Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


CCM yabana mawaziri Bunge Maalum

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimewabana mawaziri na wabunge wake wasiohudhuria shughuli za Bunge Maalumu la Katiba.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Kamati Kuu CCM yajadili Bunge Maalum

MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rais Jakaya Kikwete jana alifungua kikao maalumu cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya chama hicho, ambapo pamoja na mambo mengine kitajadili mwenendo wa Bunge Maalumu la Katiba.

 

10 years ago

Vijimambo

HALMASHAURI KUU YA CCM YALIPONGEZA BUNGE MAALUM LA KATIBA


HALMASHAURI Kuu ya Chama cha Mapinduzi (NEC) imemaliza kikao chake cha siku mbili chini ya Mwenyekiti wa CCM Dkt. JAKAYA KIKWETE ambapo pamoja na mambo mengine imepokea taarifa ya mchakato wa Katiba na kulipongeza bunge hilo.
Aidha imeunga mkono kwa asilimia mia moja Katiba hiyo pendekezi na kuwataka wananchi waisome,kuitafakari na wakati ukifika wajitokeze kwa wingi na kupigia  kura ya ndio.Akizungumza na waandishi wa habari Mjini Dodoma, Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi ndugu NAPE...

 

10 years ago

Dewji Blog

CCM yatoa pongezi kwa Bunge Maalum la Katiba

10  Mwenyekiti wa CCM Taifa Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongoza kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM ambacho kimemalizika jana mjini Dodoma na kutoka na mazimio ya kupitisha sera ya chama kujiendesha kiuchumi na kuondokana na utegemezi wa ruzuku ya serikali.

 Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara) Ndugu Philip Mangula akiandika baadhi ya mambo muhimu ya kufafanua katika suala la maadili ndani ya Chama.

Dk.Asha-Rose Migiro akizungumzia mambo mbali mbali yanayohusiana na siasa na mahusiano ya...

 

10 years ago

Michuzi

TAARIFA YA WAWAKILISHI WA TAASISI ZA DINI WA BUNGE MAALUM LA KATIBA TOKA WAJUMBE 201 KUHUSU MWENENDO WA SHUGHULI ZA BUNGE MAALUM LA KATIBA

 Sisi Wawakilishi wa Jumuiya na Taasisi za Dini, tuliopendekezwa na Taasisi zetu na baadaye kuteuliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, baada ya kushauriana na Rais wa Zanzibar kuwa Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba, na kula kiapo cha utekelezaji wa jukumu hili kubwa.Tukiamini kuandaa Katiba Mpya kwa maridhiano ya Kitaifa kwa wananchi wote, tulipokea jukumu hili kama wajibu wetu Kitaifa.  Aidha tunaamini kwamba katika kupata maridhiano ya Kitaifa ni muhimu kuheshimu kila wazo na...

 

10 years ago

Michuzi

KAMATI KUU YA CCM YAHIMIZA WAJUMBE WA BUNGE MAALUM LA KATIBA KUHUDHURIA VIKAO NA KUSHIRIKI KATIKA MIJADALA

Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akizungumza na waandishi wa habari katika Ukumbi wa Sekretarieti Makao Makuu ya CCM Dodoma.

Akizungumza na Waandishi wa Habari mjini Dodoma ,Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi alisema,Kamati Kuu pamoja na mambo mengine, ilipokea taarifa na kufanya tathimini juu ya maendeleo ya mchakato wa mabadiliko ya Katiba nchini, ndani na nje ya Bunge.

Kamati Kuu vilele imepokea na kujadili taarifa kuhusu mazungumzo na mashauriano kati ya vyama vya CUF, CHADEMA,...

 

10 years ago

Michuzi

Ofisi ya Bunge yatoa ufafanuzi kuhusu malipo ya posho za Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba

OFISI ya Bunge Maalum la Katiba mjini Dodoma, imetoa ufafanuzi juu ya taarifa zilizotolewa kwenye vyombo vya habari kuhusu kuchelewa kwa malipo ya posho za Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba.
Ufafanuzi huo umetolewa leo na Mkurugenzi wa Habari na Itifaki Bw. Jossey Mwakasiyuka wakati alopokutana na waandishi wa habari kwa lengo la kutolea ufafanuzi kuhusiana na taarifa hizo zilizoikera ofisi hiyo ya Bunge Maalum.
Mwakasyuka amevieleza vyombo vya habari kuwa, ofisi ya Bunge Maalum imekerwa na...

 

11 years ago

Michuzi

taswira mbalimbali za WAJUMBE WA BUNGE MAALUM LA KATIBA VIWANJA VYA BUNGE MJINI DODOMA

 Waziri Mkuu  ambaye pia ni Mjumbe wa Mkutano Maalum wa Bunge la Katiba Mizengo Peter Pinda (kushoto) akibadilishana mawazo na mjumbe mwenzake Said Mtanda (kulia) jana mjini Dodoma wakati wa mapumziko.  Waziri Mkuu  ambaye pia ni Mjumbe wa Mkutano Maalum wa Bunge la Katiba Mizengo Peter Pinda (kushoto) akibadilishana mawazo na mjumbe Said Mtanda na wenzake  jana mjini Dodoma wakati wa mapumziko.   Mjumbe wa Mkutano wa Bunge Maalum  la Katiba  Joshua Nasari(kushoto) akibadilishana mawazo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani