USAJILI WA WAFANYABIASHARA KWENYE MFUMO WA SOKO LA MTANDAO

Michuzi
Habari Zinazoendana
5 years ago
Michuzi
NBAA YAANZISHA MFUMO MPYA WA USAJILI KWA NJIA YA MTANDAO(MEMS)

Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Bodi hiyo imeeleza kuwa mfumo huo unatoa fursa kwa wanafunzi na wanachama kupata huduma mbalimbali zinazotolewa na Bodi ikiwa ni pamoja na kufanya usajili, kufanya malipo mbalimbali, kuhudhuria semina, kununua vitabu na kadhalika kupitia...
10 years ago
MichuziMEYA WA KINONDONI YUSUPH MWENDA AKUTANA NA WAFANYABIASHARA SOKO LA MBURAHATI AAHIDI KUANZA KWA MRADI WA UJENZI WA SOKO JIPYA MWEZI UJAO
11 years ago
Mwananchi23 Aug
Serikali kutathmini mfumo wa usajili
Serikali imekusudia kufanya tathmini ya mfumo wa usajili wa matukio mbalimbali muhimu ya maisha na ukusanyaji wa takwimu nchini, ili kuchukua na kuhifadhi taarifa za kina zinazohusu vizazi, vifo, ndoa na talaka.
10 years ago
Mwananchi26 Aug
Wafanyabiashara walia na soko
Wafanyabiashara wanaotumia Soko la Chogo wilayani Handeni, Mkoa wa Tanga wamelalamikia uongozi wa eneo hilo kuacha kuboresha vyoo na miundombinu mingine muhimu.
5 years ago
Michuzi
TATIZO KATIKA MFUMO WA USAJILI KUWA HISTORIA

Hayo ameyabainisha wakati akijibu hoja za wafanyabiashara wa Mkoa wa Simiyu siku ya jana tarehe 25 Februari, 2020 katika kikao cha mashauriano kati ya serikali na Wafanyabiashara.
Akizungumza katika kikao hicho Bw. Nyaisa amebainisha kwamba, BRELA imechukua hatua za makusudi katika kutatua changamoto katika...
9 years ago
Habarileo05 Jan
Wafanyabiashara walalamikia uchakavu wa soko
WAFANYABIASHARA wa soko kuu la wilaya ya Nachingwea mkoani Lindi wamelalamikia uchakavu wa majengo ya soko hilo, na kuiomba halmashauri hiyo kufanya ukarabati.
10 years ago
Habarileo03 Oct
Kikwete azindua usajili biashara kwa mtandao
RAIS Jakaya Kikwete amezindua huduma ya usajili jina la biashara kwa njia ya mtandao inayotolewa na Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni Nchini (BRELA), ambayo imeondoa mazingira ya rushwa na kuokoa muda.
9 years ago
Mwananchi26 Nov
Wafanyabiashara: Soko la Mwanjelwa mali yetu
Wafanyabiashara waliokuwa kwenye Soko la Mwanjelwa kabla ya kuteketea miaka minane iliyopita wamedai kuwa soko lililojengwa upya ni mali yao.
10 years ago
Mwananchi09 Dec
Mfumo wa ulipaji kodi wawatesa wafanyabiashara
Umoja wa Wafanyabiashara Tanzania umeiomba Serikali kuboresha mfumo wa utozaji kodi kwa kutumia Mashine za Kieletroniki za Malipo (EFD) kwa kuwa makato wanayokatwa hayalingani na thamani ya ununuzi wa bidhaa husika.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
06-May-2025 in Tanzania