Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


SERIKALI YAZIFUTIA USAJILI TAASISI 24 ZISIZO ZA KISERIKALI

Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inapenda kutoa taarifa kwa umma kuwa asasi za kiraia (NGOs) zilizoorodheshwa hapa chini zimefutiwa usajili wake kuanzia tarehe ya tangazo hili; kutokana na kukiuka matakwa ya kisheria katika utendaji kazi.

Kwa tangazo hili, uhalali wa kufanya kazi kwa mashirika haya umekoma na kuendelea kufanya kazi baada ya kufutiwa usajili ni kosa la jinai. Viongozi wa NGOs tajwa wanaagizwa...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

SERIKALI NA TAASISI ZISIZO ZA KISERIKALI ZATAKIWA KUFANYA KAZI KWA UWAZI.

 Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), George Mkuchika akizungumza wakati wa kufunga mkutano wa uwazi na kusikilizana kati ya Serikali na taasisi zisizo za kiserikali barani Afrika mkutano uliofanyika kwa siku mbili katika ukumbi wa Mikutano wa Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam leo.  Mkurugenzi wa Idara ya Habari MAELEZO Issah Mwambene akichangia  kwa upande wa serikali kuwa serikali ya Tanzania ni sikivu, wakati wa mkutano wa Uwazi na usikivu katika mambo ya uchumi...

 

9 years ago

Dewji Blog

NSSF yaendesha kongamano la Waajiri wa Taasisi mbalimbali za Kiserikali na zisizo za Kiserikali Mkoani Tanga!

1

Mkurugenzi wa Uendeshaji wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Crescentius Magori akizungumza wakati akifungua kongamano la waajiri wa Taasisi mbalimbali ikiwemo za Kiserikali na zisizokuwa za kiserikali zilizokuwa na makao makuu yake mkoani Dar es Salaam lililofanyika jana mkoani Tanga kwenye hotel ya Tanga Beach, (Picha na Mwandishi Wetu).

4

Meneja Matekelezo na Kumbukumbu wa NSSF Makao Makuu, Maryam Muhaji akizungumza kwenye kongamano la waajiri wa Taasisi mbalimbali ikiwemo za...

 

10 years ago

Michuzi

5 years ago

Michuzi

MAHAKAMA KUU KANDA YA DAR ES SALAAM YATUPILIA MBALI KESI YA KIKATIBA ILIYOFUNGULIWA NA TAASISI MBILI ZISIZO ZA SERIKALI

MAHAKAMA Kuu Kanda ya Dar es Salaam imetupilia mbali kesi ya kikatiba iliyofunguliwa na taasisi mbili zisizo za serikali waliokuwa wakipinga marekebisho katika Sheria ya Makampuni Sura ya 212, Sheria ya Asasi Zisizo za Serikali Sura ya 337 na Sheria ya Usajili wa Wadhamini Sura ya 318.

Marekebisho katika sheria hizo yalihusu  kuweka tafsiri mpya ya maneno Kampuni na Asasi katika sheria husika na pia kuzitaka Asasi zote zilizosajiliwa chini ya Sheria ya Makampuni ambazo hazikuwa na malengo ya...

 

10 years ago

Michuzi

Taasisi isiyo ya Kiserikali ya Forum CC yaandaa kongamano la vijana

Taasisi isiyo ya Kiserikali ya  Forum CC imeandaa kongamano la siku moja kwa vijana kutoka  Asasi za kiraia lililojadili msimamo wa Tanzania juu ya masuala ya Mazingira, hususan Mabadiliko ya Tabianchi  kuelekea Mkutano Mkubwa wa Mazingira Duniani utakaofanyika katika jiji la Lima nchini Peru, Desemba 2014. Naibu Waziri, Ofisi ya Makamu wa Rais, Mh. Ummy Mwalimu akiongea na waandishi wa habari  (hawapo pichani) mara baada ya kufungua kongamano hilo. Sehemu ya Washiriki walioshiriki katika...

 

10 years ago

Michuzi

TAASISI ISIYO YA KISERIKALI YA NKWAMIRA YAANDA HAFLA YA KUCHANGIA VITABU 2500 KWA SHULE ZA SEKONDARI NA ZA MSINGI JUMLA YA MILIONI 218 ZINAHITAJIKA

 Afisa  Mkuu Ugawaji Rasmali wa Mamlaka ya Elimu Tanzania (TEA) Mozes Nyirenda , akiongea na waandishi wa habari (hawapo pichani ) juu ya hafla ya kutafuta uwezo  wa Kununua Vitabu 2,500 vyenye thamani ya shilingi milioni 218, kwa ajili ya kusaidia shule 10 msingi na Sekondari  za Wilaya ya Temeke jijini Dar es Salaam.Hafla hiyo itafanyika usiku wa Oktoba 3 mwaka huu kwenye hoteli ya serena wapili kushoto ni Mkurugenzi  Mkuu Mtendaji wa Taasisi isiyo ya Kiserikali ya Nkwamira ,Noreen...

 

5 years ago

Michuzi

PROF KABUDI AONGEA NA VIONGOZI WA JUMUIYA NA TAASISI ZISIZOKUA ZA KISERIKALI, KUJUMUIKA KATIKA MIAKA 30 YA JUMUIYA DMV

Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Marekani na Mexico, Mhe. Wilson Masilingi akiwambulisha vingozi wa Jumuiya ya waTanzania DMV, viongozi wa Jumuiya za dini na taasisi zisizokua za kiserikali zinazomilikiwa na waTanzania DMV kwa Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Prof Palamagamba Kabudi na baadae kumkaribisha  kuongea nao. Picha na Vijimambo BlogWaziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Prof Palamagamba Kabudi akiongea na vingozi...

 

10 years ago

Michuzi

SOLUTION BLOCKS YAANDAA MIKUTANO ILI KUKUTANISHA NGO’S,TAASISI ZA KIRAIA NA TAASISI ZA SERIKALI KWA KILA MWENZI.

 Na Avila kakingo,Globu ya jamii.
KAMPUNI ya Solution BLOCKS ikishirikiana na kampuni ya Anglo Gold Ashanti waandaa mkutano wa  Alhamisi ya kila mwezi ili kushirikisha taasisi mbalimbali za serikali na zisizo za kiserikali kuzungumzia kuchangia katika maendeleo katika  jamii.
Hayo yamesemwa na Makamo wa Rais wa Sustainability Aglo Gold Ashanti, Simon Shayo katika ufunguzi wa mkutano ambao umejulikana kwa jina la THURSDAY TALK  uliofanyika katika hoteli ya Colosseum  jijini Dar es Salaam...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani