Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Maaskofu, wachungaji kukutana Dar wiki hii

MAASKOFU pamoja na wachungaji wa madhehebu mbalimbali ya Kikristo wanatarajia kushiriki katika mkutano wa kitaifa wiki hii jijini Dar es Salaam, ambao timu ya wataalamu 15 wa masuala ya biashara kutoka Nigeria, watazungumza.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

NEC CCM kukutana Dodoma wiki hii

SIKU chache baada ya kumalizika kwa Bunge Maalumu la Katiba, macho na masikio ya wakazi wa mkoani hapa yanatarajiwa kuhamia katika kikao cha Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) itakayofanya vikao vyake mjini hapa mwishoni mwa wiki.

 

9 years ago

Habarileo

Maaskofu, wachungaji wamuombea mgombea ubunge

MGOMBEA ubunge wa Jimbo la Arusha Mjini kupitia CCM, Philemon Mollel amefanyiwa maombi na maaskofu, wachungaji na waumini zaidi ya 150 wa makanisa ya kiroho zaidi ya kumi jijini Arusha.

 

9 years ago

Michuzi

MAASKOFU, WACHUNGAJI KUBARIKI TAMASHA LA AMANI

kushoto Mwenyekiti wa kamati ya tamasha la kuombea Amani hapa nchini,Alex Msama .
Na Mwandishi WetuMAASKOFU wa madhehebu mbalimbali na Wachungaji wanatarajiwa kushiriki kwenye Tamasha la Amani linalotarajiwa kufanyika Oktoba 4, mwaka huu Dar es Salaam.
Tamasha la Amani ambalo litahusisha waimbaji mbalimbali wa nyimbo za Injili ni maalum kwa ajili ya kuombea amani katika Uchaguzi Mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani utakaofanyika Oktoba 25 mwaka huu.
Taarifa kwa vyombo vya habari iliyotolewa Dar es...

 

9 years ago

Michuzi

WACHUNGAJI 200, MAASKOFU 50 KUUNGANA NA JK TAMASHA LA KUOMBEA AMANI

Na Mwandishi WetuVIONGOZI  wa kiroho 250 wa madhehebu mbalimbali ya dini ya kikristo wamealikwa kushiriki kwenye Tamasha la Amani Jumapili wiki hii Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.
Taarifa kwa vyombo vya habari iliyotolewa Dar es Salaam jana na Mwenyekiti wa Kamati ya Maandalizi ya tamasha hilo, Alex Msama ilieleza kuwa kati ya viongozi hao 200 ni Wachungaji na 50 ni Maaskofu.
“Idadi inaweza kuwa kubwa zaidi, lakini hadi sasa niseme hao ndiyo ambao tuna uhakika nao watashiriki katika Tamasha la...

 

10 years ago

Michuzi

SOKO LA HISA WIKI HII JIJINI DAR ES SALAAM


Meneja Mradi na biashara wa soko la hisa hapa nchini, Patrick Msusa akizungumza na na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo, kuhusiana na kushuka kwa soko la hisa kwa asilimia 85.85 ukilinganisa na wiki iliyopita ambapo ziliuwa hisa 14,685 na kushuka kwa wiki hii hisa 2,1077 zilizouzwa. Baadhi ya waandishi wa habari waliohudhuria katika ofisi za soko la hisa leo jijini Dar es Salaam.Picha na Avila Kakingo,Globu ya Jamii.

 

9 years ago

Michuzi

MASHINDANO YA BASEBALL KUANZA KUTIMUA VUMBI IJUMAA WIKI HII JIJINI DAR.

Na Nyakongo Manyama- MAELEZO.MASHINDANO ya Kitaifa ya Awamu ya Tatu ya Mchezo wa Baseball yanatarajiwa kuanza Ijumaa ya wiki hii jijini Dar es salaam.
Kauli hiyo imetolewa na Katibu Mkuu wa Chama cha Mchezo wa Baseball nchini Alpherio Nchimbi leo jijini Dar es salaam wakati wa mkutano na waandishi wa habari.
Amesema kuwa mashindano yatashirikisha timu tisa kutoka Tanzania bara na Visiwani na yanatarajiwa kufunguliwa na Balozi wa Japani nchini Tanzania Mhe. Masaharu Yoshida.
Kwa mujibu wa Katibu...

 

11 years ago

Michuzi

WIKI TATU KUELEKEA FAINALI YA SHINDANO LA TANZANIA MPVIE TALENTS (TMT), WASHIRIKI WENGINE WAWILI WAAGA SHINDANO WIKI HII

 Waendeshaji wa Show ya Shindano la Tanzania Movie Talents (TMT) Joti na Lulu wakiwa kwa steji, tayari kwa kuendelea na show hiyo iliyofanyika katika Ukumbi wa Mkaumbusho ya Taifa Jijini Dar Es Salaam. Mshiriki Ally Kiwendo ambae alikuwa ni mmoja kati ya washindi watatu kutoka kanda ya Kusini mkoani Mtwara akitoa maneno ya shukrani kwa Kampuni ya Proin Promoitons ambao ndio waandaaji na waendeshaji wa Shindano la TMT mara baada ya kutangazwa kuaga shindano hilo kutokana na Kura kuwa chache,...

 

11 years ago

Michuzi

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani