Tamasha la Pasaka mwaka huu litahusisha michezo pia, linatimiza miaka 15
Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama Promotion inayoandaa Tamasha la Pasaka Bw. Alex Msama akizungumza na waandishi wa habari katika ofisi zake zilizopo Kinondoni Moroco wakati akielezea maadalizi ya tamasha hilo kwa mwaka huu, ambapo amesema tamasha hilo mwaka huu pamoja na kuwepo waimbajiwa muziki wa injili mbalimbali kutoka hapa nchini na nje ya nchi pia itakuwepo michezo mbalimbali ikiwa pia ni maadhimisho ya miaka 15 toka kuanzishwa kwa tamasha hilo.
Alex Msama akisisitiza jambo katika...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
11 years ago
MichuziTAMASHA LA PASAKA KUJA KIVINGINE MWAKA HUU.
Hayo yalibainishwa jijini Dar,mwishoni mwa wiki na Mkurugenzi Mtendaji wa Msama Promotions,ambao ndio wandaaji wa tamasha.Alifafanua kuwa wapenzi wa muziki huo ndio watakaochagua waimbaji hao kwa kutuma ujumbe mfupi kupitia...
11 years ago
Tanzania Daima14 Mar
Miaka 14 ya Tamasha la Pasaka
TAMASHA la Pasaka mwaka huu linatarajiwa kufikisha miaka 14 tangu kuanzishwa kwake na Kampuni ya Msama Promotions ya jijini Dar es Salaam. Tangu kuanzishwa kwa tamasha hilo, Watanzania wameweza kujumuika...
10 years ago
Michuzi12 Feb
NI SAFARI YA MIAKA 15 TAMASHA LA PASAKA
10 years ago
MichuziDVD miaka 15 ya Tamasha la Pasaka hadharani
10 years ago
MichuziTAMASHA LA PASAKA KUTIMIZA MIAKA 15 KWA KISHINDO,KUHUSISHA SHUGHULI MBALIMBALI ZA KIJAMII
Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama Promotion inayoandaa Tamasha la Pasaka Bw. Alex Msama amezungumza na waandishi wa habari katika ofisi zake zilizopo kinondoni Moroco hapo jana,kuhusiana na maandalizi ya tamasha hilo kwa mwaka huu, Msama amesema tamasha hilo mwaka huu pamoja na kuwepo waimbaji wa muziki wa ...
10 years ago
MichuziSitta awapongeza waandaaji wa Tamasha la Pasaka kutimiza miaka 15 tangu kuanzishwa kwake
9 years ago
Bongo507 Dec
Tamasha la Fiesta halitakuwepo mwaka huu
Wakati staa wa Nigeria, Wizkid anaondoka Tanzania mwezi uliopita aliwaahidi mashabiki wake kuwa angerejea tena Tanzania kwenye tamasha la Fiesta 2015 mwezi December, lakini taarifa mpya kutoka kwa waandaaji Clouds Media zinasema kuwa tamasha hilo halitakuwepo mwaka huu.
Mkurugenzi wa vipindi na uzalishaji wa Clouds Media Group, Ruge Mutahaba ametoa sababu za kutofanyika kwa tamasha hilo kubwa mwaka huu.
“Fiesta mwaka huu tumekubaliana tusiifanye kwasababu tutakuwa tunabanana,” amesema...
10 years ago
MichuziMWIMBAJI WA NYIMBO ZA INJILI KUTOKA AFRIKA KUSINI REBECCA MALOPE AWASILI USIKU HUU KUTUMBUIZA KESHO TAMASHA LA PASAKA JIJINI DAR.