Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Serikali kutathmini mfumo wa usajili

Serikali imekusudia kufanya tathmini ya mfumo wa usajili wa matukio mbalimbali muhimu ya maisha na ukusanyaji wa takwimu nchini, ili kuchukua na kuhifadhi taarifa za kina zinazohusu vizazi, vifo, ndoa na talaka.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

TATIZO KATIKA MFUMO WA USAJILI KUWA HISTORIA

Afisa Mtendaji Mkuu wa Wakala ya Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA), Bw. Godfrey Nyaisa amesema kwamba matatizo yote katika Mfumo wa usajili kwa njia ya mtandao (ORS) sasa kuwa historia.

Hayo ameyabainisha wakati akijibu hoja za wafanyabiashara wa Mkoa wa Simiyu siku ya jana tarehe 25 Februari, 2020 katika kikao cha mashauriano kati ya serikali na Wafanyabiashara.

Akizungumza katika kikao hicho Bw. Nyaisa amebainisha kwamba, BRELA imechukua hatua za makusudi katika kutatua changamoto katika...

 

5 years ago

Michuzi

NBAA YAANZISHA MFUMO MPYA WA USAJILI KWA NJIA YA MTANDAO(MEMS)

BODI ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu Tanzania (NBAA) imeanzisha mfumo mpya wa usajili kwa njia ya mtandao( MEMS) kwa wanafunzi, wanachama na wadau wake ili kwenda sambamba na mabadiliko ya teknolojia.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Bodi hiyo imeeleza kuwa mfumo huo unatoa fursa kwa wanafunzi na wanachama kupata huduma mbalimbali  zinazotolewa na Bodi ikiwa ni pamoja na kufanya usajili, kufanya malipo mbalimbali, kuhudhuria semina, kununua vitabu na kadhalika kupitia...

 

9 years ago

Michuzi

MFUMO MPYA WA USAJILI NA UHIFADHI WA TAKWIMU ZA MATUKIO MUHIMU YA BINADAMU KUANZISHWA TANZANIA BARA

 Katibu Mkuu wa Wizara ya Katiba na Sheria Maimuna Tarishi akitoa hatuba ya ufunguzi rasmi wa kikao cha wadau wa Usajili na Utunzanji wa Takwimu za Matukio Muhimu ya Binadamu nchini kilichofanyika katika ukumbi wa hoteli ya New Africa, Dar es Salaam. Mtakwimu Mkuu kutoka Ofisi ya Taifa ya Takwimu Emilian Karugendo, akifafanua jambo wakati wa uwasilishaji wa mada iliyohusiana na hatua za kuandaa Mkakati wa Usajili na Uhifadhi wa Takwimu za Matukio Muhimu ya Binadamu wakati wa kikao cha wadau...

 

10 years ago

Michuzi

RITA na NBS kufanya tathmini ya mfumo wa usajili wa matukio muhimu ya maisha na ukusanyaji wa takwimu nchini

Wakala wa Usajili,Ufilisi na Udhamini (RITA) kwa kushirikiana na Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) itafanya tathmini ya mfumo wa usajili wa matukio muhimu ya maisha na ukusanyaji wa takwimu nchini.

Akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo,Afisa Mtendaji Mkuu wa RITA,Bw. Phillip Saliboko  alisema Tathimini hiyo itafanyika kikanda kwa siku 15 kuanzia tarehe Septemba 15 - 30, 2014 na kujumuisha wadau wakubwa wa mambo ya usajili kutoka kwenye baadhi ya...

 

11 years ago

Habarileo

Serikali ‘yabana’ usajili sekondari

Kamishna wa Elimu Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Profesa Eustella BharalusesaKUANZIA sasa, shule yoyote mpya isiyokuwa na maabara ya sayansi na maktaba haitasajiliwa na wala kuruhusiwa kutoa huduma; Serikali imeagiza.

 

10 years ago

StarTV

Serikali kuanzisha daftari la usajili wa waharifu.

Na Winifrida Ndunguru,

Dar Es Salaam.

 

Serikali inatarajia kuanzisha daftari maalumu litakalosajili wahalifu kuanzia ngazi ya familia ikiwa ni sehemu ya kutunza kumbukumbu ya wahalifu nchini kwa majina ili kurahisisha hatua za kukabiliana na matukio ya uhalifu.

 

Aidha, imekemea tabia ya baadhi ya vyama vya siasa kukataa matokeo ya uchaguzi bila ya sababu za msingi na kusema hatua hiyo haisaidii kuimarisha demokrasia nchini.

 

Mkuu wa Mkoa Sadick Meck Sadick alisema wazo la kuanzisha...

 

10 years ago

Michuzi

10 years ago

Mwananchi

Serikali yajipanga kufuta usajili asasi za kijamii

Wizara ya Mambo ya Ndani imetishia kuvifutia usajili vyama vyote vya kijamii vinavyokiuka kanuni na sheria kuanzia Oktoba mwaka huu.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani