TAMASHA LA MUZIKI WA ZAMANI KUFANYIKA MEI 30, MWAKA HUU
Ofisa uhusiano wa kampuni ya Ak'Omungoma (APAO) Louis Sendeu akieleza jambo kwa waandishi wa habari hawapo pichani(kushoto kwake) Masoud Masoud mmoja wa waratibu wa onyesho hilo. Msanii mkongwe wa muziki wa dansi nchini Ismail Issa Michuzi akisikiliza kwa makini. Msanii Ismail Issa Michuzi akitoa kionjo cha wimbo wa siwema kwa waandishi wa… ...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziTAMASHA LA HISTORICAL MARATHONI KUFANYIKA JUNI 14 MWAKA HUU.
Hayo yamesemwa na Msemaji wa kampuni ya Vision Investiment Dominic Mosha wakati akizungumza na waandishi wa habari katika ukumbi wa Iadara ya Habari MAELEZO jijini Dar es Salaam leo.
Mosha alisema kuwa Tamasha la mwaka huu litakuwa na kauli mbiu ya “ANZA KUKIMBIA, UJIKINGE NA MAGONJWA...
11 years ago
Dewji Blog29 Apr
FURSA: Mafunzo ya kupiga ala za muziki kuanza tena mwezi Mei mwaka huu
Baadhi ya wanafunzi wakiwa kwenye mazoezi.
Action Music Tanzania (AMTz) inatangaza fursa kwa watu wote kujiunga na mafunzo ya kupiga ala za muziki yanayoanza tarehe 3/5/2014, lengo likiwa ni kuwajengea uwezo wanamuziki wa kupiga ala na kufanya maonesho kwa weledi na utaalamu zaidi.
Baadhi ya wanafunzi wakiwa darasani.
Mafunzo yanayotolewa ni pamoja na upigaji wa ala za muziki zikiwemo gita, kinanda, tarumbeta, saxophone, konga, drum set, na upigaji wa ngoma za asili. Pia yatatolewa...
9 years ago
MichuziTAMASHA LA MADIVA KUFANYIKA DISEMBA 4 MWAKA HUU MKOANI MBEYA
10 years ago
VijimamboTAMASHA LA HISTORICAL MARATHONI KUFANYIKA BAGAMOYO JUNI 14 MWAKA HUU
Baadhi ya waandishi wa habari waliohudhuria katika mkutano wa kutangazwa kwa Tamasha la Historical Marathoni litakalofanyika...
9 years ago
MichuziTAMASHA LA KUOMBEA AMANI KUELEKEA UCHAGUZI MKUU KUFANYIKA OKTOBA 4 MWAKA HUU.
9 years ago
Dewji Blog20 Oct
Nguli wa muziki Papa Wemba kutumbuiza Tamasha la Karibu Music Festival Novemba 6-8 mwaka huu
Ofisa Mauzo wa Karibu Cultural Promotions Organization (KCPO), Ernest Biseko katikati ambao ni waratibu wa Tamasha la Karibu Music Festival akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam. kushoto ni ni msanii, Jhikolabwino Manyika – Jhikoman na Meneja Uvumbuzi wa kinywaji cha Jebel cha Kampuni ya SBL, Attu Mynah
MWANAMUZIKI nguli wa dansi kutoka nchini Congo DR, Papa Wemba ni miongoni mwa wasanii wanaotarajia kutumbuiza katika tamasha kubwa la Kimataifa la Muziki la ‘Karibu...
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-22WlU5-JNAQ/VV3T_jJ4S1I/AAAAAAAHY2w/_IM-BKRuIIM/s72-c/_MG_3712.jpg)
TAMASHA LA QASWIDA SASA KUFANYIKA MEI 31 JIJINI DAR
![](http://3.bp.blogspot.com/-22WlU5-JNAQ/VV3T_jJ4S1I/AAAAAAAHY2w/_IM-BKRuIIM/s640/_MG_3712.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-6h4i8Z2BzeE/VV3UCTd68QI/AAAAAAAHY28/8ZIUcC5qS1Y/s640/_MG_3720.jpg)
11 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-Gc1eMcwTRSw/U2Nb54ZnPLI/AAAAAAAFe3I/tOs9qpcOP6c/s72-c/unnamed+(10).jpg)
Mkutano mkubwa wa Kimataifa wa Wafadhili wa kustawisha Maendeleo ya Kiuchumi na Kijamii ya Zanzibar,kufanyika robo mwaka ya mwisho ya mwaka huu
Mkutano huo utakofadhiliwa na Serikali ya Oman unatatarajiwa pia kujumuisha Wawekezaji wa sekta ya fedha na uchumi kutoka Mataifa na Taasisi tofauti Duniani . Mjumbe Maalum wa Serikali ya Oman Bwana Yahya Al – Ureim alieleza...
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-JeNChS1-pWw/VTUJsf3k6AI/AAAAAAAHSH0/zztMNXa_nHs/s72-c/NDUMBARO%2BVILABU.jpg)
Hatma ya Ndumbaro kutolewa Mei 10 mwaka huu
![](http://4.bp.blogspot.com/-JeNChS1-pWw/VTUJsf3k6AI/AAAAAAAHSH0/zztMNXa_nHs/s1600/NDUMBARO%2BVILABU.jpg)
Kikao cha Kamati ya rufaa ya nidhamu chini ya Revocatus Kuuli ilisikiliza hoja za pande mbili ambao Ndumbaro alijiwakilisha mwenyewe wakati kwa upande wa TFF iliwakilishwa na wakili wao Emmanuel Muga huku habari za ndani zikidai kuwa licha ya Ndumbaro kukata rufaa, TFF nayo imemfungulia shtaka la tatu la kuandaa mechi kinyume na taratibu.
Kikao hicho...