SERIKALI NA TAASISI ZISIZO ZA KISERIKALI ZATAKIWA KUFANYA KAZI KWA UWAZI.

Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), George Mkuchika akizungumza wakati wa kufunga mkutano wa uwazi na kusikilizana kati ya Serikali na taasisi zisizo za kiserikali barani Afrika mkutano uliofanyika kwa siku mbili katika ukumbi wa Mikutano wa Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam leo.
Mkurugenzi wa Idara ya Habari MAELEZO Issah Mwambene akichangia kwa upande wa serikali kuwa serikali ya Tanzania ni sikivu, wakati wa mkutano wa Uwazi na usikivu katika mambo ya uchumi...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL
SERIKALI YAZIFUTIA USAJILI TAASISI 24 ZISIZO ZA KISERIKALI
9 years ago
Dewji Blog22 Nov
NSSF yaendesha kongamano la Waajiri wa Taasisi mbalimbali za Kiserikali na zisizo za Kiserikali Mkoani Tanga!
Mkurugenzi wa Uendeshaji wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Crescentius Magori akizungumza wakati akifungua kongamano la waajiri wa Taasisi mbalimbali ikiwemo za Kiserikali na zisizokuwa za kiserikali zilizokuwa na makao makuu yake mkoani Dar es Salaam lililofanyika jana mkoani Tanga kwenye hotel ya Tanga Beach, (Picha na Mwandishi Wetu).
Meneja Matekelezo na Kumbukumbu wa NSSF Makao Makuu, Maryam Muhaji akizungumza kwenye kongamano la waajiri wa Taasisi mbalimbali ikiwemo za...
10 years ago
Habarileo02 Jun
Taasisi za serikali zatakiwa kubadilisha barua pepe
TAASISI za Serikali nchini zimetakiwa kufanya mabadiliko katika mfumo wa barua pepe za serikali ili kuendana na mabadiliko ya sasa ya sayansi na teknolojia.
10 years ago
Michuzi
MABARAZA YA WAFANYAKAZI TAASISI ZA ELIMU YA JUU YATAKIWA KUFANYA KAZI KWA WELEDI


10 years ago
GPL
MWIGULU AYATAKA MABARAZA YA WAFANYAKAZI WA TAASISI ZA ELIMU YA JUU KUFANYA KAZI KWA WELEDI
10 years ago
Dewji Blog17 Apr
Mh. Mwigulu ayataka mabaraza ya wafanyakazi ya taasisi za elimu ya juu yatakiwa kufanya kazi kwa weledi
Naibu Waziri wa Fedha (Sera) Mhe. Mwigulu Nchemba (katikati) akiwa ameambatana na Mtendaji Mkuu wa Taasisi ya Uhasibu Tanzania Dkt. Joseph Kihanda (kulia) na Mwenyekiti wa Bodi ya Ushauri ya Wizara Prof. Isaya Jairo kabla ya kuzindua Baraza la Pili la Wafanyakazi wa Taasisi ya Uhasibu Tanzania (TIA) lililojumuisha wawakilishi kutoka matawi 6 ya taasisi hiyo katika mikoa ya Kigoma, Singida, Mwanza , Mtwara, Dar es salaam na Mbeya.
5 years ago
Michuzi
MAHAKAMA KUU KANDA YA DAR ES SALAAM YATUPILIA MBALI KESI YA KIKATIBA ILIYOFUNGULIWA NA TAASISI MBILI ZISIZO ZA SERIKALI

Marekebisho katika sheria hizo yalihusu kuweka tafsiri mpya ya maneno Kampuni na Asasi katika sheria husika na pia kuzitaka Asasi zote zilizosajiliwa chini ya Sheria ya Makampuni ambazo hazikuwa na malengo ya...
10 years ago
Raia Tanzania15 Jul
Serikali kuongeza uwazi kazi za NBS
SERIKALI imesema itaendelea kuongeza uwazi katika matumizi ya takwimu zinazokusanywa na Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) ili kukidhi vigezo na malengo ya mfumo mpya uliowekwa na Umoja wa Mataifa (UN) wa mwaka 2008 wa upataji wa takwimu za Pato la Taifa.
Akizungumza wakati wa ufunguzi wa warsha ya kimataifa ya siku tano ya watakwimu kutoka nchi za Afrika zinazozungumza Kiingereza, Naibu Katibu Mkuu, Wizara ya Fedha Profesa Adolf Nkenda, alisema Tanzania inaendelea kukusanya takwimu...
10 years ago
Dewji Blog10 Feb
Mwanahabari Frank kibiki awataka vijana kufanya kazi kwa bidii na kutumia fursa zinazotolewa na serikali
Mwanahabari Frank Kibiki akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake.
Na Mwandishi wetu, Iringa
MWANAHABARI Frank Kibiki, aliyewahi kuwa Katibu wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) ngazi ya wilaya kwa zaidi ya miaka 10.
Akizungumza na mtandao huu mwanahabari Frank Kibiki, alisema kuwa vijana wengi wamekuwa wakibweteka kwa kutojituma kufanya kazi na kuendelea kuilaumu serikali.
“Eti asubuhi unawakuta vijana wamekaa kwenye vijiwe wakizungumza siasa na kucheza mabao wakati...