Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Magogo ya magendo sasa kurudishwa

Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, imesema shehena ya magogo yaliyokamatwa yakiingizwa nchini kwa njia ya magendo yakitokea Madagascar yatarejeshwa nchini humo, kwa sababu Zanzibar haina sheria ya misitu ya kuwashtaki au kutaifisha shehena aina hiyo.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

TRA: Hatuna taarifa za makontena ya magogo ya magendo

Mamlaka ya Kodi ya Mapato Tanzania Kanda ya Zanzibar (TRA), imesema haina taarifa kuhusu makontena 95 yenye mzigo wa magendo ya magogo yaliosafirishwa kupitia bandari ya Zanzibar yakielekea mataifa ya Mashariki ya Mbali, gazeti hili limebaini hilo jana.

 

10 years ago

BBCSwahili

Magari milioni 1.4 aina ya jeep kurudishwa

Kampuni ya magari ya Fiat Chrysler kutoka Marekani imeyarudisha magari yake yapatayo milioni 1.4 baada ya watafiti wa usalama kuonyesha kuwa magari yao yanaweza kudukuliwa.

 

9 years ago

Bongo5

DMX aachiwa kutoka jela, lakini anaweza kurudishwa tena!

Rapper DMX ameachiwa huru kutoka jela siku ya Ijumaa Sept 26 japo kuna uwezekano wa kurudishwa ndani muda wowote tena. Mwezi July rapper huyo alihukumiwa miezi sita jela baada ya kushindwa kulipa matumizi ya mtoto, lakini alijitetea kuwa hakufahamu kama mwanamke aliyezaa naye alikuwa akimdai pesa yoyote, kwa mujibu wa TMZ. Licha ya kuwa ameachiwa, […]

 

5 years ago

Michuzi

MALI ZOTE ZA WAKULIMA WA MKONGE KURUDISHWA-WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiangalia mti wa mkonge uliopandwa nje ya Jengo la Mamlaka ya Mkonge Mkoani Tanga, baada ya kuzindua rasmi Jengo la Mamlaka hiyo, kutoka kushoto ni Naibu Waziri Wizara ya Kilimo Mhe. Omar Mgumba, Mkuu wa Mkoa wa Tanga Martin Shigella na Kaimu Mkurugenzi wa Mamlaka ya Mkonge Tanzania Saad Kambona, akiwa katika ziara ya siku moja ya Mkoa huo, kukagua maendeleo ya zao la mkonge, Juni, 1, 2020.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akifafanuliwa jambo na Naibu Waziri...

 

11 years ago

GPL

NAPE: KURUDISHWA KWA MAWAZIRI MIZIGO NI KUWAPA MUDA WAREKEBISHE MAPUNGUFU YAO

Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akizungumza na waandishi wa habari katika Ukumbi wa Sekretarieti, Makao Makuu ya CCM Ofisi Ndogo Lumumba, Dar. Mara baada ya kuundwa kwa Sekretarieti ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa inayoongozwa na Katibu Mkuu Ndg. Abdulrahman Kinana mwanzoni mwaka mwaka jana, Sekretarieti hiyo imejiwekea utaratibu wa kufanya ziara mikoani kukutana na wananchi kusikiliza kero zao, kukagua utekelezaji...

 

11 years ago

Michuzi

Hatimaye wakimbizi wa Somalia walioko Kenya kuanza kurudishwa makwao kwa hiari

Kambi ya wakimbizi Kenya Waswahili husema dalili za mvua ni mawingu, na panapofuka moshi kuna moto. Hii ni misemo inayoweza kuitumika kuelezea matumaini ya kutekelezeka kwa mkataba wa kuwarejesha makwao kwa hiari wafungwa wa Somalia waliko nchini Kenya zoezi ambalo awali lilikwama. Katika mahojiano maalum na Joseph Msami wa idhaa hii msemaji wa shirika la Umoja wa Mataifa la wakimbizi UNHCR nchini Kenya Abel Mbilinyi ambaye pia anaeleza namna Kenya inavyowahifadhi wakimbizi wa Sudani...

 

11 years ago

Michuzi

WATUMIWA SUGU WA KUCHAKACHUA VIROBA VYA KONYAGI WASHINDWA DHAMANA NA KURUDISHWA RUMANDE.

MAHAKAMA ya hakimu mkazi Moshi, leo imefurika mamia ya wananchi waliokwenda kushuhudia watuhumiwa sugu wa utengenezaji wa konyagi feki na bidhaa nyingine mbalimbali na kuzibandika nembo za TRA ambayo inadiwa kudhuru maelfu ya watanzania.   Hata hivyo mahakama ya mkazi moshi imewaachia kwa dhamana watuhumiwa hao nane ambao wanakabiliwa na tuhuma za kutumia alama za biashara za makampuni mengine kwa nia ya kutapeli.na kujipatia pesa kinyume cha utaratibu.   Watuhumiwa hao ni Yusuph George,...

 

11 years ago

Mwananchi

Shehena ya magogo yanaswa

Makontena sita yaliyobeba magogo yaliyokuwa yakisafirishwa kwenda nje kwa njia za magendo yamekamatwa katika Bandari ya Malindi, Kisiwani Unguja kabla ya kusafirishwa kuelekea nchini China, imefahamika visiwani humu.

 

11 years ago

GPL

AKATIKA MKONO, WAUNGANISHWA KWENYE KIFUNDO CHA MGUU KABLA YA KURUDISHWA ENEO LAKE

Madaktari wakiwa wameunganisha mkono wa Xiao kwenye kifundo cha mguu wakisubiri apone majeraha mengine ili waurudishe eneo lake. Madaktari wakiuangalia mkono wa Xiao Wei kabla ya kumfanyia oparesheni kuurudisha eneo lake.…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani