Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


AKATIKA MKONO, WAUNGANISHWA KWENYE KIFUNDO CHA MGUU KABLA YA KURUDISHWA ENEO LAKE

Madaktari wakiwa wameunganisha mkono wa Xiao kwenye kifundo cha mguu wakisubiri apone majeraha mengine ili waurudishe eneo lake. Madaktari wakiuangalia mkono wa Xiao Wei kabla ya kumfanyia oparesheni kuurudisha eneo lake.…

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

CCBRT YAUNGANA NA WADAU KUADHIMISHA SIKU YA MGUU KIFUNDO NYAYO ZA KUPINDA DUNIANI 3, JUNI 2020

 SIKU ya miguu kifundo au nyayo za kupinda ulimwenguni huadhimishwa kila  mwaka tarehe 3 Juni. Tarehe hii ilitokana na maadhimisho ya siku ya kuzaliwa ya Dk. Ignacio Ponseti, (1914-2009) Daktari aliyegundua njia ya kutibu ulemavu huo ujulikanao kwa lugha ya kingereza kama “Ponseti method”.
Lengo la Siku hii ya Mguu kifundo ni kukuza uelewa juu ya ulemavu huu na kuhamasisha utumiaji wa matibabu yake kwa kutumia njia ya Ponseti.
Miguu kifundo au nyayo zilizopinda nini?Mguu kifundo au nyayo za...

 

9 years ago

StarTV

Mzee Juma Isangu aomba Serikali kumsaidia baada ya kuondolewa kwenye eneo lake

Serikali imeombwa kuingilia kati sakata la familia ya Mzee Juma Isangu mkazi wa Duluti wilayani Arumeru mkoani Arusha baada ya kuondolewa kwa amri ya mahakama katika eneo walilokuwa wakiishi kwa zaidi ya miaka thelathini.

Wamedai kwamba haki haikutendeka.

Familia hiyo ambayo hadi hivi sasa imekosa mahali pa kuishi, inamshutumu  mtoto  wa aliyekuwa mmiliki wa kwanza wa eneo hilo kwa madai ya kughushi nyaraka za uhalali wake wakati familia hiyo ikiwa na vielelezo vya mahala hapo.

Kwa mujibu wa...

 

10 years ago

Bongo5

Sheddy Clever alalamika jina lake kutoandikwa kwenye kichupa cha Diamond ‘Ntampata Wapi’

Producer wa hits mbili za Diamond Platnumz ‘Number One’ na ‘Ntampata Wapi’ alionekana kufurahia mafanikio ya Diamond kwenye tuzo za Channel O, lakini kitu kimoja hakijakaa sawa moyoni mwake. Sheddy amesema ameshangazwa baada ya kutoona jina lake likiandikwa kwenye video ya ‘Ntampata Wapi’. “Biashara kweli ni matangazo na nilitakiwa niandikwe kweli kwenye ile video, lakini […]

 

5 years ago

Michuzi

UCHIMBAJI ENEO LA KINA CHA LANGO LA KUINGILIA MAJI KWENYE MITAMBO WAKAMILIKA KATIKA MRADI WA BWAWA LA KUFUA UMME LA MWALIMU NYERERE

UJENZI wa eneo la lango (Water Intake) la kuingilia maji kwenda kwenye mitambo ya kufua umeme katika Mradi wa Julius Nyerere (Mw 2115) unatarajiwa kukamilika Februari mwaka 2022.

Akizungumza na waandishi wa habari leo, Msimamizi wa Ujenzi wa njia za maji pamoja na bwawa kwenye mradi huo Mhandisi Dismas Mbote amesema utekelezaji wa njia hiyo ulianza Mwezi Oktoba 2019 na kuongeza kazi ya uchimbaji wa lango imekamilika kwa kuchimbwa kina cha mita 53 ambapo hivi sasa kazi inayoendelea ni uondoaji...

 

9 years ago

StarTV

Mwanamke avunjwa mguu kwenye kampeni Mkinya Singida

Harakati za kampeni zimezidi kuibua mambo ambapo Jeshi la Polisi linamshikilia mwenyekiti wa Kijiji cha Mkinya Wilaya ya Ikungi mkoani Singida John Misanga kwa tuhuma za kumpiga hadi kumvunja mguu mwanamke mmoja anayedaiwa kufanya fujo kwa kutaka arejeshewe kibatari chake kwenye Kampeni za Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA.

Mwanamke aliyejulikana kwa jina la  Lucia Kidahu mwenye umri wa miaka 66 anadaiwa kwenda kwenye mkutano wa Mgombea Ubunge wa Jimbo la Ikungi Mashariki kwa tiketi...

 

11 years ago

Mwananchi

Ukawa sasa mguu ndani, mguu nje

>Hatima ya wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba, ambao ni wanachama wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) kuendelea kushiriki vikao vya Bunge au kutoendelea inatarajiwa kujulikana leo.

 

10 years ago

GPL

INASIKITISHA: ISIS WATOA VIDEO INAYOONYESHA MATEKA AKICHIMBA KABURI LAKE KABLA YA KUCHINJWA

Mateka Ziad Abdel’al Abu Tarek akijichimbia kaburi lake kabla ya kuchinjwa na Kundi la ISIS. VIDEO iliyotolewa na Kundi la Wapiganaji wa ISIS hivi karibuni inamuoyesha mateka anayedaiwa kuwa mpelelezi wa Syria akijichimbia kaburi lake kabla ya kuchinjwa na wapiganaji wa kundi hilo. Mateka huyo anaonekana akichimba kaburi lake akiwa amevaa mavazi ya njano kabla ya kuchinjwa katika maeneo ya jangwani.… ...

 

10 years ago

Vijimambo

PROF. MARK JAMES MWANDOSYA AWASHUKURU WOTE WALIOMUUNGA MKONO KABLA NA BAADA YA KUTANGAZA NIA.

Profesa Mark James  Mwandosya " Katika nyakati mbalimbali mataifa, na binadamu pia hupita katika vipindi vya majaribu (testing times). Majaribu hayo ni njia moja ambayo naamini Mwenyezi Mungu, muweza wa yote, humuimarisha mtu na huimarisha Taifa iwapo tunaweza kuyamudu". 
Hiki ndio kipindi tunachopita sasa kama Taifa. Kwa maneno hayo napenda, kwa unyenyekevu mkubwa, kuwashukuru, na kwa dhati kabisa, wale wote mliotuunga mkono kabla na baada ya kutangaza nia, wakati wa na baada ya kuchukua...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani