TAMASHA LA PASAKA KUJA KIVINGINE MWAKA HUU.

Tamasha la pasaka la Mwaka huu litakalozinduliwa rasmi April 20,jijini dar likibeba kaulimbiu ya "Tanzania kwanza haki huinua Taifa",litaemdendeshwa kwa namna ya Wadau wenyewe kuchagua waimbaji,aidha iwe kutoka ndani ama nje ya nchi ikiwemo sambamba na mgeni rasmi.
Hayo yalibainishwa jijini Dar,mwishoni mwa wiki na Mkurugenzi Mtendaji wa Msama Promotions,ambao ndio wandaaji wa tamasha.Alifafanua kuwa wapenzi wa muziki huo ndio watakaochagua waimbaji hao kwa kutuma ujumbe mfupi kupitia...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima24 Feb
Tamasha la Pasaka kuja kivingine
TAMASHA la Pasaka la mwaka huu litakalozinduliwa rasmi Aprili 20 jijini Dar es Salaam likibeba kaulimbiu ya ‘Tanzania Kwanza Haki Huinua Taifa’, litaendeshwa kwa staili mpya ya wadau wenyewe kuamua...
10 years ago
Dewji Blog16 Feb
Tamasha la Pasaka mwaka huu litahusisha michezo pia, linatimiza miaka 15
Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama Promotion inayoandaa Tamasha la Pasaka Bw. Alex Msama akizungumza na waandishi wa habari katika ofisi zake zilizopo Kinondoni Moroco wakati akielezea maadalizi ya tamasha hilo kwa mwaka huu, ambapo amesema tamasha hilo mwaka huu pamoja na kuwepo waimbajiwa muziki wa injili mbalimbali kutoka hapa nchini na nje ya nchi pia itakuwepo michezo mbalimbali ikiwa pia ni maadhimisho ya miaka 15 toka kuanzishwa kwa tamasha hilo.
Alex Msama akisisitiza jambo katika...
10 years ago
GPLTAMASHA LA MAGARI NCHINI KUJA KIVINGINE
10 years ago
Bongo514 Jan
Wizkid kuja Tanzania mwaka huu kwa mara ya kwanza
10 years ago
GPLAZAM TV KUJA KIVINGINE
9 years ago
Bongo509 Nov
Batuli kuja kivingine baada ya uchaguzi

Muigizaji wa filamu, Batuli amesema amejipanga kuja tofauti katika filamu zake baada ya kujifunza mambo mengi kutoka kwenye kampeni za uchaguzi alizoshiriki.
Batuli ameiambia Bongo5 kuwa atafanya kazi kubwa ili kuhakikisha kazi zake zinagusa maisha ya watanzania wa kawaida aliowaona wakati akizunguka kwenye kampeni za CCM.
“Nakuja kivingine kwa sababu nimejifunza mengi kwenye kampeni na kuna umuhimu wa kuviweka kwenye kazi zangu,” amesema. “Nitafanya filamu za kibongo kama kawaida lakini...
9 years ago
Bongo507 Dec
Tamasha la Fiesta halitakuwepo mwaka huu

Wakati staa wa Nigeria, Wizkid anaondoka Tanzania mwezi uliopita aliwaahidi mashabiki wake kuwa angerejea tena Tanzania kwenye tamasha la Fiesta 2015 mwezi December, lakini taarifa mpya kutoka kwa waandaaji Clouds Media zinasema kuwa tamasha hilo halitakuwepo mwaka huu.
Mkurugenzi wa vipindi na uzalishaji wa Clouds Media Group, Ruge Mutahaba ametoa sababu za kutofanyika kwa tamasha hilo kubwa mwaka huu.
“Fiesta mwaka huu tumekubaliana tusiifanye kwasababu tutakuwa tunabanana,” amesema...