Wa mabondeni wataka kuwa wakimbizi wa ndani
Wakazi wa Bonde la Mkwajuni na Msimbazi wilayani Kinondoni ambao wamebomolewa nyumba zao, wametishia kwenda kwenye mashirika yanayohudumia wakimbizi kuomba msaada wa hifadhi iwapo Serikali haitashughulikia hatima ya makazi yao.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
9 years ago
VijimamboKATIBU MKUU WA WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI ATEMBELEA KAMBI YA WAKIMBIZI NYARUGUSU ILIYOKO WILAYANI KASULU MKOANI KIGOMA NA KUWATAKA WAKIMBIZI HAO WADUMISHE AMANI NA UTULIVU
9 years ago
MichuziKATIBU MKUU WA WIZARA YA MAMBO YA NDANI ATEMBELEA KAMBI YA WAKIMBIZI NYARUGUSU.
10 years ago
Dewji Blog28 May
Tanzania kutoa nafasi zaidi kuwezesha Wakimbizi kuwa na maisha ya kawaida
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mh. Mathias Chikawe (kulia) akiwasili kwenye uwanja wa ndege Kigoma akiwa ameambatana na Mratibu Mkazi wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa na Mwakilishi wa Shirika la Maendeleo (UNDP), Alvaro Rodriguez (hayupo pichani) pamoja na Mwakilishi wa Shirika la Umoja wa Mtaifa la Kuhudumia Wakimbizi (UNHCR), Joyce Mends-Cole (wa pili kulia) na kupokelewa na Kaimu Mkuu wa mkoa wa Kigoma ambaye pia ni Katibu Tawala wa mkoa huo, Mhandisi Dkt. John Ndunguru (wa pili...
9 years ago
Dewji Blog11 Sep
Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo Ndani awataka Wakimbizi wa Nyarugusu wadumishe Amani na Utulivu
Mkurugenzi wa Idara ya Wakimbizi kutoka Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Harrison Mseke (kushoto) akizungumza na watumishi wa mashirika mbalimbali yaliyoko katika kambi ya Wakimbizi ya Nyarugusu iliyoko wilayani Kasulu mkoani Kigoma (hawapo pichani) wakati wa ziara ya Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mbarak Abdulwakil (kulia) aliyetembelea kambi hiyo jana.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mbarak Abdulwakil (kulia), akizungumza na watumishi...
10 years ago
Michuzi19 Jun
9 years ago
MichuziNAIBU KATIBU MKUU WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI ATEMBELEA MAKAMBI YA WAKIMBIZI MKOANI KIGOMA
10 years ago
Dewji Blog30 May
Mratibu Mkazi wa UN nchini na Waziri Mambo ya Ndani ya Nchi watembelea eneo la mapokezi ya muda kwa Wakimbizi mjini Kigoma
Mratibu Mkazi wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa na Mwakilishi wa Shirika la Maendeleo (UNDP), Alvaro Rodriguez (wa pili kushoto) akiongozana na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mh. Mathias Chikawe (wa tatu kushot0) pamoja na Mkurugenzi wa Idara ya huduma za Wakimbizi wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Harrison Mseke (katikati), Mwakilishi wa Shirika la Umoja wa Mtaifa la kuhudumia Wakimbizi (UNHCR), Joyce Mends-Cole (wa pili kulia), Mkuu wa ofisi ya Shirika la Umoja wa Mtaifa la Kuhudumia...
9 years ago
MichuziNAIBU KAMISHNA MKUU WA SHIRIKA LA UMOJA WA MATAIFA LA KUHUDUMIA WAKIMBIZI (UNHCR) NA UJUMBE WAKE WATEMBELEA WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI
9 years ago
Dewji Blog09 Sep
Idadi ya Wakimbizi wa Burundi wanaohifadhiwa katika kambi ya Wakimbizi ya Nyarugusu yaongezeka
Wakimbizi kutoka nchini Burundi walioko katika kambi ya Nyarugusu wakiwa wamebeba shehena ya unga wa mahindi jana, muda mfupi baada ya kugawiwa chakula hicho Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia chakula (WFP), lililoweka kituo chake katika kambi ya wakimbizi ya Nyarugusu wilayani Kasulu, mkoani Kigoma.(PICHA ZOTE NA KITENGO CHA MAWASILIANO YA SERIKALI, WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI).
Mkimbizi kutoka nchini Burundi, Jacqueline Elulu (mwenye mtoto), akisubiri kupata huduma ya...