Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


ACT-Wazalendo Kuvuna Wabunge Kutoka CCM na CHADEMA

Baada ya vumbi la uchaguzi mkuu kuanza kumtika tumeona kura za maoni zinazoendelea kupigwa kutoka Chadema na CCM kwenye kila jimbo.

Chadema wanachagua wagombea ili baadae watakapokubaliana na wenzao CUF, NCCR Mageuzi, NLD, itabidi baadhi ya Majimbo wapewe vyama hivyo ambavyo vipo kwenye umoja huo UKAWA.

Na hapo ndiyo utazuka mgogoro mkubwa wa baadhi ya wagombea ambao majimbo yao watapewa UKAWA, hapo ndipo ACT-Wazalendo watakapojipatia wagombea wanaokubalika na kuwasimamisha kama wagombea wa...

CloudsFM

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

LISSU AWAZUIA WABUNGE WA CHADEMA KUHUDHURIA UZINDUZI WA ACT-WAZALENDO


Lissu awazuia wabunge wa chadema kuhudhuria uzinduzi wa act-wazalendo.Lissu awazuia wabunge wa Chadema kuhudhuria Uzinduzi wa Chama cha ACT-WAZALENDO. Amesema atakaye hudhuria ni msaliti ndani ya Chadema na hatua kali zitachukuliwa dhidi ya mbunge huyo

 

10 years ago

Tanzania Daima

CHADEMA yazidi kuvuna CCM

WANACHAMA wa Chama Cha Mapinduzi, (CCM), 54 akiwemo Mwenyekiti wa kijiji cha Pemba wilayani Tarime Mkoa wa Mara, Augustino Wantora, wamejiunga na Chama cha Demokrasia na Maendeleo, (CHADEMA). Wanachama hao...

 

10 years ago

Dewji Blog

Waliojitoea Chadema wapeta ACT Wazalendo

Mwanahamisi Muyinga.

Makada wa Wawili wa Chadema Mbunge viti maalumu anayemaliza muda wake Chuki Abwao na aliyekuwa mmoja wa watia nia Jimbo la Kalenga aliyeshindwa kwenye kura za maoni wameibuka kidedea kwenye kura za maoni kuwania ubunge kupitia chama cha ACT Wazalendo.

Makada hao waliibuka washindi kwenye uchaguzi uliofanyika juzi Chuki Abwao akishinda jimbo la Iringa mjini na Mwanahamisi Jimbo la Kalenga.

Makada hao sasa wanasubiri vikao vya juu vya chama ili kuidininisha kuwania...

 

10 years ago

Mwananchi

Mfadhili wa Chadema atimkia ACT Wazalendo

Aliyekuwa mfadhili wa Chadema Jimbo la Musoma Mjini mkoani Mara, Dk Eliud Tongola amejiunga na Chama cha ACT-Wazalendo kinachoongozwa na Zitto Kabwe.

 

10 years ago

Mwananchi

Waliotemwa Chadema washinda ACT Wazalendo

Kada aliyewania ubunge kupitia Chadema katika Jimbo la Kalenga na kutemwa kwenye kura za maoni, Mwanahamisi Muyinga ameibuka mshindi wa kura hizo katika jimbo hilohilo kupitia chama cha ACT-Wazalendo.

 

9 years ago

Mwananchi

Umeya wavipasua vichwa Chadema, ACT Wazalendo

Uchaguzi wa umeya katika mji wa Moshi, Kigoma Ujiji na Jiji la Arusha unaonekana kuwa kaa la moto katika vyama vya upinzani ambavyo ndivyo vinaongoza katika miji hiyo miwili. 

 

10 years ago

Vijimambo

MBUNGE CHIKU ABWAO WA CHADEMA AMFUATA ZITTO KABWE ACT-WAZALENDO

 Katibu wa Mipango na Mikakati wa Chama cha ACT-Wazalendo, Habibu Mchange (kushoto), akimkabidhi kadi ya chama hicho, aliyekuwa mbunge wa Viti maalumu kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Iringa mjini, Chiku Abwao baada ya kuhamia rasmi ACT-Wazalendo Dar es Salaam leo mchana. Mbunge Chiku Abwao (kulia), akionesha kadi ya chama cha ACT-Wazalendo baada ya kukabidhiwa.
  Mbunge Chiku Abwao (kulia), akizungumza na wanahabari baada ya kukabidhiwa kadi ya chama cha ACT-Wazalendo.

 

9 years ago

Mwananchi

Wanachama CCM watimkia ACT- Wazalendo

Zaidi ya wanachama 100 kutoka CCM, Kata ya Chihanga, Manispaa ya Dodoma wamejiunga na ACT- Wazalendo.

 

5 years ago

Michuzi

MJUMBE WA NEC TAIFA NA RAIS APOKEA MWANACHAMA MPYA KUTOKA ACT WAZALENDO



Aliyekuwa mjumbe wa Ngome ya Vijana wa Chama cha ACT Wazalendo Ndugu Samora Julius Mwanyonga, akirudisha kadi yake kwa Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa na Mlezi wa CCM Mkoa wa Dar es Salaam, Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, baada ya kukihama chama hicho na kujiunga na Chama cha...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani