Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TAASISI ISIYO YA KISERIKALI YA NKWAMIRA YAANDA HAFLA YA KUCHANGIA VITABU 2500 KWA SHULE ZA SEKONDARI NA ZA MSINGI JUMLA YA MILIONI 218 ZINAHITAJIKA

 Afisa  Mkuu Ugawaji Rasmali wa Mamlaka ya Elimu Tanzania (TEA) Mozes Nyirenda , akiongea na waandishi wa habari (hawapo pichani ) juu ya hafla ya kutafuta uwezo  wa Kununua Vitabu 2,500 vyenye thamani ya shilingi milioni 218, kwa ajili ya kusaidia shule 10 msingi na Sekondari  za Wilaya ya Temeke jijini Dar es Salaam.Hafla hiyo itafanyika usiku wa Oktoba 3 mwaka huu kwenye hoteli ya serena wapili kushoto ni Mkurugenzi  Mkuu Mtendaji wa Taasisi isiyo ya Kiserikali ya Nkwamira ,Noreen...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

VITABU 2500 KWA SHULE ZA SEKONDARI NA ZA MSINGI JUMLA YA MILIONI 218 ZINAHITAJIKA‏

Afisa  Mkuu Ugawaji Rasmali wa Mamlaka ya Elimu Tanzania (TEA) Mozes Nyirenda , akiongea na waandishi wa habari (hawapo pichani ) juu ya hafla ya kutafuta uwezo  wa Kununua Vitabu 2,500 vyenye thamani ya shilingi milioni 218, kwa ajili ya kusaidia shule 10 za msingi na Sekondari  za Wilaya ya Temeke jijini Dar es Salaam.Hafla hiyo itafanyika usiku wa Oktoba 3 mwaka huu kwenye hoteli ya serena wapili kushoto ni...

 

10 years ago

GPL

TANZANIA NA MAREKANI WASHEREHEKEA USAMBAZAJI WA VITABU MILIONI 2.5 KWA AJILI YA SHULE ZA SEKONDARI NCHINI‏

 Wananchi waliojitokeza katika sherehe ya makabidhiano ya vitabu milioni 2.5 vya sayansi na hisabati kwa shule za sekondari za serikali nchini. Vitabu hivyo kutoka  serikali ya watu wa Marekani vilikabidhiwa kwa Rais Jakaya Kikwete na Balozi wa Marekani nchini, Mark Childress katika hafla iliyofanyika Shule ya Sekondari Mtakuja Beach iliyopo Manispaa ya Kinondoni Dar es Salaam leo. Hafla hiyo ilifanyika katika shule hiyo...

 

10 years ago

Dewji Blog

TIPER yasaini makubaliano kuchangia vitabu vya masomo ya sayansi Shule ya Sekondari Vijibweni

TIPER PIX 2

Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni inayoifadhi mafuta ya Tanzania, Tanzania International Petroleum Reserves Ltd (TIPER), Bw Daniel Belair, akikabidhi vitabu vya sayansi vikiwemo vya Fizikia, Baolojia na Kemia kwa Mkuu wa Shule ya Sekondari Vijibweni, Bw Itumbo Kinyonyi wakati wa sherehe ya kusaini makubaliano yatakayoiwezesha kampuni hiyo kuchangia vitabu 200 vyenye thamani ya Shilingi milioni nne kwa shule hiyo iliyopo eneo la Kigamboni wilaya ya Temeke. Shughuli hiyo ilifanyika jana katika...

 

10 years ago

Michuzi

Taasisi isiyo ya Kiserikali ya Forum CC yaandaa kongamano la vijana

Taasisi isiyo ya Kiserikali ya  Forum CC imeandaa kongamano la siku moja kwa vijana kutoka  Asasi za kiraia lililojadili msimamo wa Tanzania juu ya masuala ya Mazingira, hususan Mabadiliko ya Tabianchi  kuelekea Mkutano Mkubwa wa Mazingira Duniani utakaofanyika katika jiji la Lima nchini Peru, Desemba 2014. Naibu Waziri, Ofisi ya Makamu wa Rais, Mh. Ummy Mwalimu akiongea na waandishi wa habari  (hawapo pichani) mara baada ya kufungua kongamano hilo. Sehemu ya Washiriki walioshiriki katika...

 

10 years ago

Michuzi

Airtel yatoa msaada wa vitabu kwa shule za sekondari Dar

 Meneja wa Kitengo cha Huduma kwa Jamii wa Airtel, Hawa Bayumi (kulia), akikabidhi vitabu vya masomo ya sayansi vyenye thamani ya shilingi milioni 4.5/-, kupitia Mradi wa ‘Airtel Shule Yetu’ kwa Mwakilishi wa Afisa Elimu ya Sekondari Manispaa ya Temeke, Yasintha Kayoza kwa niaba ya shule tatu za sekondari za Mbagala, Mvuti na Kambangwa katika hafla iliyofanyika kwenye Shule ya Sekondari ya Mbagala jijini Dar es Salaam jana. Kushoto ni Mkuu wa Shule ya Sekondari ya  Mbagala, Mwalimu...

 

10 years ago

Michuzi

Airtel yatoa vitabu kwa shule ya sekondari Shibula Mwanza

Wanafunzi wa shule ya sekondari ya Shibula iliyoko Mkoani Mwanza wamefaidika na vitabu kupitia mradi wa Airtel shule yetu ambapo Airtel imetoa msaaada wa vitabu vya sayansi vyenye thamani ya shilingi milioni moja na Laki tano vitakavyowawezesha wanafunzi hao kupata elimu bora.
Kwa zaidi ya miaka 10 sasa mpango huu wa Airtel shule yetu umekuwa ukisaidia shule za sekondari kwa kuwapatia nyenzo muhimu kma vile vitabu, vifaa za kufundishia , madawati, kuboresha majengo ya shule lengo likiwa ni...

 

10 years ago

Michuzi

JK apokea vitabu vya sayansi kwa shule za Sekondari vilivyochapishwa kwa msaada wa watu wa marekani

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Mhe Paul Makonda baada ya kuwasili katika Shule ya Sekondari ya Mtakuja huko Kunduchi jijini Dar e salaam leo tayari kwa kukagua ujenzi wa maabara na pia kupokea na kugawa vitabu vya sayansi vilivyochapishwa  na Watu wa Marekani. Rais Jakaya Mrisho Kikwete akikagua maabara katika Shule ya Sekondari ya Mtakuja huko Kunduchi jijini Dar e salaam ambako  pia alipokea na kugawa vitabu vya sayansi vilivyochapishwa  na Watu...

 

10 years ago

Dewji Blog

TICTS yakabidhi msaada wa vitabu kwa shule ya msingi Mivinjeni jijini Dar

Mkurugenzi Mtendaji Mkuu wa Kampuini ya Ushushaji Mizigo Bandarini Tanzania International Container Terminal (TICTS) Paul Wallace akipeana mikono na wanafunzi wa Shule ya Msingi Mivinjeni baaada ya kuwakabidhi msaada wa vitabu. Mkurugenzi Mtendaji Mkuu wa Kampuini ya Ushushaji Mizigo Bandarini Tanzania International Container Terminal (TICTS) Paul Wallace akiwakabidhi Vitabu wanafunzi wa Shule ya msingi Mivinjeni . 2 Mkurugenzi Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Ushushaji Mizigo Bandarini...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani