DVD miaka 15 ya Tamasha la Pasaka hadharani
![](http://3.bp.blogspot.com/-WEr22rxR-58/VXlojz9WgFI/AAAAAAAC6QM/jxA8BtVFkyc/s72-c/GO9G8667.jpg)
WAANDAAJI wa Tamasha la Pasaka wamesema kuwa DVD ya onesho la Miaka 15 ya tamasha hilo lililofanyika Aprili mwaka huu ipo mtaani. Mwenyekiti wa Kamati ya Maandalizi ya tamasha hilo, Alex Msama alisema jana kuwa DVD imeonesha shughuli nzima ya tamasha hilo lililofanyika Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam na mgeni rasmi kuwa Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe. “Nawaomba mashabiki wa muziki wa Injili ambao walikuwa wakiniulizia kuhusiana na DVD hiyo kwamba sasa ipo...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima08 Apr
Viingilio Tamasha la Pasaka Dar hadharani
KAMATI ya Maandalizi ya Tamasha la Pasaka imetangaza viingilio vya tamasha hilo jijini Dar es Salaam, ambako viti vya kawaida itakuwa ni sh 5,000 kwa wakubwa huku watoto ikiwa ni...
11 years ago
MichuziViingilio Tamasha la Pasaka hadharani,kufanyika uwanja wa Taifa
11 years ago
Tanzania Daima14 Mar
Miaka 14 ya Tamasha la Pasaka
TAMASHA la Pasaka mwaka huu linatarajiwa kufikisha miaka 14 tangu kuanzishwa kwake na Kampuni ya Msama Promotions ya jijini Dar es Salaam. Tangu kuanzishwa kwa tamasha hilo, Watanzania wameweza kujumuika...
10 years ago
Michuzi12 Feb
NI SAFARI YA MIAKA 15 TAMASHA LA PASAKA
![DSC_0333](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2015/02/DSC_0333.jpg)
10 years ago
Dewji Blog16 Feb
Tamasha la Pasaka mwaka huu litahusisha michezo pia, linatimiza miaka 15
Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama Promotion inayoandaa Tamasha la Pasaka Bw. Alex Msama akizungumza na waandishi wa habari katika ofisi zake zilizopo Kinondoni Moroco wakati akielezea maadalizi ya tamasha hilo kwa mwaka huu, ambapo amesema tamasha hilo mwaka huu pamoja na kuwepo waimbajiwa muziki wa injili mbalimbali kutoka hapa nchini na nje ya nchi pia itakuwepo michezo mbalimbali ikiwa pia ni maadhimisho ya miaka 15 toka kuanzishwa kwa tamasha hilo.
Alex Msama akisisitiza jambo katika...
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-Vx9eeFFwZII/VOG2Q-InKKI/AAAAAAACz4s/LlUutAwbxoA/s72-c/1.jpg)
TAMASHA LA PASAKA KUTIMIZA MIAKA 15 KWA KISHINDO,KUHUSISHA SHUGHULI MBALIMBALI ZA KIJAMII
![](http://4.bp.blogspot.com/-Vx9eeFFwZII/VOG2Q-InKKI/AAAAAAACz4s/LlUutAwbxoA/s1600/1.jpg)
Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama Promotion inayoandaa Tamasha la Pasaka Bw. Alex Msama amezungumza na waandishi wa habari katika ofisi zake zilizopo kinondoni Moroco hapo jana,kuhusiana na maandalizi ya tamasha hilo kwa mwaka huu, Msama amesema tamasha hilo mwaka huu pamoja na kuwepo waimbaji wa muziki wa ...
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-nLEl9cdSLmI/VNSVp75tk6I/AAAAAAACzeg/VxfTlxruEAc/s72-c/samuel.jpg)
Sitta awapongeza waandaaji wa Tamasha la Pasaka kutimiza miaka 15 tangu kuanzishwa kwake
![](http://1.bp.blogspot.com/-nLEl9cdSLmI/VNSVp75tk6I/AAAAAAACzeg/VxfTlxruEAc/s1600/samuel.jpg)