TAMASHA LA MAGARI NCHINI KUJA KIVINGINE
Kutoka kushoto ni Ofisa Masoko, Michael Kanyatta, Meneja Huduma wa kampuni ya Sanwa Service Ltd, Masao Kuwabara, Mkurugenzi Mtendaji wa Vision Investments, Ally Nchahaga, Meneja Masoko, Mori Bencus na Meneja kitengo cha huduma wa Vision, Dorah Raymond. Meneja Huduma wa Kampuni ya Sanwa Service Ltd, Masao Kuwabara akizungumza jambo.…
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima24 Feb
Tamasha la Pasaka kuja kivingine
TAMASHA la Pasaka la mwaka huu litakalozinduliwa rasmi Aprili 20 jijini Dar es Salaam likibeba kaulimbiu ya ‘Tanzania Kwanza Haki Huinua Taifa’, litaendeshwa kwa staili mpya ya wadau wenyewe kuamua...
11 years ago
Michuzi
TAMASHA LA PASAKA KUJA KIVINGINE MWAKA HUU.
Hayo yalibainishwa jijini Dar,mwishoni mwa wiki na Mkurugenzi Mtendaji wa Msama Promotions,ambao ndio wandaaji wa tamasha.Alifafanua kuwa wapenzi wa muziki huo ndio watakaochagua waimbaji hao kwa kutuma ujumbe mfupi kupitia...
10 years ago
GPLAZAM TV KUJA KIVINGINE
9 years ago
Bongo509 Nov
Batuli kuja kivingine baada ya uchaguzi

Muigizaji wa filamu, Batuli amesema amejipanga kuja tofauti katika filamu zake baada ya kujifunza mambo mengi kutoka kwenye kampeni za uchaguzi alizoshiriki.
Batuli ameiambia Bongo5 kuwa atafanya kazi kubwa ili kuhakikisha kazi zake zinagusa maisha ya watanzania wa kawaida aliowaona wakati akizunguka kwenye kampeni za CCM.
“Nakuja kivingine kwa sababu nimejifunza mengi kwenye kampeni na kuna umuhimu wa kuviweka kwenye kazi zangu,” amesema. “Nitafanya filamu za kibongo kama kawaida lakini...
11 years ago
Michuzi10 years ago
Mwananchi26 Jan
BSS haijafa, sasa kuja kivingine- Madam Rita Poulsen
11 years ago
Michuzi.jpg)
Tamasha la Magari Tanzania (Autofest) limerudi na Matoleo Mapya ya Magari
.jpg)