Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wabunge watakiwa kuwa wazalendo

CHAMA cha Waandishi wa Habari wa Kupiga Vita Matumizi ya Dawa za Kulevya na Uhalifu Tanzania (OJADACT), kimewataka wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba kuwa wazalendo wa kuzipigania tunu za...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

VIJANA NCHINI WATAKIWA KUWA WAZALENDO, KUHAMASISHA WANANCHI KUCHUKUA TAHADHARI YA CORONA


Mkuu wa Wilaya ya Dodoma, Patrobas Katambi akizungumza na kamati tendaji ya viongozi wa serikali za wanafunzi wa vyuo vya elimu ya juu (Tahliso) katika mkutano wa pamoja jijini Dodoma.
Mkuu wa Wilaya ya Dodoma, Patrobas Katambi akiwa katika picha ya pamoja na kamati tendaji ya viongozi wa serikali za wanafunzi wa vyuo vya elimu ya juu nchini (Tahliso).



Charles James, Globu ya Jamii

VIJANA nchini wametakiwa kuwa wabunifu katika kufikia ndoto zao na siyo kukaa vijiweni wakilalamikia ugumu wa...

 

10 years ago

CloudsFM

ACT-Wazalendo Kuvuna Wabunge Kutoka CCM na CHADEMA

Baada ya vumbi la uchaguzi mkuu kuanza kumtika tumeona kura za maoni zinazoendelea kupigwa kutoka Chadema na CCM kwenye kila jimbo.

Chadema wanachagua wagombea ili baadae watakapokubaliana na wenzao CUF, NCCR Mageuzi, NLD, itabidi baadhi ya Majimbo wapewe vyama hivyo ambavyo vipo kwenye umoja huo UKAWA.

Na hapo ndiyo utazuka mgogoro mkubwa wa baadhi ya wagombea ambao majimbo yao watapewa UKAWA, hapo ndipo ACT-Wazalendo watakapojipatia wagombea wanaokubalika na kuwasimamisha kama wagombea wa...

 

10 years ago

Vijimambo

LISSU AWAZUIA WABUNGE WA CHADEMA KUHUDHURIA UZINDUZI WA ACT-WAZALENDO


Lissu awazuia wabunge wa chadema kuhudhuria uzinduzi wa act-wazalendo.Lissu awazuia wabunge wa Chadema kuhudhuria Uzinduzi wa Chama cha ACT-WAZALENDO. Amesema atakaye hudhuria ni msaliti ndani ya Chadema na hatua kali zitachukuliwa dhidi ya mbunge huyo

 

9 years ago

CCM Blog

JUKWAA HURU LA WAZALENDO LATOA TAMKO KUHUSU RAIS DK. MAGUFULI NA WABUNGE

Baada ya Rais Dk. John Magufuli kuonyesha dhamira yake ya thati kutaka kuliinua taifa la Tanzania kutoka katika lindi la umasikini katika nyanja mbalimbali, kwa kupunguza gharama zisizo za lazima ikiwemo fedha zinazoangamia katika posho, sherehe na safari za nje, Leo Jukwaa Huru la Wazalendo limejitokeza kumuunga mkono kwa kutoa tamko zito. Pichani, Mwenyekiti wa Jukwaa hilo, Ally Salum Hapi akizungumza na Waandishi wa habari leo katika hoteli ya Travertine, Magomeni jijini Dar es Salaam...

 

11 years ago

Mwananchi

Awataka wajumbe kuwa wazalendo

Mjumbe wa Bunge Maalumu la Katiba ambaye pia ni Mbunge wa Moshi Mjini, Philemon Ndesamburo amewataka wajumbe wenzake kutanguliza uzalendo katika kupitisha Rasimu ya Katiba.

 

11 years ago

Mwananchi

Nagu awataka wadau wa sukari kuwa wazalendo

Serikali imewataka wadau wa sukari nchini, kuwa na uzalendo katika uzalishaji na uuzaji wa bidhaa hiyo muhimu, ikieleza kuwa wakifanya hivyo watapunguza matatizo na malalamiko ya wananchi yanayojitokeza mara kwa mara.

 

11 years ago

Habarileo

Wabunge watakiwa kutathmini VAT

Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman KinanaCHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimetaka wabunge wake, kuhakikisha wanafanya tathmini na kupitia upya Sheria ya Kodi ya Ongezeko la Thamani (VAT) na kuweka viwango vya tozo hiyo, kulingana na huduma inayotolewa kupunguza malalamiko ya wananchi.

 

9 years ago

Michuzi

Walimu waaswa kuwa wazalendo kuwafundisha wanafunzi nchini

Afisa Elimu Vifaa na Takwimu Halmashauri ya Kibaha Vijijini Doris Semkiwa ambaye anamwakilisha Afisa Elimu wa Halmashauri ya Kibaha Vijijini akitoa mada kwa Washiriki wa mafunzo ya kuwajengea uwezo Walimu na Wanafunzi katika Ufundishaji na Ujifunzaji kwa shule za sekondari (STEP) wakifuatilia mafunzo hayo katika kituo cha Shule ya sekondari Kilangalanga iliyopo wilayani Kibaha Vijijini mkoani Pwani.Washiriki wa mafunzo ya kuwajengea uwezo Walimu na Wanafunzi katika Ufundishaji na Ujifunzaji...

 

10 years ago

Habarileo

Tanesco, wabunge watakiwa kukaa pamoja

Waziri wa Kazi na Ajira, Gaudentia KabakaSERIKALI imewaagiza maofisa wa Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco), katika ngazi ya mkoa, kukaa na viongozi wa wilaya na wabunge wa maeneo husika, kuainisha mahitaji ya umeme, yaliyopo kwenye maeneo husika na kuyatafutiwa ufumbuzi.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani