Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Magari milioni 1.4 aina ya jeep kurudishwa

Kampuni ya magari ya Fiat Chrysler kutoka Marekani imeyarudisha magari yake yapatayo milioni 1.4 baada ya watafiti wa usalama kuonyesha kuwa magari yao yanaweza kudukuliwa.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

MAGARI AINA YA NISSAN MURANO NA TOYOTA LAV4 YANAUZWA


Gari zinauzwa kwa bei nzuri tu na zipo Dar kwa atakayeipenda tuwasiliane kupitia namba hizi 0713327106/0756673327

 

10 years ago

Michuzi

Aina mpya Oil ya magari na mitambo ya NEXTOIL imeingia

Aina mpya Oil ya magari na mitambo ya NEXTOIL imeingia nchini na kesho inazinduliwa rasmi chini ya duka la F-ZONE (T) LIMITED lililopo jijini Dar es salaam Mtaa wa Kariakoo na Msimbazi. Wasiliana nao kwa simu +255 757222480Sehemu ya shehena ya NextOil kutoka Triton kama inavyoonekana kwenye duka la F-Zone (T) Limited lililopo mtaa wa Msimbazi Kariakoo, Dar.

 

10 years ago

Michuzi

Airtel yakabadhi wakaazi wawili wa Mkoa wa Manyara magari aina ya Toyota IST

Wakaazi wa wawili wa wilaya ya Hanang Mkoani Manyara kwa pamoja wamezawadiwa magari yao aina ya Toyota IST mara baada ya kuibuka washindi katika droo za promosheni ya Airtel yatosha Zaidi inayoendeshwa na kampuni ya simu za mkononi ya Airtel  Mpaka sasa jumla ya washindi 37 wameshapatikana kutoka katika mikoa mbalimbali ikiwa bado promosheni inaendelea na magari mengi bado yanasubiri washindi ili wakabithiwe akiongea wakati wa halfa ya kukabidhi magari kwa wateja wa Airtel Mkoani...

 

9 years ago

BBCSwahili

Toyota; Magari milioni 6.5 yanahitilafu

Kampuni ya kutengenza magari ya Toyota imetoa ilani ya kurejeshwa magari zaidi ya milioni sita u nusu kote duniani.

 

11 years ago

BBCSwahili

Toyota yaregesha magari milioni 6

Toyota imeagiza magari milioni 6.5 kurejeshwa viwandani ilikufanyiwa ukarabati kutokana na upungufu mbalimbali.

 

10 years ago

GPL

THE GAME AMUNUNULIA JEEP ‘SUB’ WAKE

Rapa The Game. New York, Marekani
RAPA The Game wikiendi iliyopita alimfanyia sapraizi ya gari aina ya SUV Wrangler, msaidizi wake, Lolo kwenye sikukuu yake ya kuzaliwa ‘bethidei’. Lolo akiwa juu ya gari aina ya Jeep Wrangler alilozawadiwa na rapa The Game. Rapa huyo amekuwa akipata msaada mkubwa kutoka kwa ‘sub’ wake huyo kwa takribani miaka minne sasa huku ikidaiwa kuwa ndiye anayeficha siri za...

 

5 years ago

Michuzi

JIJI LA DODOMA LAKABIDHI MAGARI YENYE THAMANI YA SH MILIONI 345 KWA WATAALAMU WAKE WA MIPANGO MIJI

Charles James, Globu ya Jamii
HALMASHAURI ya Jiji la Dodoma limekabidhi magari matatu kwa Idara ya Mipango Miji kwa ajili ya kurahisisha shughuli za wataalamu wake katika kudhibiti ujenzi holela kwenye jiji hilo.
Hayo yamefanyika ikiwa ni utekelezaji wa agizo la Waziri Mkuu, Mhe Kassim Majaliwa la kusimamia utekelezaji wa mpango kabambe wa Jiji la Dodoma.
Akizungumza wakati wa kukabidhi magari hayo, Mkurugenzi wa Jiji la Dodoma, Godwin Kunambi amesema magari hayo yamegharimu kiasi cha Sh...

 

11 years ago

Mwananchi

Magogo ya magendo sasa kurudishwa

Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, imesema shehena ya magogo yaliyokamatwa yakiingizwa nchini kwa njia ya magendo yakitokea Madagascar yatarejeshwa nchini humo, kwa sababu Zanzibar haina sheria ya misitu ya kuwashtaki au kutaifisha shehena aina hiyo.

 

10 years ago

Michuzi

Tamasha la Magari Tanzania (Autofest) limerudi na Matoleo Mapya ya Magari

Likirudi kwa mwaka wake wa saba, tamasha la magari Tanzania (autofest) litakua likionyesha magari mapya, matoleo mapya ya pikipiki, burudani za muziki kutoka kwa wasanii mbalimbali wa nchini na burudani nyingine za kusisimua kwa ajili ya familia nzima kuanzia Septemba 19-21, 2014. Tamasha la mwaka huu ambalo linaandaliwa na Vision Investment, litafanyika katika viwanja vya Biafra, Kinondoni. Anayetarajiwa kuwa mgeni rasmi katika ufunguzi ni Mhe. Dk Abdallah O. Kigoda, Waziri wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani