Viingilio Tamasha la Pasaka hadharani,kufanyika uwanja wa Taifa
Mwenyekiti wa Kamati ya Maandalizi, Alex Msama akizungumza na baadhi ya Wanahabari kwenye moja ya mikutano yake kuhusiana na tamasha la pasaka.
KAMATI ya Maandalizi ya Tamasha la Pasaka, mwishoni mwa wiki ilitangaza viingilio vya tamasha hilo jijini Dar es Salaam, viti vya kawaida ni shilingi 5000 na watoto 2000. Kwa mujibu wa Mwenyekiti wa Kamati ya Maandalizi, Alex Msama viti maalum ni shilingi 20,000 wakati VIP ni shilingi 10,000.
Msama alisema hivi sasa wanaendelea na mchakato wa...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima08 Apr
Viingilio Tamasha la Pasaka Dar hadharani
KAMATI ya Maandalizi ya Tamasha la Pasaka imetangaza viingilio vya tamasha hilo jijini Dar es Salaam, ambako viti vya kawaida itakuwa ni sh 5,000 kwa wakubwa huku watoto ikiwa ni...
11 years ago
Dewji Blog21 Apr
Tamasha la Pasaka latikisa Uwanja wa Taifa
![](http://1.bp.blogspot.com/-RjYPtJKecfI/U1S5tQ-EmJI/AAAAAAABels/oKjWMF5lR3A/s1600/1.jpg)
Mgeni rasmi Waziri wa Mambo ya nje na Ushirikiano wa kimataifa Mh. Bernald Membe aliyemuakilisha Rais Jakaya Kikwete katika Tamasha la Pasaka lililofanyika jana kwenye u8wanja wa Taifa akizungumza na mashabiki mbalimbali waliojitokeza katika tamasha hilo na kuwaomba kuwa watulivu wakati huu wa mchakato wa katiba mpya akisema uamuzi mtautoa nyini ni serikali gani mnaiihitaji iwe moja, Tatu au Mbili nyinyi ndiyo mtaamua na sisi tutakipitisha kile mlichokiamua, Kulia ni Mkurugenzi wa Kampuni...
11 years ago
Tanzania Daima18 Apr
Ni mtikisiko Tamasha la Pasaka Jumapili Uwanja wa Taifa
UHONDO wa Tamasha la kimataifa la muziki wa Injili la Pasaka ambalo limekuwa likifanyika kila mwaka tangu mwaka 2000 chini ya Kampuni ya Msama Promotions Ltd ya jijini Dar es...
9 years ago
Michuzi18 Sep
viingilio Tamasha la Amani hadharani
![images](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2015/09/images5.jpg)
Msama alisema watoto watachangia shilingi 1000 ambako alitoa wito...
11 years ago
Tanzania Daima20 Apr
Ni mafuriko ya baraka Tamasha la Pasaka leo Uwanja wa Taifa
LEO ni siku ya shangwe kuu kwa Wakristo duniani kote kutokana na ushindi wa Yesu Kristo dhidi ya dhambi baada ya kuyashinda mauti kupitia ufufuko wake, kwani kwa kupigwa kwake...
9 years ago
GPLUZINDUZI WA TAMASHA LA KUOMBEA AMANI TAIFA KUELEKEA UCHAGUZI MKUU KUFANYIKA OKTOBA 4, 2015 UWANJA WA TAIFA, DAR
9 years ago
Dewji Blog13 Sep
Tamasha la kuliombea Taifa Amani kuelekea Uchaguzi Mkuu kufanyika Oktoba 4, 2015 uwanja wa Taifa jijini Dar
Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Msama Promotion ambayo inaandaa matamasha mbalimbali kama lile la Pasaka na Chrismas, ambaye ni Mwenyekiti wa Tamasha hilo, Alex Msama, akisisitiza jambo wakati akizungumza na waandishi wa habari, Dar es Salaam leo asubuhi kuhusu kukamilika kwa maandalizi ya Tamasha la kuliombea Taifa Amani kuelekea uchaguzi mkuu ambalo litafanyika Oktoba 4, 2015 Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam na baadaye mikoa mingine 12.
9 years ago
Dewji Blog30 Aug
Uzinduzi wa Tamasha la kuombea Amani Taifa kuelekea Uchaguzi Mkuu kufanyika Oktoba 4, 2015 Uwanja wa Taifa Jijini Dar
Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama Promotion, waandaaji wa matamasha mbalimbali kama lile la Krismas na Pasaka, Alex Msama (kulia), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari ofisini kwake Dar es Salaam jana asubuhi kuhusu uzinduzi wa Tamasha la kuliombea Taifa kuelekea ucahguzi Mkuu utakaofanyika Oktoba 25 mwaka huu utakaofanyika Oktoba 4, 2015 Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.
Mjumbe wa Kamati ya maandalizi ya tamasha hilo, Benno Chilele (kushoto), akizungumza katika tamasha...
9 years ago
VijimamboUZINDUZI WA TAMASHA LA KUOMBEA AMANI TAIFA KUELEKEA UCHAGUZI MKUU KUFANYIKA OKTOBA 4, 2015 UWANJA WA TAIFA JIJINI DAR ES SALAAM