Taasisi isiyo ya Kiserikali ya Forum CC yaandaa kongamano la vijana
![](http://2.bp.blogspot.com/-lqwQd5V2GDI/VGytMMqUM2I/AAAAAAACu_Y/Z-OyehU411M/s72-c/20141118_102356.jpg)
Taasisi isiyo ya Kiserikali ya Forum CC imeandaa kongamano la siku moja kwa vijana kutoka Asasi za kiraia lililojadili msimamo wa Tanzania juu ya masuala ya Mazingira, hususan Mabadiliko ya Tabianchi kuelekea Mkutano Mkubwa wa Mazingira Duniani utakaofanyika katika jiji la Lima nchini Peru, Desemba 2014. Naibu Waziri, Ofisi ya Makamu wa Rais, Mh. Ummy Mwalimu akiongea na waandishi wa habari (hawapo pichani) mara baada ya kufungua kongamano hilo.
Sehemu ya Washiriki walioshiriki katika...
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Dewji Blog22 Nov
NSSF yaendesha kongamano la Waajiri wa Taasisi mbalimbali za Kiserikali na zisizo za Kiserikali Mkoani Tanga!
Mkurugenzi wa Uendeshaji wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Crescentius Magori akizungumza wakati akifungua kongamano la waajiri wa Taasisi mbalimbali ikiwemo za Kiserikali na zisizokuwa za kiserikali zilizokuwa na makao makuu yake mkoani Dar es Salaam lililofanyika jana mkoani Tanga kwenye hotel ya Tanga Beach, (Picha na Mwandishi Wetu).
Meneja Matekelezo na Kumbukumbu wa NSSF Makao Makuu, Maryam Muhaji akizungumza kwenye kongamano la waajiri wa Taasisi mbalimbali ikiwemo za...
10 years ago
MichuziTAASISI ISIYO YA KISERIKALI YA NKWAMIRA YAANDA HAFLA YA KUCHANGIA VITABU 2500 KWA SHULE ZA SEKONDARI NA ZA MSINGI JUMLA YA MILIONI 218 ZINAHITAJIKA
11 years ago
Michuzi29 Mar
Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo yaandaa kongamano la vijana la vyuo vya elimu ya juu.
Kongamano hili la Vijana kuhusu Muungano linafanyika Jumapili Machi 30, 2014 kuanzia Saa 5:00 Asubuhi katika ukumbi wa Ubungo Plaza, Dar es Salaam na litarushwa moja kwa moja na Televisheni ya Taifa, TBC One na TBC Taifa.
Kongamano hili ni sehemu ya...
9 years ago
VijimamboTAASISI YA TANZANIA BORA INITIATIVE YAFANYA KONGAMANO LA VIJANA KUELEKEA UCHAGUZI MKUU
10 years ago
MichuziBENKI YA CRDB YASHIRIKI KONGAMANO LA VIJANA LA BIASHARA LILILOANDALIWA NA TAASISI YA AIESEC JIJINI ARUSHA
Kongamano hilo lilihudhuriwa na Vijana kutoka katika Vyuo Vikuu vya nchi za Afrika Mashariki na kuandaliwa na Taasisi ya AIESEC ambalo hujihusisha na ubunifu wa vipaji vya uongozi miongoni mwa vijana lililofanyika jijini Arusha hivi karibuni katika ukumbi wa Mwalimu Nyerere Hall CDTI- TENGERU, Arusha...
9 years ago
GPLTAASISI YA TANZANIA BORA INITIATIVE YAFANYA KONGAMANO LA VIJANA KUELEKEA UCHAGUZI MKUU
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-Em7E6qBDNio/VY0csDkUXCI/AAAAAAAHkLY/USHfJ0pGEJk/s72-c/IMG_3103.jpg)
SOLUTION BLOCKS YAANDAA MIKUTANO ILI KUKUTANISHA NGO’S,TAASISI ZA KIRAIA NA TAASISI ZA SERIKALI KWA KILA MWENZI.
KAMPUNI ya Solution BLOCKS ikishirikiana na kampuni ya Anglo Gold Ashanti waandaa mkutano wa Alhamisi ya kila mwezi ili kushirikisha taasisi mbalimbali za serikali na zisizo za kiserikali kuzungumzia kuchangia katika maendeleo katika jamii.
Hayo yamesemwa na Makamo wa Rais wa Sustainability Aglo Gold Ashanti, Simon Shayo katika ufunguzi wa mkutano ambao umejulikana kwa jina la THURSDAY TALK uliofanyika katika hoteli ya Colosseum jijini Dar es Salaam...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/IxPfzOrgAhfTVBxJVUplrH77D4DA3iVzKaDW1DeTZEgG87H9Evdq1hJow46uLnFFUxrWvx5HQJrpCuRmdAWg8AUWovyJZXKo/ngo.jpg?width=650)
SERIKALI YAZIFUTIA USAJILI TAASISI 24 ZISIZO ZA KISERIKALI