Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Serikali yaonya daftari la wapigakura

WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Uratibu na Bunge) William Lukuvi akifafanua jambo kwa waandishi wa habari.WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Uratibu na Bunge) William Lukuvi, ameonesha kutoridhishwa na utaratibu mbovu unaotumika kuandikisha wananchi katika daftari la kudumu la wapiga kura, kutokana na kuwa na mianya inayoweza kuingiza wasio raia wa Tanzania.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Daftari la Wapigakura kuboreshwa

Tume ya Taifa ya Uchaguzi (Nec), imesema Daftari la Kudumu la Wapigakura, litafanyiwa marekebisho kabla ya kuanza kwa upigaji wa kura ya maoni kwa ajili ya kupata Katiba Mpya, ili kuwawezesha vijana waliotimiza umri wa miaka 18, ambao hawakujiandikisha, kupata fursa ya kupigakura.

 

11 years ago

Mwananchi

Nec: Daftari la wapigakura litaboreshwa

Pamoja na kushindwa kutaja tarehe rasmi ya kuanza kuboresha daftari la kudumu la wapigakura, Tume ya Taifa ya Uchaguzi (Nec) imesema daftari hilo litaboreshwa kabla ya kuanza kwa upigaji wa kura ya maoni kwa ajili ya kupata Katiba Mpya.

 

10 years ago

Mwananchi

Silaa: Jiandikisheni Daftari la Wapigakura

Wakazi wa Mkoa wa Lindi wametakiwa kujitokeza kujiandikisha kwenye Daftari la Kudumu la Wapigakura ili waweze kushiriki kwenye Uchaguzi Mkuu Oktoba mwaka huu.

 

10 years ago

Habarileo

RC ahimiza kujiandikisha daftari la wapigakura

Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Dk Rajab Rutengwe.MKUU wa Mkoa wa Morogoro, Dk Rajab Rutengwe amewahimiza wananchi wenye sifa wakiwemo wafanyakazi kujitokeza kujiandikisha katika daftari la kudumu la wapiga kura.

 

10 years ago

Habarileo

Daftari la Wapigakura kuboreshwa mwakani

MWENYEKITI wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Jaji Damian Lubuva amesema uboreshaji wa Daftari la Wapigakura umechelewa kuanza kutokana na kuchelewa kuagiza vifaa vya kufanya kazi hiyo kwa wakati, hivyo kazi hiyo sasa itafanyika mapema mwakani.

 

9 years ago

Habarileo

Chadema yazungumzia daftari la wapigakura

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimeitaka Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kuchukua hatua za haraka kurekebisha makosa yaliyojitokeza katika Daftari la Kudumu la Wapiga Kura.

 

9 years ago

Mwananchi

Daftari la wapigakura D’Salaam kizungumkuti

Uhakiki wa majina ya wananchi watakaokuwa na sifa za kupiga kura Oktoba 25,  umeanza utekelezaji wake Dar es Salaam, huku katika baadhi ya kata vitabu vya majina vina taarifa zilizochanganywa.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Bil. 279/- kuboresha daftari la wapigakura

TUME ya Taifa ya Uchaguzi imesema imeanza mchakato wa kuboresha daftari la wapigakura, ili liweze kutumika kwenye upigaji kura ya maoni ya katiba mpya. Uboreshaji huo unatarajiwa kutumia zaidi ya...

 

10 years ago

Habarileo

NEC, wanasiasa kujadili daftari la wapigakura

 James Mbatia WAKATI Uandikishaji katika daftari la Kudumu la Wapiga Kura, unatarajiwa kuanza rasmi Jumatatu ya wiki ijayo, Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) leo inakutana na Vyama vya siasa kujadili mchakato huo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani