Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wakazi warejelea biashara zao Kariakoo

Wakazi wengi katika eneo la Kariakoo, Dar es Salaam wamerejelea biashara zao baada ya kuzifunga kwa muda kutokana na uchaguzi uliofanyika Jumapili ingawa wateja si wengi.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

KATAA UMEME FAMILY YAWAKEMEA WATU WANAOTUMIA PICHA ZAO KWENYE BIASHARA ZAO ZA MADAWA YA KUPUNGUZA UZITO

Kiongozi wa Kikundi cha Kataa Unene Family (KUF) ambaye pia ni mwandishi na mtangazaji wa Televison ya Taifa (TBC1), Angella Msangi amekemea tabia ya baadhi ya wafanyabiashara wanaotumia picha zao ili waweze kuuza biashara zao za madawa ya kupunguza uzito. Akizungumza  kwa masikitiko makubwa, Kiongozi huyo alisema kuwa kuna wafanyabiasha ambao si waaminifu wamekuwa wakichukua picha zao katika mitandao ya jamii na sehemu nyingine na kutangazia biashara zao kuwa hao wametumia dawa zao na...

 

10 years ago

Mwananchi

Maduka Kariakoo sasa biashara kama kawaida

Hatimaye wafanyabiashara wa Kariakoo wamefungua maduka yao baada ya kufikiwa makubaliano kati ya Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) na Jumuiya ya Wafanyabiashara Tanzania (JWT) ya kuunda kamati ya pamoja itakayoshughulikia matatizo yao.

 

11 years ago

GPL

WAFANYA BIASHARA WA KARIAKOO KUJIACHIA COCO BEACH

Msemaji wa Hazina Capital, Rachel Ndauka (kulia) na William Joseph (kushoto) wakiongea na wanahabari (hawapo pichani). Hazina Capital tunapenda kujitambulisha/kuwatangazia Watanzania juu ya soko jipya la  biashara litakalojumuisha wafanyabiashara wa bidhaa za aina mbalimbali  kutoka Kariakoo  na  kuwapa nafasi ya kuonyesha pamoja na kuuza bidhaa zao Coco Beach  ambalo tumeliita ‘Kariakoo at Coco...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wakazi Tunduma watakiwa kutathmini nyumba zao

DIWANI wa Tunduma, Frank Mwakajoka, amewataka wakazi wa kata hiyo ambao nyumba zao zipo kandokando mwa barabara kuu ya Tunduma -Sumbawanga kuzifanyia tathmini kama zipo ndani ya hifadhi ya barabara...

 

9 years ago

StarTV

Wakazi Kinondoni sasa kupata haki zao.

Serikali imeunda Kamati ya Mahakama ya Wilaya ya Kinondoni ili kusikiliza na kutatua kero na changamoto zinazowakabili wananchi wanapodai haki zao katika mahakama za kikatiba.

Kamati hiyo itakayoshughulikia nidhamu ya mahakama imeundwa kwa mujibu wa Sheria ya Usimamizi wa Mahakama nambari 4 ya mwaka 2011, sehemu ya 51 mabano moja.

Kamati iliyoundwa itashughulikia malalamiko ya wananchi dhidi ya mahakama ya mwanzo, na inaweza kumsimamisha kazi hakimu kupisha uchunguzi wa malalamiko dhidi...

 

10 years ago

StarTV

Wajasiriamali waaswa kuendesha biashara zao kitaalamu.

Na Amina Saidi, Mbeya.

Wajasiriamali nchini wametakiwa kujifunza mbinu za kuendesha biashara zao kitaalamu ili kukuza mitaji.

Hatua hiyo itazijafanya biashara hizo kuwa endelevu na zenye tija.

Ni katika uzinduzi wa kitabu cha Mjasiriamali kinacholenga kutoa elimu itakayowasaidia wajasiriamali wadogo na wa kati kukuza mitaji ya biashara zao kitaalamu badala ya kuendesha biashara za kuiga ama kufuata mkumbo ambazo mara nyingi si endelevu.

Mtunzi wa kitabu hicho mjasiriamali mdogo...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Mbeya wahimizwa kusajili majina ya biashara zao

WAFANYABIASHARA mkoani Mbeya, wametakiwa kusajili majina ya biashara zao kama moja ya njia ya kuzirasimisha na hatimaye kuwa na uwezo wa kufaidika na huduma za kibenki. Rai hiyo ilitolewa mjini...

 

5 years ago

Michuzi

BRELA YAWATAKA MAMA LISHE KURASIMISHA BIASHARA ZAO

Wakala ya Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA) imewahimiza Mama lishe wa Mkoa wa Pwani kurasimisha biashara zao kwa kuzisajili ili waweze kulinda biashara zao na kupata fursa mbalimbali.

Rai hiyo imetolewa katika Tamasha la Mama Lishe festival lililofanyika siku ya jana tarehe 28 Februari 2020, kwenye Viwanja vya Shule ya Sekondari Chanzige, Wilaya ya Kisarawe mkoani Pwani.

Akizungumza katika Tamasha hilo Msaidizi wa Usajili Mwandamizi kutoka BRELA, Bi. Leticia Zavu amebainisha kwamba mara...

 

10 years ago

Mwananchi

Lengo ni kuwawezesha kufanya biashara zao kwa tija

Halmashahuri ya Manispaa ya Morogoro, kwa kushirikiana na Chuo cha Ufundi Stadi (Veta), inakusudia kuanzisha mpango maalumu wa elimu kwa wajasiriamali wadogo wenye lengo la kuwawezesha kupata maarifa ya kuendesha biashara zao kwa tija.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani