KATAA UMEME FAMILY YAWAKEMEA WATU WANAOTUMIA PICHA ZAO KWENYE BIASHARA ZAO ZA MADAWA YA KUPUNGUZA UZITO
Kiongozi wa Kikundi cha Kataa Unene Family (KUF) ambaye pia ni mwandishi na mtangazaji wa Televison ya Taifa (TBC1), Angella Msangi amekemea tabia ya baadhi ya wafanyabiashara wanaotumia picha zao ili waweze kuuza biashara zao za madawa ya kupunguza uzito.
Akizungumza kwa masikitiko makubwa, Kiongozi huyo alisema kuwa kuna wafanyabiasha ambao si waaminifu wamekuwa wakichukua picha zao katika mitandao ya jamii na sehemu nyingine na kutangazia biashara zao kuwa hao wametumia dawa zao na...
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
VijimamboWAKULIMA WA PAMBA WAWEKA MAWE KWENYE ZAO HILO KUSUDI WAPATE UZITO ZAIDI
10 years ago
CloudsFM06 Feb
H Baba awafungukia wasanii wanaokodisha watu kuwazomea wenzao kwenye shoo zao
Msanii wa Bongo Fleva,Hamis Baba amewafungukia baadhi ya wasanii wa Bongo Fleva wanaokodisha watu kwa kuwalipa fedha kwa ajili ya kuwazomea wasanii wengine kwenye shoo.
11 years ago
Bongo516 Jul
Diamond aruhusu watu kutumia picha zake kwenye biashara ya T-shits na Salon
10 years ago
Bongo509 Nov
Picha: Wema Sepetu na Penny wamaliza tofauti zao, wakumbatiana na kupiga picha pamoja
9 years ago
StarTV24 Dec
Wazazi waaswa kutatua tofauti zao ili kupunguza ongezeko La Watoto Wa Mitaani
Wakati miji mingi nchini ikiendelea kusongwa na ongezeko la watoto wanaoishi katika mazingira magumu, wazazi wana wajibu wa kutatua tofauti zao ili kupunguza na hatimaye kuondoa tatizo la watoto wanaoishi katika mazingira hatarishi.
Ugomvi unaosababishwa na ulevi baina ya wanandoa ni aina nyingine ya changamoto zizomfanya mtoto kukimbilia mjini na hivyo kuongeza mzigo kwa taasisi zinazojihusisha na malezi ya watoto.
Malezi ya mtoto yapo mikono mwa wazazi, lakini kwa suala la elimu,...
11 years ago
Habarileo23 Jun
Wateja wa umeme, maji hawaelewi haki zao
BARAZA la Ushauri la Watumiaji wa Huduma za Maji na Nishati (EWURA CCC) limesema sekta za nishati na maji , zinakabiliwa na changamoto ya watumiaji wa huduma hizo, kutokuwa na uelewa kuhusu haki na wajibu wao, jambo linalotoa mwanya kwa watoa huduma kutowajibika.
9 years ago
BBCSwahili27 Oct
Wakazi warejelea biashara zao Kariakoo
10 years ago
Tanzania Daima19 Sep
Mbeya wahimizwa kusajili majina ya biashara zao
WAFANYABIASHARA mkoani Mbeya, wametakiwa kusajili majina ya biashara zao kama moja ya njia ya kuzirasimisha na hatimaye kuwa na uwezo wa kufaidika na huduma za kibenki. Rai hiyo ilitolewa mjini...