Serikali kuanzisha daftari la usajili wa waharifu.
Na Winifrida Ndunguru,
Dar Es Salaam.
Serikali inatarajia kuanzisha daftari maalumu litakalosajili wahalifu kuanzia ngazi ya familia ikiwa ni sehemu ya kutunza kumbukumbu ya wahalifu nchini kwa majina ili kurahisisha hatua za kukabiliana na matukio ya uhalifu.
Aidha, imekemea tabia ya baadhi ya vyama vya siasa kukataa matokeo ya uchaguzi bila ya sababu za msingi na kusema hatua hiyo haisaidii kuimarisha demokrasia nchini.
Mkuu wa Mkoa Sadick Meck Sadick alisema wazo la kuanzisha...
StarTV
Habari Zinazoendana
5 years ago
Michuzi
MSAJILI BARAZA LA VETERINARI AWATAKA MADAKTARI WA MIFUGO KUHUISHA MAJINA YAO KWENYE DAFTARI LA USAJILI
Akizungumza na jijini Dodoma leo, Dkt. Masuruli amesema ni muhimu wataalam kuhuisha majina yao ili baraza liweze kufahamu wako wapi, wanafanya nini na wanatoa huduma gani.
"Nasisitiza madaktari wote wa mifugo ambao hawajahuisha taarifa zao kwenye daftari la usajili wa madaktari wafanye hivyo kuanzia leo...
10 years ago
Habarileo05 Feb
Serikali kuanzisha mfuko wa Ukimwi
SERIKALI imeshitukia utegemezi wa wafadhili katika kuhudumia watu wenye virusi vya Ukimwi nchini, ikiwemo utoaji wa dawa za kurefusha maisha (ARVs) na sasa imekubali kuanzisha Mfuko maalumu, utakaowezesha nchi kujitegemea katika kufanikisha huduma hizo.
10 years ago
Habarileo23 Jun
Serikali, Apollo kuanzisha hospitali
SERIKALI kwa kushirikiana na hospitali bingwa ya magonjwa sugu duniani ya Apollo iliyopo nchini India, inatarajia kuanzisha hospitali nchini kwa ajili ya kutoa huduma ya magonjwa hayo badala ya wagonjwa kusafirishwa kwenda India.
11 years ago
Tanzania Daima01 Jul
Bodi Serikali za Mitaa kuanzisha benki
BODI ya Mikopo ya Serikali za Mitaa nchini inatarajia kuanzisha Benki ya Maendeleo, ili kuweza kukopesha halmashauri mbalimbali nchini kwa ajili ya utekelezaji wa miradi inayolenga kuchochea shughuli za maendeleo....
5 years ago
Bongo514 Feb
Serikali kuanzisha ‘Mfuko wa Maendeleo ya Sanaa’
Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo iko katika mchakato wa kuanzisha ‘Mfuko wa Maendeleo ya Sanaa’ ambao una dhima kubwa ya kusaidia kuinua kipato.
Naibu Waziri wa Wizara Utamaduni, Sanaa na Michezo, Annastazia Wambura
Aidha mfuko huo utaongeza tija na weledi kupitia utaratibu wa upatikanaji fedha utakaowekwa ili kuwawezesha wasanii kuzalisha kazi bora za sanaa zenye kukidhi viwango vya masoko ndani na nje ya nchi.
Akijibu swali la Mbunge wa Kinondoni, Maulid Said Mtulia...
11 years ago
Habarileo20 May
Serikali kuanzisha bodi ya kitaalamu ya walimu
SERIKALI imeamua kuanzisha bodi ya kitaalamu ya walimu Tanzania katika mwaka ujao wa fedha, itakayosimamia masuala ya walimu, ikiwemo usajili, uendelezaji wa walimu na maadili ya kazi ya ualimu.
5 years ago
Michuzi
SERIKALI KUANZISHA MFUKO MAALUM WA KILIMO


Naibu Waziri wa Kilimo Hussein Bashe akizungumza na vijana mjini Chato leo.

Sehemu ya washiriki wa kongamano la vijana Chato
Naibu Waziri wa Kilimo Hussein Bashe amesema wizara ya kilimo inakusudia kuanzisha mfuko maalum kwa ajili kusimamia maendeleo ya mazao ya pamba,tumbaku na korosho.
Ametoa kauli hiyo leo mjini Chato alipokuwa akizunguzma kwenye kongamano la...
10 years ago
Habarileo21 Dec
Serikali yaonya daftari la wapigakura
WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Uratibu na Bunge) William Lukuvi, ameonesha kutoridhishwa na utaratibu mbovu unaotumika kuandikisha wananchi katika daftari la kudumu la wapiga kura, kutokana na kuwa na mianya inayoweza kuingiza wasio raia wa Tanzania.
10 years ago
Habarileo22 Jun
Serikali, Apollo kuanzisha hospitali ya magonjwa sugu
SERIKALI kwa kushirikiana na Hospitali bingwa ya magonjwa sugu duniani ya Apollo iliyopo nchini India, inatarajia kuanzisha hospitali nchini kwa ajili ya kutoa huduma ya magonjwa hayo badala ya wagonjwa kusafirishwa India.