viingilio Tamasha la Amani hadharani
KAMATI ya maandalizi ya Tamasha la Amani linalotarajia kufanyika Oktoba 4 kwenye uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam imetangaza kiingilio kwa VIP ni shilingi 5000 kwa watakaohudhuria katika tamasha hilo. Akizungumza na Waandishi wa habari, Mwenyekiti wa Kamati ya maandalizi ya tamasha hilo ambaye pia ni Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama Promotions, Alex Msama viti vya kawaida watalipa shilingi 3000.
Msama alisema watoto watachangia shilingi 1000 ambako alitoa wito...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima08 Apr
Viingilio Tamasha la Pasaka Dar hadharani
KAMATI ya Maandalizi ya Tamasha la Pasaka imetangaza viingilio vya tamasha hilo jijini Dar es Salaam, ambako viti vya kawaida itakuwa ni sh 5,000 kwa wakubwa huku watoto ikiwa ni...
11 years ago
MichuziViingilio Tamasha la Pasaka hadharani,kufanyika uwanja wa Taifa
11 years ago
MichuziMsama Promotions yatangaza Viingilio Tamasha la Pasaka
KAMATI ya Maandalizi ya Tamasha la Pasaka, mwishoni mwa wiki iliyopita ilitangaza viingilio vya tamasha hilo litakalofanyika uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam, viti vya kawaida ni shilingi 5000 na watoto 2000.
Kwa mujibu wa Mwenyekiti wa Kamati ya Maandalizi, Alex Msama viti maalum ni shilingi 20,000 wakati VIP ni shilingi 10,000.Msama alisema hivi sasa wanaendelea na mchakato wa kufanikisha...
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-WEr22rxR-58/VXlojz9WgFI/AAAAAAAC6QM/jxA8BtVFkyc/s72-c/GO9G8667.jpg)
DVD miaka 15 ya Tamasha la Pasaka hadharani
![](http://3.bp.blogspot.com/-WEr22rxR-58/VXlojz9WgFI/AAAAAAAC6QM/jxA8BtVFkyc/s320/GO9G8667.jpg)
9 years ago
Habarileo28 Sep
JK mgeni rasmi Tamasha la Amani
RAIS Jakaya Kikwete amekubali kuwa mgeni rasmi katika Tamasha la Kuombea Amani nchini litakalofanyika kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam, Jumapili wiki hii. Kwa mujibu wa Mwenyekiti wa Kamati ya Maandalizi ya tamasha hilo, Alex Msama, Rais Kikwete amekubali kuwa mgeni rasmi siku hiyo katika tamasha la kuombea amani Tanzania kuelekea katika Uchaguzi Mkuu mwezi ujao.
9 years ago
Mwananchi21 Sep
Sipho Makhabane kutumbuiza Tamasha la Amani
9 years ago
MichuziMAASKOFU, WACHUNGAJI KUBARIKI TAMASHA LA AMANI
Na Mwandishi WetuMAASKOFU wa madhehebu mbalimbali na Wachungaji wanatarajiwa kushiriki kwenye Tamasha la Amani linalotarajiwa kufanyika Oktoba 4, mwaka huu Dar es Salaam.
Tamasha la Amani ambalo litahusisha waimbaji mbalimbali wa nyimbo za Injili ni maalum kwa ajili ya kuombea amani katika Uchaguzi Mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani utakaofanyika Oktoba 25 mwaka huu.
Taarifa kwa vyombo vya habari iliyotolewa Dar es...
9 years ago
MichuziWASANII 74 WAOMBA KUSHIRIKI TAMASHA LA AMANI
Na Mwandishi WetuKAMATI ya Maandalizi ya Tamasha la Amani, imesema inapata wakati mgumu kuhusiana na idadi ya waimbaji ambao wanaomba kushiriki tamasha hilo litakalofanyika Oktoba 4, mwaka huu. Mwenyekiti wa kamati hiyo, Alex Msama amesema wiki hii kuwa idadi ya wanaoomba washiriki tamasha hilo imekuwa kubwa kuliko kawaida, ambapo hadi juzi walikuwa waombaji wamefikia 74. “Tunapata maombi mengi, tunajitahidi kadri ya...