Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Serikali ‘yabana’ usajili sekondari

Kamishna wa Elimu Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Profesa Eustella BharalusesaKUANZIA sasa, shule yoyote mpya isiyokuwa na maabara ya sayansi na maktaba haitasajiliwa na wala kuruhusiwa kutoa huduma; Serikali imeagiza.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Serikali kutathmini mfumo wa usajili

Serikali imekusudia kufanya tathmini ya mfumo wa usajili wa matukio mbalimbali muhimu ya maisha na ukusanyaji wa takwimu nchini, ili kuchukua na kuhifadhi taarifa za kina zinazohusu vizazi, vifo, ndoa na talaka.

 

10 years ago

Michuzi

10 years ago

StarTV

Serikali kuanzisha daftari la usajili wa waharifu.

Na Winifrida Ndunguru,

Dar Es Salaam.

 

Serikali inatarajia kuanzisha daftari maalumu litakalosajili wahalifu kuanzia ngazi ya familia ikiwa ni sehemu ya kutunza kumbukumbu ya wahalifu nchini kwa majina ili kurahisisha hatua za kukabiliana na matukio ya uhalifu.

 

Aidha, imekemea tabia ya baadhi ya vyama vya siasa kukataa matokeo ya uchaguzi bila ya sababu za msingi na kusema hatua hiyo haisaidii kuimarisha demokrasia nchini.

 

Mkuu wa Mkoa Sadick Meck Sadick alisema wazo la kuanzisha...

 

10 years ago

GPL

SERIKALI YAZIFUTIA USAJILI TAASISI 24 ZISIZO ZA KISERIKALI

Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inapenda kutoa taarifa kwa umma kuwa asasi za kiraia (NGOs) zilizoorodheshwa hapa chini zimefutiwa usajili wake kuanzia tarehe ya tangazo hili; kutokana na kukiuka matakwa ya kisheria katika utendaji kazi.

Kwa tangazo hili, uhalali wa kufanya kazi kwa mashirika haya umekoma na kuendelea kufanya kazi baada ya kufutiwa usajili ni kosa la jinai. Viongozi wa NGOs tajwa wanaagizwa...

 

10 years ago

Mwananchi

Serikali yajipanga kufuta usajili asasi za kijamii

Wizara ya Mambo ya Ndani imetishia kuvifutia usajili vyama vyote vya kijamii vinavyokiuka kanuni na sheria kuanzia Oktoba mwaka huu.

 

11 years ago

BBCSwahili

Uturuki yabana mtandao wa YouTube

Serikali ya Uturuki imebana matumizi ya mtandao wa kijamii wa YouTube, siku moja baada ya mahakama kuamuru kusitishwa kwa muda marufuku ya Twitter

 

11 years ago

BBCSwahili

CAR yabana ujumbe mfupi (SMS)

Maafisa wa utawala Katika Jamhuri ya Afrika ya Kati wamebana matumizi ya ujumbe mfupi wa simu za mkononi baada ya kusema kuwa ni tisho kwa usalama wa nchi.

 

10 years ago

Habarileo

CCM yabana mawaziri Bunge Maalum

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimewabana mawaziri na wabunge wake wasiohudhuria shughuli za Bunge Maalumu la Katiba.

 

9 years ago

Michuzi

CHAMA CHA MADEREVA WA SERIKALI TANZANIA CHAPATA USAJILI RASMI

 Mwenyekiti wa Chama cha Madereva wa Serikali Tanzania (CMST) wa kwanza kushoto mstari wa mbele Bw. Bahatisha Selemani  Mkala  akipokea  Cheti cha Usajili wa Chama hicho  kutoka kwa Afisa usajili Bw. Hashim Mwanga wakati wa. makabidhiano yaliyofanyika katika ofisi za msajili zilizopo Wizara ya Mambo ya Ndani ya nchi.Hafla hiyo imefanyika jijini Dar es Salaam leo (jana). Mwenyekiti wa Chama cha Madereva wa Serikali Tanzania (CMST) aliyeshika cheti cha usajili Bw. Bahatisha Selemani Mkala  ...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani