MAASKOFU, WACHUNGAJI KUBARIKI TAMASHA LA AMANI
kushoto Mwenyekiti wa kamati ya tamasha la kuombea Amani hapa nchini,Alex Msama .
Na Mwandishi WetuMAASKOFU wa madhehebu mbalimbali na Wachungaji wanatarajiwa kushiriki kwenye Tamasha la Amani linalotarajiwa kufanyika Oktoba 4, mwaka huu Dar es Salaam.
Tamasha la Amani ambalo litahusisha waimbaji mbalimbali wa nyimbo za Injili ni maalum kwa ajili ya kuombea amani katika Uchaguzi Mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani utakaofanyika Oktoba 25 mwaka huu.
Taarifa kwa vyombo vya habari iliyotolewa Dar es...
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
MichuziWACHUNGAJI 200, MAASKOFU 50 KUUNGANA NA JK TAMASHA LA KUOMBEA AMANI
Taarifa kwa vyombo vya habari iliyotolewa Dar es Salaam jana na Mwenyekiti wa Kamati ya Maandalizi ya tamasha hilo, Alex Msama ilieleza kuwa kati ya viongozi hao 200 ni Wachungaji na 50 ni Maaskofu.
“Idadi inaweza kuwa kubwa zaidi, lakini hadi sasa niseme hao ndiyo ambao tuna uhakika nao watashiriki katika Tamasha la...
9 years ago
Habarileo13 Dec
Maaskofu, wachungaji wamuombea mgombea ubunge
MGOMBEA ubunge wa Jimbo la Arusha Mjini kupitia CCM, Philemon Mollel amefanyiwa maombi na maaskofu, wachungaji na waumini zaidi ya 150 wa makanisa ya kiroho zaidi ya kumi jijini Arusha.
10 years ago
Habarileo10 Nov
Maaskofu, wachungaji kukutana Dar wiki hii
MAASKOFU pamoja na wachungaji wa madhehebu mbalimbali ya Kikristo wanatarajia kushiriki katika mkutano wa kitaifa wiki hii jijini Dar es Salaam, ambao timu ya wataalamu 15 wa masuala ya biashara kutoka Nigeria, watazungumza.
10 years ago
MichuziSumaye kubariki Tamasha la Krismas Mbeya
10 years ago
MichuziSumaye kubariki Tamasha la Krismasi jijini Mbeya
WAZIRI Mkuu mstaafu, Mhe Frederick Sumaye, anatarajiwa kuwa mgeni rasmi wakati wa Tamasha la Krismas Desemba 25 mwaka huu Uwanja wa Sokoine, jijini Mbeya. Taarifa kwa vyombo vya habari iliyotolewa na Mwenyekiti wa Kamati ya Maandalizi ya tamasha hilo, Alex Msama ilieleza kuwa maandalizi kuhusiana na tamasha hilo yanaenda vizuri. “Tulikubaliana katika kamati tumuombe Waziri Mkuu mstaafu Sumaye aje atupe baraka kwenye tamasha la Krismasi, nafurahi kusema ni mtu wa watu, amekubali kujumuika...
10 years ago
MichuziWACHUNGAJI WATAKIWA KUWARUHUSU WAUMINI KUHUDHURIA TAMASHA LA PASAKA
Askofu wa Kanisa la Naioth Gospel ambaye pia ni Katibu Mkuu wa Baraza la Makanisa ya Kipentekoste, David Mwasota akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam, kuhusu maandalizi ya Tamasha la Pasaka. Kushoto ni Mwenyekiti wa tamasha hilo, Alex Msama. (Picha na Francis Dande) Mwenyekiti wa tamasha la Pasaka Alex Msama akifafanua jambo wakati wa mkutano na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam kuhusu maandalizi ya tamashas la Pasaka.
Mwenyekiti wa tamasha la Pasaka Alex Msama...
11 years ago
Mwananchi21 Apr
Maaskofu walia na amani ya nchi
9 years ago
MichuziMaaskofu wafurahishwa Makamu wa Rais kukubali kuwa mgeni rasmi Tamasha la Krismasi
Tamasha hilo linalokwenda sambamba na Shukrani kwa Mungu baada ya uchaguzi Mkuu uliofanyika Oktoba 25 kwa amani na utulivu, uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Askofu wa Kanisa la KKKT, Dk Alex Malasusa anasema ni jambo jema kumshukuru Mungu...
9 years ago
Habarileo28 Sep
JK mgeni rasmi Tamasha la Amani
RAIS Jakaya Kikwete amekubali kuwa mgeni rasmi katika Tamasha la Kuombea Amani nchini litakalofanyika kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam, Jumapili wiki hii. Kwa mujibu wa Mwenyekiti wa Kamati ya Maandalizi ya tamasha hilo, Alex Msama, Rais Kikwete amekubali kuwa mgeni rasmi siku hiyo katika tamasha la kuombea amani Tanzania kuelekea katika Uchaguzi Mkuu mwezi ujao.