hao kutoka Pemba huko ofisini kwake
Tunguu Wilaya ya kati Unguja.
Amesema zao la karafuu linaweza kuzalisha bidhaa mbali...
10 years ago
GPL11 years ago
Mwananchi12 Dec
‘Acheni kufanya biashara za kuigana’
10 years ago
MichuziWaziri Chiza kuhudhuria kongamano Kubwa la Biashara Visiwa vya Comoro
Lengo kuu la kongamano hilo ni “kuongeza kiwango cha biashara na uwekezaji kati ya Tanzania na Comoro kwa kutambua fursa zilizopo kati ya nchi hizi mbili na kurasimisha biashara ambayo kwa sasa hairatibiwi”.
Kongamano hilo ambalo litawakutanisha viongozi, maafisa...
10 years ago
VijimamboTUTANI: NYALANDU KUFANYA TAMASHA KUBWA ILONGELO JUMAPILI
Na Mwandishi Wetu
Mbunge wa Singida Kaskazini, Lazaro Nyalandu, Desemba 28, 2014 (kesho J’pili) atafanya mkutano mkubwa kwa ajili ya kumshukuru Mwenyezi Mungu na wananchi wa Singida Vijijini na Watanzania wote kwa kutimiza miaka 15 ya ubunge.
Taarifa iliyotolewa na Mbunge huyo, Elia Diga, imesema kuwa mkutano huo ambao utaambatana na burudani mbalimbali, utafanyika katika Kata ya Ilongero na utahudhuriwa na viongozi wa Chama na serikali, viongozi wa dini zote...