Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Tamasha la Fiesta halitakuwepo mwaka huu

Ruge

Wakati staa wa Nigeria, Wizkid anaondoka Tanzania mwezi uliopita aliwaahidi mashabiki wake kuwa angerejea tena Tanzania kwenye tamasha la Fiesta 2015 mwezi December, lakini taarifa mpya kutoka kwa waandaaji Clouds Media zinasema kuwa tamasha hilo halitakuwepo mwaka huu.

Ruge

Mkurugenzi wa vipindi na uzalishaji wa Clouds Media Group, Ruge Mutahaba ametoa sababu za kutofanyika kwa tamasha hilo kubwa mwaka huu.

“Fiesta mwaka huu tumekubaliana tusiifanye kwasababu tutakuwa tunabanana,” amesema...

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

SHANGWE ZA TAMASHA LA SERENGETI FIESTA USIKU HUU

Msanii wa Bongo Fleva, Mwana FA akifanya yake usiku huu. Nyomi baada ya kukongwa nyoyo na burudani za Serengeti Fiesta Leaders Club. …

 

10 years ago

Bongo5

Mwana FA kutumbuiza kwa mara ya kwanza kwenye Fiesta mwaka huu mjini Singida

Baada ya kupagawisha wananchi wa Mbeya na shoo kali mwishoni mwa wiki iliyopita, tamasha la Serengeti Fiesta 2014 linaelekea Singida kukata kiu ya mashabiki wake ambao walikuwa wakilisubiri kwa hamu. Shoo hiyo iliyokuwa ikisubiriwa kwa hamu imepangwa kufanyika hapo October 3, katika uwanja wa Namfua. Wasanii watakaotumbuiza ni pamoja na Mwana FA, Nikki II, Makomando, […]

 

11 years ago

Michuzi

TAMASHA LA PASAKA KUJA KIVINGINE MWAKA HUU.

Tamasha la pasaka la Mwaka huu litakalozinduliwa rasmi April 20,jijini dar likibeba kaulimbiu ya "Tanzania kwanza haki huinua Taifa",litaemdendeshwa kwa namna ya Wadau wenyewe kuchagua waimbaji,aidha iwe kutoka ndani ama nje ya nchi ikiwemo sambamba na mgeni rasmi.


Hayo yalibainishwa jijini Dar,mwishoni mwa wiki na Mkurugenzi Mtendaji wa Msama Promotions,ambao ndio wandaaji wa tamasha.Alifafanua kuwa wapenzi wa muziki huo ndio watakaochagua waimbaji hao kwa kutuma ujumbe mfupi kupitia...

 

10 years ago

GPL

TAMASHA LA MUZIKI WA ZAMANI KUFANYIKA MEI 30, MWAKA HUU

Ofisa uhusiano wa kampuni ya  Ak'Omungoma (APAO) Louis Sendeu akieleza jambo kwa waandishi wa habari hawapo pichani(kushoto kwake) Masoud Masoud mmoja wa waratibu wa onyesho hilo. Msanii mkongwe wa muziki wa dansi nchini Ismail Issa Michuzi akisikiliza kwa makini. Msanii Ismail Issa Michuzi akitoa kionjo cha wimbo wa siwema kwa waandishi wa… ...

 

10 years ago

Michuzi

TAMASHA LA HISTORICAL MARATHONI KUFANYIKA JUNI 14 MWAKA HUU.

Na Avila Kakingo,Globu ya Jamii.

WANANCHI jitokezeni katika kushiriki  tamasha la Bagamoyo historical Marathoni linatarajia kufanyika Juni 14 mwaka huu tamasha litakalo fanyika Wilaya Bagamoyo.


 Hayo yamesemwa na  Msemaji wa kampuni ya Vision Investiment Dominic Mosha wakati akizungumza na waandishi wa habari katika ukumbi wa Iadara ya Habari MAELEZO jijini Dar es Salaam leo.


Mosha alisema kuwa Tamasha la mwaka huu  litakuwa na kauli mbiu ya  “ANZA KUKIMBIA, UJIKINGE NA MAGONJWA...

 

11 years ago

GPL

YALIYOJIRI TAMASHA LA MATUMAINI 2013, MWAKA HUU NI AGOSTI 8 TAIFA

Rais Jakaya Kikwete aliongoza Tamasha la Matumaini 2013 ndani ya Uwanja wa Taifa jijini Dar. Mwaka huu ni Agosti 8 ndani ya Uwanja wa Taifa kama kawa jiji la Dar litazizima kwa burudani kabambe ambazo si za…

 

9 years ago

Michuzi

TAMASHA LA MADIVA KUFANYIKA DISEMBA 4 MWAKA HUU MKOANI MBEYA

 Msanii wa kizazi kipya Vanessa Mdee (Wa pili kushoto) akiwa kwenye picha ya pamoja na madansa wake wakati wa uzinduzi wa Tamasha la Trust “Divas Only” lililofanyika mwishoni mwa wiki jijini Dodoma. Tamasha hilo ni mahususi kwa utoaji elimu ya uzazi wa mpango kwa kina dada ambalo liliratibiwa na Shirika la DKT international. Msanii Vanessa Mdee (kushoto) akibadilishana mawazo na wafanyakazi mbalimbali wa Shirika la DKT International kabla ya kufungua rasmi Tamasha la Divas Only ambalo...

 

9 years ago

Michuzi

TASMA KUNOGESHA TAMASHA LA ‘KANDANDA DAY’ OKTOBA 17 MWAKA HUU

CHAMAcha Madaktari wa michezo Tanzania (TASMA) kinatarajia kunogesha tamasha la ‘Kandanda day’ kwa kufanya kliniki siku ya Oktoba 17,mwaka huu katika Viwanja vya TCC Chang’ombe,jijini Dar es Salaam.
Msemaji Mkuu wa tamasha hilo,Mohamed Mkangara,alisema kwamba TASMA kwa kushirikiana na kamati ya kandanda Day wameamua kufanya kliniki hiyo ya wazi ili kuwapa fursa wadau wa michezo kupata mafunzo na kupima afya zao.


“Kamati ya Kandanda day,imeona kuna haja ya kushirikiana na ndugu zetu wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani