Tamasha la Magari Tanzania (Autofest) limerudi na Matoleo Mapya ya Magari
![](http://2.bp.blogspot.com/-fWyZFEZucHg/U-sxP-7Rg2I/AAAAAAAF_IE/dQULh-NCqKI/s72-c/unnamed%2B(93).jpg)
Likirudi kwa mwaka wake wa saba, tamasha la magari Tanzania (autofest) litakua likionyesha magari mapya, matoleo mapya ya pikipiki, burudani za muziki kutoka kwa wasanii mbalimbali wa nchini na burudani nyingine za kusisimua kwa ajili ya familia nzima kuanzia Septemba 19-21, 2014. Tamasha la mwaka huu ambalo linaandaliwa na Vision Investment, litafanyika katika viwanja vya Biafra, Kinondoni. Anayetarajiwa kuwa mgeni rasmi katika ufunguzi ni Mhe. Dk Abdallah O. Kigoda, Waziri wa...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima27 Jan
Seif Magari aibua mapya Yanga
UONGOZI wa Klabu ya Yanga umetoa onyo kwa watu wanaotumika kusambaza ‘meseji’ za vitisho kwa Mwenyekiti wa Kamati ya Mashindano ya Kimataifa, Seif Ahmed ‘Magari’ na viongozi wenzake kwa lengo...
11 years ago
Mwananchi10 May
Uchaguzi 2015, Polisi kununua magari 700 mapya
9 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-ybyW7jYjefg/ViaKEiFA1fI/AAAAAAAIBVc/lz_CR4tw_b8/s72-c/IMGL1332.jpg)
JK leo akabidhi jeshi la polisi magari 399 mapya kati ya 777 yaliyoagizwa
RAIS Jakaya Mrisho Kikwete leo amekabidhi magari 399 mapya kwa ajili ya kufanyia kazi kwa Jeshi la Polisi Tanzania katika hafla fupi iliyofanyika kwenye viwanja vya Chuo Cha Mafunzo ya Polisi kilichopo barabara ya Kilwa Jijini Dar es Salaam.
Makabidhiano hayo yalifanyika mbele ya Waziri wa Mambo ya ndani Mhe Mathias Chikawe Inspekta Jenerali wa Polisi IGP Ernest Mangu na maofisa mbalimbali wa jeshi hilo.IGP Mangu Alisema magari hayo 20 ni ya kutema maji ya kuwasha na...
9 years ago
Dewji Blog20 Oct
Rais Kikwete alikabidhi Jeshi la Polisi magari mapya 399 kati ya 777 yaliyoagizwa
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongozana na Waziri wa Mambo ya Ndani Mhe Mathias Chikawe, IGP Ernest Mangu wakati akikagua sehemu ya magari mapya 399 kati ya 777 aliyokabidhi kwa jeshi la polisi leo Jumanne Oktoba 20, 2015 huko katika Chuo cha Polisi Kurasini Dar es salaam. (PICHA NA IKULU).
9 years ago
GPLTAMASHA LA MAGARI NCHINI KUJA KIVINGINE
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/ann-lp8tGEn1zlOSgxpChpu2*XMdHOV2UDy8DVs*48RRW5gd0x5dKo2BWaYxnHqN15yt0fZsCEWVqb117-yMTGzyeapuykhh/p3.jpg?width=650)
RAIS KIKWETE ALIKABIDHI JESHI LA POLISI MAGARI MAPYA 399 KATI YA 777 YALIYOAGIZWA
10 years ago
Dewji Blog29 May
Mwenge wa Uhuru wazindua magari mapya ya kampuni ya Green Waste Pro Ltd yenye thamani ya shilingi Bilioni 1.6
Kiongozi wa Wakimbiza Mwenge Kitaifa, Bw. Juma Khatibu Chum akiwa ameshika Mwenge baada ya kufika mtaa wa Kisutu jijini Dar kwenye uzinduzi wa magari mapya ya kuzoa taka katika manispaa ya Ilala yanayomilikiwa na kampuni ya Green WastePro ltd.(Picha zote na Geofrey Adroph wa Pamoja Blog).
Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Raymond Mushi akizungumza jambo mara baada ya Mwenge wa Uhuru kufika eneo la Kisutu jijini Dar kwa ajili ya ufunguzi wa Magari ya kisasa ya kuzoa taka.
Kiongozi wa mbio za...
10 years ago
VijimamboJESHI LA POLISI NCHINI LASHIRIKI UZINDUZI WA MAGARI MAPYA YA KAMPUNI YA ULINZI YA SECURITY GROUP AFRIKA JIJINI DAR